PUNDA WAWILI

8 views
Skip to first unread message

Sabihi, Mary

unread,
Jun 30, 2014, 4:33:41 PM6/30/14
to strictl...@googlegroups.com

SHALOM!

Mat 21:1-3 “ Hata walipokaribia Yerusalem , na kufika Bethfage , katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia, Enendeni  mpaka kijiji kile kinachowakabili , na mara mtaona punda amefungwa , na mwana-punda pamoja naye; wafungueni mniletee.Na kama tu akiwaambia neno,  semeni, Bwana ana wahitaji; na mara huyo  atawapeleka.

 Hapa ninaona punda walikuwa wawili naomba wasomi mnieleweshe huyo punda wa pili  (mwana) katika msafara ule alitumikaje pale?

MARY jOSHUA,

Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
 
Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
 
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
strictlygospe...@googlegroups.com

--

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages