duh kaka nitumie namba ya huyo prof. namsaka kwa udi na uvumba simpati, pengine nilipewa namba ya bajaji sio cmu.
ndio supervisor wangu wa dissertation, si mchezo.
halafu washikaji drs, tujenge tabia ya kujisomea pale seminar room ili atleast tuwe tunaonanaonana na kubadilishiana fikra maana naona clinicals zimetutawanya kama mavi ya mbuzi