Watu wa Mungu,
Wakati mwingine unaweza soma Neno na ukapitia tu maeneo mengi kwa kuserereka tu namna iyo lakini ziko nyakati usomapo inakua kama ghafla unaambiwa/unasababishwa ku-‘’STOP kwanza kwa hapa na pale na kile na hiki’’ halafu maandiko yale yale ya siku zote yanakua kitu kingine kabisa chenye upya/radha/nguvu ya ajabu sana, Roho Mtakatifu na Biblia ni ajabu sana, glory to God alleluyah,Amen.
Mathayo.18:1-5 =Katika saa hiyo wanafunzi wakamkaribia Yesu na kusema: “Ni nani kwa kweli aliye mkuu zaidi katika ufalme wa mbinguni?” Basi, akamwita mtoto mchanga, akamweka katikati yao na kusema: “Kwa kweli ninawaambia ninyi, Msipogeuka na kuwa kama watoto wachanga,hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. BASI YEYOTE ATAKAYEJINYENYEKEZA mwenyewe KAMA MTOTO HUYU MCHANGA ndiye ALIYE MKUU ZAIDI katika ufalme wa mbinguni; na yeyote yule anayempokea mtoto mchanga kama huyu kwa msingi wa jina langu ananipokea mimi pia.
(Notice: Tabia ya Watoto tena WACHANGA tunazijua! Huwezi amini Yesu anasema, kama hatubadilika/geuka kwa kiwango icho cha kua kama watoto wachanga/wanyenyekevu/mwololo/kushuka/, si tu HATUTAUINGIA BALI ‘’KAMWE’’ HATUTAUINGIA! Hata angeishia HATUTAUINGIA---inatosha kabisa maana amesema Yesu si mwanasiasa lakini kusigina/shindilia/seal kabisa na neno KAMWE…!!! oooh! My God, Mungu naomba rehema na msaada wako kwanza kisha na wandugu zako wote ktk BWANA)
Yohana.3:25-30 =Ukazuka ubishi kati ya wanafunzi kadhaa wa Yohana na Myahudi mmoja kuhusu swala la kutawadha. Basi wakamwendea Yohana wakamwambia, “Rabi, yule mtu aliyekuwa pamoja nawe nga’mbo ya pili ya mto wa Yordani, yule uliyeshuhudia habari zake, sasa anabatiza na kila mtu anamwendea!” Yohana akawa jibu, “Mtu hawezi kuwa na kitu kama hakupewa na Mungu. Ninyi wenyewe ni mashahidi wangu kwamba nilisema mimi si Kristo ila nimetumwa nimtangulie. Bibi harusi ni wa bwana harusi. Lakini rafiki yake bwana harusi anayesimama karibu na kusikiliza, hufu rahi aisikiapo sauti ya bwana harusi. Sasa furaha yangu imekamil ika.YEYE HANA BUDI KUA MKUU ZAIDI NA MIMI NIWE MDOGO ZAIDI
(Notice: Jibu la Yohana Mbatizaji liliwafundisha/maliza! anatoa mfano mzuri sana wa Mtu mwenye kushuka na kukubali kua ni YEYE tu Yesu anastahili ktk yote)
Mathayo.11:11= Amin, nawaambieni, Hajaondokea mtu katika wazao wa wanawake aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji; WALAKINI ALIYE MDOGO KTK UFALME WA MBINGUNI NI MKUU KULIKO YEYE.
( Notice: Hata Kama Yohana Mbatizaji alitisha sana hapa duniani MPAKA YESU KUMSEMELEA CV yake iyo yatisha kama nini, kumbe kule mbinguni ni kama chekechea tu kwa habari ya seniority! Ajabu kabisa jinsi gani Unyenyekevu ulivyo na mashiko ambayo Mungu anatutaka sana tuwe nao
1 Petro.5:5 = Mungu HUWAPINGA wenye kiburi bali huwa rehemu WANYENYEKEVU
(Notice: Sipati picha ilivyo mbaya KUPINGWA na MUNGU, bora na Chadema na CUF ukiwa CCM)
Daniel.4: 28-37 = All this happened to King Nebuchadnezzar. Twelve months later, as the king was walking on the roof of the royal palace of Babylon, he said, “Is not this the great Babylon ‘’I HAVE BUILT AS THE ROYAL RESIDENCE BY MY MIGHTY POWER AND FOR THE GLORY OF MY MAJESTY?’’ Even as the words were on his lips, a voice came from heaven, “This is what is decreed for you, King Nebuchadnezzar: Your royal authority has been taken from you. You will be driven away from people and will live with the wild animals; you will eat grass like the ox. Seven times will pass by for you until you acknowledge that the Most High is sovereign over all kingdoms on earth and gives them to anyone he wishes.” Immediately what had been said about Nebuchadnezzar was fulfilled. He was driven away from people and ate grass like the ox. His body was drenched with the dew of heaven until his hair grew like the feathers of an eagle and his nails like the claws of a bird
At the end of that time, I, Nebuchadnezzar, raised my eyes toward heaven, and my sanity was restored. Then I praised the Most High; I honored and glorified him who lives forever.His dominion is an eternal dominion;his kingdom endures from generation to generation. All the peoples of the earth are regarded as nothing.He does as he pleases, with the powers of heaven, and the peoples of the earth.No one can hold back his hand, or say to him: “What have you done?”At the same time that my sanity was restored, my honor and splendor were returned to me for the glory of my kingdom. My advisers and nobles sought me out, and I was restored to my throne and became even greater than before. Now I, Nebuchadnezzar, praise and exalt and glorify the King of heaven, because everything he does is right and all his ways are just. AND THOSE WHO WALK IN PRIDE HE IS ABLE TO HUMBLE.( Notice: huyu ni Mfalme/Rais toka Kasri la Kifalme/Ikulu anakuziwa porini na kisha anagezwa na Mungu kua ‘’kichaa’-(si pepo wala usikemee-kemeege vingine haraka/tusikariri, halafu Rais anakua kama ng’ombe na ana kula majani na kuishi msituni mpaka alipokua na adabu!!!!!!!!!!!! yaani kunyeyekea/kushuka na Mungu ainuliwe.
ISAYA.66:1-2 = This is what the Lord says: “Heaven is my throne,and the earth is my footstool.Where is the house you will build for me?Where will my resting place be?2 Has not my hand made all these things,and so they came into being?”declares the Lord.“These are the ones I look on with favor: those who are humble and contrite in spirit,and who tremble at my word.
( Notice: Bila shaka Anatuangalia wote generally kama viumbe wake LAKINI kuna zaidi ya general things! Iko specificity namely kuangaliwa kwa favour –ambayo haiji kamwe bila kunyeyekea/kua na moyo uliopondeka
PHILIP 2:8= Jesus Christ, the Son of God, “humbled himself and became obedient to death — even death on the cross!” We owe no less to one another.
( Notice: Huyu ni YESU MWENYEWE- si Mchungaji/Askofu/Mtume/Nabii/ Obama/Putin/ Mandela/ PM/Bill Gates, Airtel or Toyota owner bali ni Mwana wa Mungu wa PEKEE yet akashuka/jishusha/akanyenyekea
IMPORATNT: Wakati tunamyenyekea Mungu sana pia tumeamriwa kunyenyekeana sisi kwa sisi, inarudi kanuni ile ile nzito ya ‘’Mpende Bwana kwa …… na kisha jirani yako kama nafsi yako.
Press on.