TOBA YA KWELI NI IPI HASWA?

74 views
Skip to first unread message

Seleli Edwin

unread,
Jun 25, 2014, 8:30:14 PM6/25/14
to strictlygospel

Amani ya Bwana iwe daima nanyi enyi nyote,


Hapa SG kuna Neema/Karama/Vipaji/ Akili/ Huduma/Uzoefu/ Ufunuo na NENO KWELI KWELI toka kwa Bwana ndani ya Washirika wa Kanisa hili, nina hakika umekua unajifunza mengi na hata nawe kufundisha mengi na hata leo pia utadaka matamu sana na pia hata kufurahi na kuchekeshwa unapo fellowship sana hapa, raha kweli humu Watu tulio nao, vipaji vya ajabu kuchekesha wenzao-tehe!


Maswali ya kuchangia/Muongozo wa Speaker ni huu….


…..Je, mtu anaweza kutubu dhambi zake kimya kimya au ni lazima aje hadharani kuzisema na kukiri kwa majuto? ?


…….Je, toba ipi yenye nguvu, ile ya kutaja na dhambi ulizofanya aidha ukiwa mwenyewe chumbani au hadharani unatubu au hata kusema tu '' umekuja  kwa kua unataka kutengeneza na MUNGU'' anaona NIA yako, yatosha?


……. Je  Ni lazima uende kwa Kiongozi wa kanisa ili kutubu dhambi? Au maliza mwenyewe kivyako-vyako kama Mwana wa Mungu sawa tu na Kiongozi yoyote maana wote tu Wana, hakuna aliye Mwana zaidi au kupendwa kiuspesheli?


..... Au ni ile ambayo ukishatubu, iwe kivyako chumbani au umeenda kwa Kiongozi wa Imani/Dini, uwe umetaja au la, bali muhimu ni utakavyoiishi baada ya Toba?


......Kama ni ivyo, basi inakuaje Toba kweli kweli unafanya kisha siku nyingine lazima kufanya/jitakasa tena na kila leo kujitakasa/kutubu kadri tuinapo SIKU ILEE yaja upesi maaan imeandikwa..'''Mtakatifu ana azidi kua Mtakatifu-simply means-kujitakasa.....


Karibuni mlete shule na kwa kweli hii mada ni sawa kweli kwamba yataka mawazo na michango huru kwa kadri ujuavyo uwe huru tu kushare, haina shaka lakini pia kwa jinsi ilivyo, hasa nondo  za Neno na Ufafanuzi wake itasaidia sana kujua Ki-Biblia TOBA YA KWELI ni ipi haswa.


Press on,

Edwin Seleli

alphonse...@gmail.com

unread,
Jun 27, 2014, 9:55:27 AM6/27/14
to strictlygospel
 
 

"Mathayo 5: 23 Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,

24

iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako."

 

Hili ni Neno la Mungu.

 

Kupatana na kutengeneza ni pamoja na yule unaye neno juu yake. Ukiwa na neno juu ya Mchungaji utaenda kwake. Ukiwa na neno juu ya Mungu, unaongea naye . Ukiwa na neno juu ya kanisa lote unaongea na kanisa lote.

 

Ubarikiwe.

 
 
 
 
Alphonse Ziragora
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
-------Message original-------
 
Date : 06/26/14 02:30:16
Sujet : TOBA YA KWELI NI IPI HASWA?
--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
 
Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
 
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
strictlygospe...@googlegroups.com
 
b_floral.jpg
140109_glitter_pink_rose.gif
floral.jpg
ape.gif

Magreth Mkiwa

unread,
Jun 27, 2014, 9:55:27 AM6/27/14
to strictl...@googlegroups.com
. Practical concerns of confession of sin.
    A. To whom do we confess our sin?
         1. To those wronged by our sin. Sphere of confession only as broad as context of sin.
             a. Intrapersonal sin confessed to God alone. (Ps. 32:5; Prov. 28:13; I John 1:9)
             b. Private interpersonal sin confessed to God and the one sinned against. (Matt. 5:23,24; 
                 James 5:16).
             c. Public interpersonal sin confessed to God and those affected. (II Cor. 2:6; James 5:16).
    B. How long should we go before confessing sin?
         1. Unconfessed sin in past needs to be dealt with. (Eccl. 3:15; Phil. 3:13)
         2. Is God keeping ledger book of our sins? Those who encourage keeping "short sin
              accounts" seem to imply such.
         3. Confessing sin is like reacting to a stumbling on sidewalk. (Quick down; quick up!)
         4. Confessing sin is like rebounding a missed basketball shot.
    C. What happens if our sins is not confessed?
         1. Does unconfessed sin affect...
             a. Our redemption? (Isa. 59:2; Rom. 8:39)
             b. Our salvation? (Prov. 28:13)
             c. Our sanctification?
             d. Our eternal destiny?
             e. Our physical well-being? (Ps. 32:3)
             f. Our psychological well-being? (Ps. 32:4)
             g. Our prayer-life? (Isa. 59:2; 66:18)
         2. Confession of sin is not a "work" that has any merit before God.
    D. What if a person doesn't feel forgiven after he confesses his sin?
         1. We do not live by feelings, but by faith.
         2. God is faithful - I John 1:9
         3. When you still feel guilty of sin
             a. Examine the motives of your confession.
             b. Remember that Satan is the "accuser of the brethren" (Rev. 12:10).
             c. Have you forgiven others or asked for their forgiveness?
             d. Have you made necessary restitution?
         4. Have you forgiven yourself? "Who will bring a charge against God's elect?" (Rom. 8:33).

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages