Je Neno na Roho Zimeachana!

6 views
Skip to first unread message

James Otieno

unread,
Aug 6, 2014, 8:39:25 AM8/6/14
to strictlygospel
Wateule wa Bwana nikiwa na Roho wa Bwana na kufanya kazi ya ukombozi na mafundisho ni vema. Lakini leo hii miujiza na ishara zinaonekana *sisemi ni mbaya). Na Neno imetengwa ikawekwa kando.

Kuna umuhimu wa Neno Yohanna 17:17- "Waweke wakfu kwa ukweli; neno lako ni ukweli." na kuna umuhimu wa Roho wa Mungu Marko 16:16-17 - "Anayeamini na kubatizwa ataokolewa; asiyeamini atahukumiwa. Na ishara hizi zitaandamana na wale wanaoamini: kwa jina langu watatoa pepo na watasema kwa lugha mpya."

Sasa je tutafundisha na maishara na miujiza isionekana? Hasha sio kweli.

Na je tutaonekana kwa maishara na miujiza tuu? Hii ndio changamoto kwenye huduma nyingi leo.

Tunapaswa tufundishe Neno - Yesu aliwaambia wanafunzi wake kwenye Yohanna 6:63 - "Roho ndiye atiaye uzima; binadamu peke yake hawezi. Maneno niliyowaambieni ni Roho, ni uzima."

Kwa hiyo kunaumihimu katika Roho kuwa na Neno zote ni muhimu.

Huduma ambaye inaongozwa na ubinadamu na ipo kimwili haiwezi kuwa kwenye mpango wa Mungu. Na huduma isipo kuwa na Roho wa Bwana haina uzima na hapatakuwepo na ma ishara na miujiza. Na pasipo Neno hamna kuwa kiroho kwa waumini.

Mbarikiwe sana.

--
Evangelist James Joel Otieno
Vision Bearer of Joshua Generation Evangelical Group
Founder of Wisdom Prophetic Ministries
facebook link: http://www.facebook.com/evangelist.joel
website still being designed: www.jgenerations.org
Cell: 0754011243


Daniel Nzali

unread,
Aug 10, 2014, 10:41:10 PM8/10/14
to strictl...@googlegroups.com

Barikiwa Mtumishi kwa ujumbe Mzuri!!

Sent from Yahoo Mail on Android



From: James Otieno <wuod...@gmail.com>;
To: strictlygospel <strictl...@googlegroups.com>;
Subject: Je Neno na Roho Zimeachana!
Sent: Wed, Aug 6, 2014 6:41:44 AM

--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
 
Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
 
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
strictlygospe...@googlegroups.com

James Otieno

unread,
Aug 18, 2014, 12:13:57 AM8/18/14
to strictlygospel

amen utukufu ni ya Bwana

Cathy Marco

unread,
Aug 27, 2014, 5:49:47 PM8/27/14
to strictl...@googlegroups.com
Eimen kwa ujumbe mzuri mtumishi.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages