--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
strictlygospe...@googlegroups.com
HOJA YA PILI YA MR.MILINGA NA MAONI YANGU
Milinga:Mafundisho kuhusu kutoa ZAKA kila mwezi au kila upatapo kipato
Maoni: Ni ajabu kweli kuona jinsi gani watu/wapendwa wanavyoweza
kukazana kweli kutafuta mipenyo ili tu kutotoa fungu la kumi TENA KWA AJILI YA
MAMBO YA MUNGU LAKINI KODI KWA SERIKALI AMBAYO NYINGINE ZINAKWENDA KUTUMIKA KWA
UFISADI WA KILA AINA, HAWAKAZANI KUIKWEPA AU HATA KUICHUKIA BASI. Si kwamba ni
ajabu tu lakini kwa kua Biblia inasema yaujazayo moyo ndio yanamtoka mtu yaani
kwa maneno yangu, ile ‘software’ yenyewe kabisa ya mtu/mpendwa akiwa mwenyewe
halisi, ile/yule ‘yeye’ haswaaa, hata akifanya pretedence awapo kati ya watu wa
Mungu wenziwe, hua haifichiki ndipo sa unaona mtu kabisa anampenda Mungu na kufahamu
tabia zake kuu, moja wapo kubwa sana mbali na ile ya Utakatifu ni hii ya utoaji, nevertheless, bado mtu au
mtoto wa Mungu anakomaa kutafuta kamlango ka kuzibania noti zake izo tena
chache kweli wakati wako wana wa Mungu wameshavuka pingu za mateso ya roho za
ubinafsi na kujipenda nafsi wenyewe kuliko Mungu na sasa hawaongelei fungu la
kumi kwa kua hayo ni mambo basics kwa
faith beginners! bali wanaongelea fungu la 15,20,30 na wengine 50!
Napenda kuchangia hoja hii kwa ku-estabish solid ground ya tabia hii ya Mungu
ya Utoaji na mapenzi yake kwetu kwa ujumla kisha nita-conclude kwa nguvu nyingi
sana in Jesus name kuhimiza na kutia moyo utoaji wa aina ZOTE na kwa
frequencies ZOZOTE, ziwe short or long waves because we love Him and all what
we have and mpaka sisi wenyewe ni mali yake, we got nothing we own for real on
serious note!
Katika Yoh.3:16 Mungu aliupenda Ulimwengu kisha AKAMTOA mwanae wa pekee. Yesu alisema ktk Yoh.15:13 hakuna love kubwa kama hii ya mtu KUUTOA uhai wake kwa ajli ya rafiki zake na Paul anamnukuu Bwana ktk Mdo.20:35 kua ni baraka zaidi au Heri (ni bora/furaha/yafaa/njema nk) KUTOA kuliko kupokea, hapa tabia njema ya kupenda kutoa/kujitolea inatiliwa maanani/mkazo kati ya wanadamu
UTOAJI ulipelekea mpaka mtu ambaye hajaokoka akasikilizwa mbinguni na kumbukumbu ya utoaji wake ikawa smartly and correctly recorded na some ‘’Bill Gates tools users angels’ in heaven-Mdo.10:1-4. Si tu yeye bali wokovu uliwapata hata majirani, housemaids, marafiki, ndugu na jamaa zake..Mdo.10:24,44-48! can you imagine that for a second! Jinsi gani nguvu ya Utoaji ilivyo? Japokua ni plan ya Mungu toka hakujawekwa misingi ya dunia sisi tuokolewe lakini kwa hapa naona Bwana alifanya ‘emergency strategy’ ku-manifest iyo plan iliyokuwepo tu toka mwanzo.
UTOAJI ulipelekea Mungu
kujisikia raha mpaka ku-confirm na ku re-affirm commitment yake kuhakikisha
Ibrahimu ana pata uzao mwingi ambamo humo humo Masiya angetokea pale alipomtoa
mwanae wa pekee bila utani wala maigizo au danganya toto game, kumchinja kama
sadaka ya kuteketezwa. Na kwakua Mungu huona mioyo, alijua dizani ya wapendwa
kama Ibrahimu means business inapokuja swala la kumwamini na kumuishia Mola kwa
kuachilia kila alichonacho kwakwe ivyo ilibidi Mungu aweke malaika mmoja awe on
standby. Ndiposa aliponyanyua/nyoosha tu mkono wenye kisu kushusha kwa koo la
innocent son Isack, rocketfully an angel on duty/guard akafanya hima kumwita
mpendwa maridadi kabisa yule kwenye utoaji tena wa zaidi ya fungu la kumi…your
own ONLY loving son,da! iyo kitu ikawa tamu sana mbele za Mungu, ikamshinda kuvumilia/kujikausha
ndipo akatoa appreciations( inapendeza kuona kua Mungu ana-appreciate pia a
well done job ya mtu,hapuuzi au kujifanya hai-feel!),moyo wake ukayatoa yalioujaza
au yaliyobubujishwa na tendo la Utoaji la senior brother…Mwanzo.22:1-19
hasa mistari ya 12,15,16,17..Mungu anasema ‘’Sasa NIMEJUA wamcha Mungu wala
HUKUNIZUILIA MWANAO, MWANA WAKO WA PEKEE( interesting arrangement ya maneno
hapo , Mungu anasisitiza admiration yake hapo…see this again..’’mwanao…mwana
wako wa pekee’’)
Halafu inakua kama bado Mungu hakukata kiu sawa sawa(unajua
utoaji ule ulimgusa/mshangaza sana) ivyo basi.. ‘’Malaika akamwita tena mara ya
PILI toka mbinguni kusema ( unaona
hapo, anaitwa tena) halafu Mungu anaona ili kukata kiu ya furaha yake na
kuridhia/kuappreciate kazi njema/ tendo la Utoaji la brother, anasema maneno
mazito haya.. ‘’KWA NAFSI YANGU NIMEAPA KWA KUA UMEFANYA JAMBO HILI NA
HUKUNIZUILIA MWANAO, MWANA WAKO WA PEKEE! Kisha anafanya ile nilidokeza
juu..Confirming na Affirming… anasema..’’Kukubaliki nitakubaliki na kukuzidisha
nitauzidisha uzao wako kama nyota na mchanga wa beach baharani. Ulishawahi
fikiri vipi kama Ibrahimu angembania-bania Isack ingekuaje kuhusu Yesu kuja
kutokea? Ofcoz angekujaga tu Mwokozi but kubania kwa Ibrahimu kungemkosesha
yeye mwenyewe hadhi aliyonayo leo ktk mambo ya Imani na mbele za Mungu.
Unaonaje/utajisikiaje wewe Rais Obama au JK akupeti-peti kwenye bega a kusema..’’aisee
kwakweli sasa nimejua wewe ni rafiki yangu na unanipenda’’! mwe! Nakwambia hata
kama sina pesa, ghafla BOT yote nitaona ni yangu saa iyo iyo! Sasa wandugu,why tunambania
bania vinoti vyetu vya Tanzania na kuyaacha mambo ya kanisa kusota na watumishi
wa Mungu/walawi wetu wa ukweli ku-sweat, wanalala njaa wakati mwingine, suti
hawana, watoto wao skuli wanatimuliwa, wanakaa nyumba ya kupanga tena sebule na
chumba,watoto wanalala sebuleni nk wakati nje hapo wapendwa wamebaki benzi,
prado, terekta,katapilla,saloon, wana majumba Mbezi, Msasani, Bunju, Boko,
Madale,Kitunda,Pugu halafu sadaka na fungu la kumi kufacilitate mambo ya ufalme
na daily activities/uses ktk nyumba ya Bwana, tunakua kila mtu ni financial
management experts! hata kama ulisomea kufundisha maigizo, nyimbo, ngonjera,mashairi,
vyuma vya magari na tureni,siasa, idara za chama cha CCM na Chadema, human
resources, kuchoma sindano ngombe na pusi or watu au kuchoma moto sodium kwa
bansen burner kule lab lakini inapokuja swala la kutoa sadaka na mafungu ya
kumi, suddenly tunakua Financial, Budgeting, Philosophy and critical thinking
and argumentation experts!
Kuna watu wanaompenda Mungu bila kujisaza mpaka wanatoa sadaka ya utakaso kwa familia zao kwa MAMBO YA KUFIKIRIKA! Can you imagine that? Mpendwa anavyompenda Mungu na kujua kila alichonacho si chake na kwakwe cha kwanza ni kumpendeza Mungu kwanza nasi kubania-bania mali, anatoa sadaka ya kutisha kwa kua-assume tu may be mmoja wa wana familia yake anaweza kua amemkosa Mungu-Ayubu.1:1-5 see mstari wa 5.. anatoa sadaka ya kuteketeza kwa KILA mtoto(alikua nao kumi), so kama ni kondoo au ng’ombe 10 wana uwawa kwa ajili yao just because yeye kudhani tu wenda ktk kuenenda kwao, watoto wakawa wameharibu somewhere- think about this once again-ng’ombe, kondoo au hata mbuzi 10 kuuwawa kila majira ya ibada baada ya feasting! Leo hapa Dar bei ya mbuzi/ng’ombe/kondoo mmoja ni sh ngapi? Halafu bado tunatafuta kutoroka na kuingia mitini kutotoa fungu la kumi kama moja wapo ya matoleo mengi tu ktk Bible?
Pia kuna mpendwa hapa anampenda Mungu kiasi kwamba hata kama alipewa chance ya kutoroka kutoa, opportunity ambazo tunazisaka kweli mechanically na si God given lakini kaka Daudi hakuchangamkia iyo chance ya kuingia mitini bali aliamua kuweka akiba ya matolea yenye thamani zaidi ya fungu la kumi kwa ajili ya mwanae kuja kujenga nyumba ya Bwana- angalia madini na vito vya thamani vinatisha sana alivyoweka/toa huyu brother hapa-1Nyakati.29:2-5
The fact that Abraham na Jacob gave tenth/tithe Gen.14:18-20, 28:22 before even specific Moses Laws or clear/popular prophets’ utterances, that by its self-cements the fact that, God loved from the past, when his people honour Him with their possessions-Proverbs.3:9
Yesu mwenyewe ametia moyo swala zima la kua na moyo wa kutoa aliposema tutoe ili nasi tupewe kipimo cha kushindiliwa..Luka.6:38
Nimeongelea Utoaji kwa ujumla ktk mifano hapo juu kuonyesha jinsi gani hii ni moja ya tabia kuu za Mungu na watu wake wanaomfuta kwa dhati. Na tunaposema utoaji, umo twakuta aina nyingi mifano zaka, malimbuko, changizo, sadaka za kuteketeza nk. Kwa kweli iyo hapo juu, jitihada yoyote ya kupangua /ku-adjust/ ku-harmonise /kubalance balance/kutwist focus ili watu wawe na second thought kuhusu kumtolea Mungu na hasa kwa maana hii ya zaka, ni msukumo wa kibinadamu zaidi kuliko Roho Mtakatifu na si moyo wa dhati wa kutaka kumpendeza Mungu kwa kufundisha jambo la kimbinguni la kikweliii. Pia jitihada izo zinatoa picha ya nature mbaya ya mwanadamu ambayo aidha viongozi wa mhusika kiroho au yeye mwenyewe hawajaishughulikia. Ni indicator ya madhara ya shibe kwa mtu kuanza kumsahau Mungu kwa ku-less prioritize mambo yake, ni roho ya ubinafsi na kujipenda/kujihurumia kupita kiasi.
Mtu akimpenda Mungu, hajisazi, si tu fungu la Kumi hata Isack kabisa ambaye ni zaidi ya fungu la kumi, hatatoka tu maana kwakwe yeye twaishi na kuenenda na kupata uhai. Yaani hata kua na wazo la kua kutoa zaka kila mwezi ni upotofu! Ilo wazo on serious note, linatokana na nini au ni kitu gani kimeki-inspire icho kiwazo au kuzaa thinking/wazo ilo? Ni Roho Mtakatifu? The opposite can be very true!!!!!!!! Ukitaka kujua kua something is wrong, tujipime tu tulikuaje kabla ya kuzikamata noti? Uko nyuma? mbona tulitoa tu fresh tena kwa raha hata ubongo kama vile haukufanya kazi? leo imekuaje? Kumetokea nini? au ndio Roho anasema more clearer than the past days nini? eti eee? Mh! hamna lolote ni kiburi cha uzima/maisha ndicho kinatusumbua, heri tuwe kama zamani, vitoto vizuriiii vya Yesu kufanya na kutenda mambo yote ya Ufalme na kanisa, Mungu nisaidie mie kwanza na kisha wenzangu.
KAMA kutoa KILA MWEZI fungu la kumi ndio kuna leta upotofu, kwangu hii ni minor issue, in fact this query is dismissed! Wajua kuna vitu so simple and minor ambavyo when are mechanically given huge weight to artificially make them sound voluminous and are made sweatingly climb the ladder, still their simplicity/lightness is vivid! Why monthly giving frequencies? Kwakua many members wa mijini na majijini wana income kupitia salary nazo hutoka mwisho wa mwezi, then logically it is easily and peacefully follows that kanisa kuweka utaratibu kwa upendo tu si kimabavu ili wawe wanatoa kila au mwisho wa mwezi, it is logical, right? kuna tabu gani hapo? Mbona wapo pia kuna members wengine ambao si wafanyakazi, wanatoa kila baada ya week, wengine siku? Kama kipato kinaingia kila week, mwisho wa mwezi, siku na mtu anaweza na anampenda Mungu wake na mambo ya kanisa/ufalme na Wachungaji wake wa KWELI( Walawi wa uhakika), si anatoa tu kwa raha na furaha zake!
Mantiki
nyingine ya kutoa kila mwezi ni kua kuna watu wengine hapo kanisani, wanahitaji
kula,kulala, kusomesha watoto, kama staff wa kila siku kanisani namely walinzi,
wafanya usafi wa mazingira, viti/benchi na vyoo vya kanisa ili ujapo kanisani ,
usianze kutukana live au moyoni ukutapo vyoo/viti vichafu mbaya, wahasibu wa
kanisa, housemaids wa nyumba ya kuhani, sasa hawa wote wanatuhudumia/hudumia
madhabahu na kanisa/jengo kwa ujumla, wale wapi? wanaendaje home? kodi je? Ingawa
fungu la Kumi ni kwa Makuhani but kwa upendo wa baadhi ya watumishi na care
zao, hasa pale washirika wanaompenda Mungu ambao hawatoi fungu la kumi bali la
15, 20, 50, basi baraka iyo hua extended kuhudumia wengine/mambo mengine pia. Isingekua
kuna mahitaji ya kila siku/monthly ya mjengoni kanisani hapo na watumikao humo,
well, mnaweza kukaa na fungu zenu za kumi toka jan na dec mkazitoa but hawa
watumishi mtakua mmewatendea haki? Mungu alijua nyumba yake itakua na shughuli
na washughulikaji ivyo anahimiza kuhakikisha iwe full kwa chakula(‘’chakula’…a symbolic language
kumaanisha kuwepo na majibu ya mahitaji yake na wakaao/watumiko hapo kwa ajili
yetu)-Malaki.3:10.
Na sijui why kila mwezi iwe bonge la issue wakati wako wanapokea/ earn kila week na kutoa out of their willingness ? That is why nasema hapa hamna serious stuff for serious mind/spirit to discuss hence this case, is therefore once again dismissed mercilessly. Sana sana ni kibinadamu zaidi ndio kinachotusumbua tu wanadamu, hakuna Roho wala sincerity kua kuna kitu cha kiMungu VERY CRITICAL tunakosea/ kinamiss/tumepotoka! Mmh! kiko wapi? show us/ me here boldly! bring that substance here and we will discuss/chew it together to help/bless each other in love- which does not mean failing to speak straight to one another the truth/fact.
Halafu embu pia tutumie common au spiritual senses/reasoning kidogo, why would God in the whole Bible, only here allows people to TEST Him ktk eneo hilo la kuleta zaka kamili uku akiwahaidi /akiwavutia/tia hamu kwa baraka za kutisha sana atakazoachia? Majibu ni hoja 3…kwanza anajua ‘much know nature’’ za wanadamu inapokuja swala la kuachilia mali/ fedha kwa Mungu( mambo ya imani kumpa/kutoa kwa Mungu aliyeko eti ndani ya Pastor/Kuhani wako na uyo kuhani azitafune izo noti kwa raha kabisa maana ana ruksa toka JUU kisha wewe uamini/ujue kwa hakika amekula Mungu halafu same same man of God wako mnakutana naye sokoni kununua bamia na sangara au na yeye anabamizwa kama wewe na ‘anopheles’ na ku-suffer badly malaria due to unfriendly parasites’ job in his body, iyo ‘much know nature’ ikishawaza ivyo kwakweli itakataa/kataza/wagomesha wanadamu wasitoe.
Pili, Mungu anajali na yuko fair! hawezi ona Watumishi wake alio watwaa kati yetu kumtumikia kwa ajili yetu, wafe njaa, wasote usiku na mchana kuomba na kufunga wakati tuna koroma, walie na kung’ang’ana na Mungu kila mara kupata nguvu, upako na Neno la kusema ili tukija tukute/tujue kweli Bwana amesema, halafu watu hao hao wa thamani, wawe frustrated na tabia zetu mbovu za unyimivu na kubania vinoti na vishiringi mpaka wengine inapelekea wanajuta kwanini walikubali mwito na mbaya zaidi wengine wanachoka kabisa na kurudi village kulima kwakua hali ngumu, wapendwa stiff-necked wanakomoa, wamegoma kutoa zaka na hata sadaka nyingine. Thus, Bwana inabidi afanye attractions/divine tempting if you like ili wale wagumu nao wakunjue mioyo na mikono hatari iyo inayo bajeti kuzidi waliosomea class kabisaa mambo ya budgeting!
Tatu, basi tu Mungu kama Baba, wakati mwingine pamoja na matatizo yetu e.g. ya kutotoa ili tubarikiwe, atalazimika kutusaidia tu ivyo ivyo. Unajua tena dad na watoto wake awapendae sana, so inabidi ‘kama alazimishie vile’ baraka, maana anazo nyingi lakini tunagoma kuzitwaa kwa kutoa, sasa naye anataka sana na ni raha yake kuwabariki wanae so inabdi tu sasa atushitue kidogo…’Hey! You guys/children, why are you too slow/hard, come on I have plenty in the store, give, give, give to my house or if you think I am making a joke (after all I never joke), well, test me/put me on test for this…give exact tithe then see/prove me wrong yaani if I will not do what I promised’’
Conclusively, Kwakua Mungu mwenyewe ni Mtoaji number 1 na kwakua Watu wazito ktk Bible/imani yetu walitoa sana hata wengine mafungu ya kumi kwa vipato vyao na hata ktk kila maongezeko na vilevile Yesu mwenyewe kuhimiza moyo wa kutoa ( mafungu ya kumi yakiwemo- Matayo.23:23) na kwakua mtu akishampenda Mungu au mtu/kitu, atafanya zaidi hata ya utaratibu ili tu kukukamilisha kiu ya pendo lake kwakwe ampendaye( iwe kutoa au kutumika kila sec,saa,dk,day,week mwezi nk basi swala la kutoa zaka kila mwezi ni jema sana na ashukuriwe Mungu kwakua, wakati wengine wanaona frequencies za kila mwezi ni tabu, wengine walishatoka uko kwa beginners struggles to an advanced eagle! Ni utukufu hata utukufu, alisema, ‘’kazi nizifanyazo mie mtazifanya naam na kubwa kuliko izo( Utoaji wa zero to hero pia included hapa)
.
Nitaendelea na hoja ya 3 kuhusu ''wanawake kukatazwa mambo kadhaa, hapa nina interests binafsi pia kwakua when a woman is mistreated, nina tatizo kubwa na mwanaume yoyote wa aina iyo kuanzia Baba yangu mzazi, thank God ameookoka sasa. So kwa kua nilikua na background spesheli na my no more mom, expect me to be on the side of the women sana tena kwa raha na confidence zote kabisa na hoja maridhawa hasa.
Press on,
Edwin Seleli
Ahsante brother Seleli!
Umenigusa sana na maelezo haya hapa chini kuhusu kutolea serikali sehemu ya kodi kwa lazima si hiari na TENA NI 30% YA MAPATO YAKO KWA MWAKA INAITWA COOPERATE TAX NDIO HIYO WANAFANYA MPANGO ILI KILA MWENYE TIN namba na anafanya biashara ataza KULIPA MWISHO WA MWAKA BILA KUKWEPA.
BARIKIWA SAANA
AHSANTE SANA Maduhu Mathew kwa mafundisho yako mazuri sana.
Ahsanteni woooote wenye nia nzuri kimaandiko kuelekeza watu ktk neema ya Kumjua KRISTO.
Barikiweni woote
Amen
Anthony
Kuna mambo yanahitaji mjadala ni yale yote ambayo Maandiko hayatamka lolote juu ya jambo hilo. Wengi wamekaririshwa neno torati bila kujua maana yake. Hivyo kila jambo lolote linalogusa nafsi zao ni torati. Wengi wanahitaji cheap grace. Sent from Yahoo! Mail on Android |
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
Janeth Mmari Shalom too,
Ubarikiwe kwa kutia moyo, nayo ni huduma na kitu cha KiMungu kabisa, feedback yako inatia moyo Mtu kuendelea kufanya huduma humu ukijua aisee! kumbe Mwandishi hajiandikii mwenyewe bali Watu kwa kua wanasoma na kuongea back! great! ni sawa sawa na Mhubiri yuko Madhabahuni, amechachamaa halafu anasema ''Bwana Asifiwe?'' au ''Amen? au ''Alleluyaa'' watu wote kimyaa au itikia yao ni ile ya ''plz maliza haraka twende home! Preacher mmoja kanisani kwetu alishawahi kutufokea mbaya na mwingine kwetu kule kwenye ng'ombe wengi alijifungia Biblia akakatisha mahubiri-!!!!Kweli mwitikio(positive or negative) makes the fellowship in here more lively,Amen and Amen.
Hoja Kuhusu Wanawake nilishamaliza siku sasa kama week ya 2 sasa, ziko ktk kichwa cha habari kile original cha Milinga kilichosema..''Je Mafundisho haya ni Potofu'' ndani ya subject hiyo iiliyoko humu humu, nilijibu hoja kuhusu Wanawake kwa kuzijumuisha 3 kwa mpigo kwa kichwa cha bhabari kidogo hiki..''WANAWAKE NA MAKATAZO KTK BIBLIA'' kilichokua na hoja 3 kuhusu wanawake hizi hapa chini.
HOJA NO. 3-Mafundisho ya kukataza wanawake kuvaa suruali ili hali zinafunika uchi na mwili wao kwa usahihi zaidi kuliko hata siketi na gauni.
HOJA NO. 9-Mafundisho ya kuzuia wanawake wasiwe viongozi wa kanisa au wasiruhusiwe kufundisha
HOJA NO. 10- Mafundisho ya kuzuia wanawake kufanya kazi zenye kipato kwa
misingi ya dini au mafundisho
Lakini pia chini ya kichwa kile kile original-''Je Mafundisho haya ni potofu?''. nilijibu Hoja nyingine 2 izi hapa chini.
''NYOTA ZILIZOIBIWA ZA WALIO NDANI YA YESU''' na ''MAFUTA NDIO UPAKO''?
Therefore, plz tafuta iyo Subject original, fungua then barikiwa mfulurizo Mtumishi. Kama unashindwa kui-trace iyo subject tokea upande wako, ask help toka kwa Mchungaji Mary Damian au hata mie ninaweza take trouble kuzikopi na kuzituma tena as separate subjects! Let us/me know. Amen.
Press on,
Edwin Seleli