| Pole na hongera sana mpendwa wangu! jambo hilo ni gumu na zito kwa akili na mtazamo wa kibinadamu. Lakini katika Ulimwengu wa Roho jambo hilo linakupa hatua kubwa sana katika imani. Mshukuru Mungu kwa yote. Usiache kwenda kanisani coz haiwezekani mwanadamu akutenge na Mungu wako. Kama kweli umeokoka mimi nakusihi uendelee tena uongeze bidii zaidi ya kumtafuta Mungu, kwenda kanisani na kukaa karibu na watumishi wa Mungu. "Challenges Strengthens relationship". Maisha yetu ya wokovu hayawezi kuthibitika tusipopita kaika majaribu na changamoto mbalimbali, ndyo maana imeandikwa; "Atayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokoka." Siyo atakayevumilia mpaka katikati! --- On Mon, 4/29/13, Stellah Maganga <maganga...@yahoo.com> wrote: |
| usilazimishe jambo tulia katika mikono salama ya mungu jikubali kuwa umwkataliwa na amani ya rohoni itakusaidia je ungekuwa umeathrika usingefuata ushauri ili uwe na maisha marefu lamsingi sahau na kuachilia -msubiri Mungu pastor thobiasi --- On Sun, 4/28/13, Strictly Gospel <strictl...@yahoo.co.uk> wrote: |
|
|
| shalom! pole sana kaka Ombeni samahani kabla ya kukupa ushauri naomba niulize maswali machache 1. je huyo mchumba ulimpata baada ya maombi/ ulipewa na Bwana au ni kwa njia ile yetu ya kawaida ya kuangalia tabia, mwenendo wake, ukoo wake, mazoea, tunasali wote, ameokoka n.k samahani kukuuliza swali hili lina maana kubwa.na sio peke yako wanao oana kwa njia hii 2. je hayo makosa uliyofanya ni dhambi au just hulka? nina maana kuna makosa ambayo hata mbele za Mungu ni dhambi mf uasherati, uongo n.k na kuna makosa ambayo si dhambi just hulka ya mtu kwa mwenzio inakuwa kosa mf. hujamnunulia zawadi, hujamtakia hali kwa kumpigia simu n.k na haya ni yale yaweza ikiwa kosa kwa mtu A na isiwe kosa kwa mtu B maana yawezekana unajihukumu bure wakati hujatenda dhambi USHAURI 1.Kwa wakati huu acha kujihukumu, kama ulitenda dhambi omba Toba kwa Mungu na jisamehe mwenyewe KWANINI TOBA ili shetani asije chukua nafasi akauangusha zaidi na asiendelee "kukusuta" kuwa u mkosji. PIA ili uendelee kujenga urafiki na uhusiano wako na Mungu maana hiki ndo kikubwa zaidi 2.kwa wakati huu usijaribu kujiingiza katika uhusiano na msichana yoyote maana shetani mjanja atakuletea binti kwa nje ni kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu then mkishafunga ndoa utabaki unaumizwa. 3. kwa kipindi hiki Roho yako na ifanye iamie UKURSA MPYA kabisa yaani kana kwamba hujawahi kutaka kuoa. Roho yako ihamishie katika KUTAFAKARI UKUU WA MUNGU TU zaburi 105:5 "zikumbukeni ajabu zake ALIZOZIFANYA MIUJIZA YAKE na hukumu za kinywa chake" yaani jitahidi muda mwingi uwe unamtakakari Mungu hasa uumbaji wake mf. mtafakari kunguru anavyo ruka kula lala nk kisha fikiri kuna mwanadamu aweza kufanya hayo? mfano mwingine eti bahari ya shamu inagawanyika kati n.k kwanini utafakari utakuwa umemshinda shetani anayetaka akutoe kwenye ewepo wa Mungu PIA uatweza kurudi katika hali nzuri kisaikolojia nk NA TENA utakuwa hujihukumu tena ZIADI YA YOTE utatiwa nguvu kwa Upya na Roho Mtakatifu najua sijukupa DIRECT SOLUTION but naamini kupitia hapa utapata mwanzo mpya. barikiwa doris |