Amani ya Bwana iwe pamoja nanyi siku zote
Kupata mimba kwa njia za kisayansi: je, ni dhambi?
Hana mchumba wala dalili za kuolewa
bila shaka ktk mtizamo wa kibinadamu. Ameamua kuzaa kisayansi kwa kupandikizwa mbegu
za toka benki ya mbegu za Kiume kama ilivyo tu benki ya Damu Mahospitalini. Je
huyu mdada ambaye amefikisha umri wa miaka 35 na kuendelea atakuwa ametenda
dhambi kwa kuzaa kwa njia hii ya kisayansi?
Dah! haya mambo ya kutopata Waume bwana tunayaongea na kujadili msiyachukulie simple kama tunapiga mastory, tuko ktk huduma kabisa na tumeona, kushughulika na mengi na hata kusoma mengi. Notice: Hii si story, huyo mdada anayeenda kupata mimba soon anafahamika na rafiki yangu Kanisani ambaye tuliyetafakari mada hii mahali fulani iliporushwa.
Kama Kiongozi wa Vijana, Wanafunzi, Mchungaji na Mwalimu au hata Msoma Neno tu na Ufahamu wako huru, unasema nini juu ya hili?
Press on.
Edwin Seleli
--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
strictlygospe...@googlegroups.com
![]() |
|
Two cases:
1)Hii mimba inaweza ikasababisha kifo cha huyu mdada. Atasemaje mbele za Mungu? Alipachikwa hiyo mimba na nani? Pia hiyo ni shauri la nani? La Mungu au la Ibilisi?
2) Yawezekana azae bila tatizo lolote. Je huyu mtoto siyo mara dufu mwana haramu?
Wewe dada, subiri tu, omba Mungu alie hai, atakupa mume tena mzuriiiii kwa namna usiyowazia.
AMEN
-------Message original-------
De : Cathy Marco
Date : 06/13/14 11:54:32
Sujet : Re: KUPANDIKIZWA MBEGU ZA KIUME ILI WAPATE WATOTO KWA MABINTI WALIOOKOKA NA KUJITUNZA ILA UMRI MKUBWA NA HAWAPATI WACHUMBA/WAUME |
Wapendwa shalom shalom.Amani ya Kristo iwe nanyi nyote.
Kwa nini upandikiziwe mbegu? kwani kuolewa pekee ndio kigezo cha kuingia mbinguni au kuonekana kuwa wewe u mwanamke kamili?
Ni maswali magumu kidogo, lkn mazuri.Natoa angalizo tu kuwa kutokuamini ni dhambi sawa na uchawi ama uongo na uzinzi.Jehova Mungu tunayemwomba kwa jina la Yesu ni Mungu ambaye hawahi wala hakawii. Kufikia hatua ya kutaka kupandikiziwa mbegu ili uzae ni kutokumwamini Mungu kwa kiac kikubwa mno.Kumbuka; Hesabu zake sio zetu, km asemavyo akili zake hazichunguziki na mawazo yake si kama yetu.We ukisema 35yrs umezeeka si kweli ni hofu zako. Mwenye imani thabiti hayumbishwi na hali ya nje. Je, umri huo ulioishi ni sawa na dk ngapi ktk kanuni ya Mungu ya miaka 1000=1day?Mwamini Mungu km alivyo. Wenzako tuna miaka zaidi ya hiyo yako lakini tumaini la ndoa liko palepale. Kwa kuwa aliyesema ni mwaninifuuuuuuuuuuuuu sana wala ndan yake hakuna hata chembe ya UONGO.
MHM: Chunguza NJIA zako, ulipoharibu tengeneza, uko sawa ktk njjia endelea kuchochea moto wa madhabahu hakika kama BWANA aishivyo, Atafanya.Mwache akutendee mpk wote watakaockia mackio yao yawashe.Gladys
![]() |
|
Kaka Seleli,
Wewe kijana unapendeza sana. Ndio maana nakupendaga. Maana ukitaka leta mzaha unaichonga kitaalam kabisaaaaaaa. Ok, ngoja nami nipime kukuiga kidogo, yaani nikujibu. Utanikubalia kama ukiiga hutafaulu kama specialist., si ndio?
-Kifo ni kawaida, hakikwepeki kama kimefika, pia kinaipitia njia yoyote iwemo ujauzito. Sasa hii haiombe kufunuliwa kwani tunawaona wakifa na ujauzito. Hence, this case is possible. Ndio maana, kaka Seleli usiruke mpaka kuufikia ufunuo kwa jambo ambalo ni la kawaida.
-Kinachoulizwa ni dhambi au la... sasa ni swali kwako: "akifa palepale ban...atasemaje mbele za Mungu?", Seleli, jibu, usikwepe.
-Ndio kaka, nimesoma vizuri tena na utaratibu yote. Sasa wewe jibu: "Je Mungu aliwaagiza watu waongezeke kwa njia ya kisayansa?". Pia "Seleli akiwa yule mdada na anajitetea mbele za Mungu eti sayansa ndio ilimupachika mimba atakubaliwa?"
-Hakuna njia zaidi ya mbili: kuwa wa Mungu au kuwa wa Ibilisi. Wewe unafahamu njia nyingine?
-Hii ni lugha ya kijamii: kuzaa bila tatizo ni kuzaa kawaida yaani mama anapata mtoto akiwa na afya nzuri before and after. Mungu akupe myaka ingine kadhaa hapa chini ya jua utafahamu hii lugha ya kijamii.
-Mwana haramu si unamfahamu ndugu Seleli? Mtoto anaezaliwa wakati babae hajulikane. Sasa kwa huyu, baba yake hajulukane na hatajulikana milele. Kwani baba yake anaitwa benki ambayo si mtu. Hiyo benki iwe inabandikwa number au la, baba ni benki, nayo si mtu.
-Hahahahahahah.... umeshiba ndugu yangu.
-Ulisahau kuniswali juu ya "Wewe dada, subiri tu, omba Mungu alie hai, atakupa mume mzuriiiii kwa namna usiyowazia."
Ubarikiwe saaaaaaana.
Alphonse Ziragora ![]() -------Message original-------
De : Seleli Edwin
Date : 16/06/2014 03:38:55
A : strictlygospel
Sujet : Re: Réf. : Re: KUPANDIKIZWA MBEGU ZA KIUME ILI WAPATE WATOTO KWA MABINTI WALIOOKOKA NA KUJITUNZA ILA UMRI MKUBWA NA HAWAPATI WACHUMBA/WAUME |
![]() |
Sasa kuna vitu umeshusha hapa, ni mawe ya thamani mnoooo aisee, glory to God, see below.....Stephen Mabinza,Yaani na wewe nimekosa sana-mmh! bora nimekumiss sana Kaka hapa SG live, good to see u meeen.
''''Umhimu wa Mtu kuwa na Watoto ama kutokuwa nao,anapaswa awe nao Mungu, na kujua wakati gani utapata mtoto nikujisumbua!''''......EXCELLENT POINT indeed brother.
'''Ibrahim alipomsikiliza mkewe na kujipatia Mtoto kwa akili ya mkewe, alipomtaka Mungu ampe Solution juu ya kumfukuza mkewe mdogo na mwanaye Ishmael watoke nyumbani kwa Sara kama alivyotaka Sara, Mungu alimjibu Ibrahim kwamba, MSIKILIZE MKEO SARA!'''.....wow! very very excellent observation/Ufunuo indeed man, dah!
''''Eva alipomsikiliza shetani, tunaona aina ya mtoto aliyempata! ...dah! a big question my friend aiseeee!
Ila kali mwenzangu, fafanua '''''Mpango wa kukusanya mbegu ili "KUZIZINISHA" ni mpango wa kimapepo'''.....Nini maana ya kuzini? huwezi zini na vyombo vya hospitali bwanaaa au? tehe tehe apo Kaka lete nondo za uhakika, sijakupata kabisa.
''''Ukipandikizwa mbegu, kisha mimba ile ikaharibika, na ukarudi tena kupandikizwa, pale Benki watakuwa bado wana mbegu zilezile?''........kwani issue nini hapo? unapopandikizwa-ongezewa damu zikaisha, si unarudi tu bank ya damu, shida nini kurudi bank ya mbegu za kiume? kwani lazima ukute damu ile ile? aaaa bwanaaaa, hapo leta kitu cha uhakika Man.
''''''utakuwa umezinishiwa wanaume wangapi? Mapepo bwana, kazi ipo!''... Tena sema maana ya kuzini na mapepo hapo yako wapi wakati hii ni fani Watu wanasomea darasani vema tu kama vile kusomea kutibu pua, macho, moyo, magonjwa ya Wanawake nk?
Hakika tu-press on tukijua...''"Ufahamu ni chembe ya Uhai!" tehe tehe Mabinza bwanaa ako kakibwagizo kako ako sijui ulikatoa wapi? ka aina yakeee eeee? tehe, safiiiiii
Edwin Seleli
2014-06-19 4:42 GMT+03:00 Seleli Edwin <selel...@gmail.com>:
Edwin SeleliPress on coming live hapa SG, tule na tulishane MANA ya JUUBack to business now... yaani I am telling you, hizi parts zako zifuatazo, zina nguvu mmmmmnoooooGladys,Wow! siku nyingi rafiki yangu, '''nimekukosa''....( mmmh! hata hainogi iyo nadhani hii ndio yenyewe..''Nimeku-miss'' sana hapa Kanisani aisee, ulitwaliwa kwa muda kwenda JUU ili urudipo uje kutujuza mambo mazito? ha ha ha ha ha Gladys, bless u)
''''kuwa kutokuamini ni dhambi sawa na uchawi ama uongo na uzinzi'''.... yaani UMEONYESHA KUMBE HASWAAAA TATIZO NI KUTOAMINI siyo? great Ufunuo/reasoning indeed hadi nimekumbuka Somo moja niliwahi rusha hapa...''KUTOMWAMINI MUNGU NI DHAMBI MOJA MBAYA SANA KULIKO TUNAVYOWEZA FIKIRIA,yup? unakumbuka? safi sana Gladys.
''''We ukisema 35yrs umezeeka je umri huo ni sawa na dk ngapi ktk kanuni ya Mungu ya miaka 1000=1day?, Wenzako tuna miaka ZAIDI ya hiyo yako lakini tumaini la ndoa liko palepale.'''....dah! we mdada mwebrania kiboko, yaani unakuaga muwazi kweli, maana mabinti sayuni wengi marafiki zangu Makanisani uko, kutaja au hata kuashilia ana miaka mingapi, weeeee ni hatari sana, NEVER WILL THEY DO THAT-tehe and ofcoz it is understandable u know, sasa wewe ni namba nyingine kabisa ya Bwana, umetandika tu haraka, una ujasiri na imani kuu sana, ubarikiwe mnoooo kwa kujitumia wewe kama teaching aid ku-cement hoja yako, hapo nimekukubali Mwalimu na Mwinjilist fire-fire wewe, Amen
Edwin SeleliPress on coming live hapa SG, tule na tulishane MANA ya JUUBack to business now... yaani I am telling you, hizi parts zako zifuatazo, zina nguvu mmmmmnoooooGladys,Wow! siku nyingi rafiki yangu, '''nimekukosa''....( mmmh! hata hainogi iyo nadhani hii ndio yenyewe..''Nimeku-miss'' sana hapa Kanisani aisee, ulitwaliwa kwa muda kwenda JUU ili urudipo uje kutujuza mambo mazito? ha ha ha ha ha Gladys, bless u)
''''kuwa kutokuamini ni dhambi sawa na uchawi ama uongo na uzinzi'''.... yaani UMEONYESHA KUMBE HASWAAAA TATIZO NI KUTOAMINI siyo? great Ufunuo/reasoning indeed hadi nimekumbuka Somo moja niliwahi rusha hapa...''KUTOMWAMINI MUNGU NI DHAMBI MOJA MBAYA SANA KULIKO TUNAVYOWEZA FIKIRIA,yup? unakumbuka? safi sana Gladys.
''''We ukisema 35yrs umezeeka je umri huo ni sawa na dk ngapi ktk kanuni ya Mungu ya miaka 1000=1day?, Wenzako tuna miaka ZAIDI ya hiyo yako lakini tumaini la ndoa liko palepale.'''....dah! we mdada mwebrania kiboko, yaani unakuaga muwazi kweli, maana mabinti sayuni wengi marafiki zangu Makanisani uko, kutaja au hata kuashilia ana miaka mingapi, weeeee ni hatari sana, NEVER WILL THEY DO THAT-tehe and ofcoz it is understandable u know, sasa wewe ni namba nyingine kabisa ya Bwana, umetandika tu haraka, una ujasiri na imani kuu sana, ubarikiwe mnoooo kwa kujitumia wewe kama teaching aid ku-cement hoja yako, hapo nimekukubali Mwalimu na Mwinjilist fire-fire wewe, Amen
2014-06-16 17:30 GMT+03:00 'Gladys JB' via Strictly Gospel <strictl...@googlegroups.com>:
![]() |
|
Ndugu yangu Seleli,
-I repeat once again, nakufurahiya wewe kijana wa Yesu. na nilifahamu huwezi kwepa, lakini makusudi usishau nikakuwekea kale ka neno kadogo. I think you understand. Hata nami nacheka pamoja nawe. Pia nilifahamu wewe si mvivu. Pia nakushukuru kunielewa mnoooo kwa mambo takriban matatu amboyo yanafunga yote: kuhusu kifo kuwa na mtoto ambaye babaye ni benki na mwanaharamu.
-Hii unayosema siyo mzaha, pengine yule dada iko. Tunapomuita dada ni kwamba tunamheshimu. Pia bado yeye kukufuru Roho Mtakatifu, ina maana angali anaweza samehewa. Nilichoona ni mzaha ni kumwosha bila kutuambia ametubu.
-Seleli, huyu dada alitenda uasharati na sayansa kwani mbegu yake ya kizazi ilikutana na mbegu ya mwanaume wa benki. Hii hailinganishwe na kusaidiwa hospitalini wakati wa kuzaa. Kabila teule la Israeli lilikuwa na wazalishaji, yes, unafahamu. Kusaidiwa wakati wa kuzaa siyo kuchukua mimba. Pia Mungu hakusema na mwanamke kama atazaa kirahisi, alimwambia atazaa kwa uchungu. Halafu ile uchungu hakuendelea kusema kama itafikia kiwango kipi. Kusaidiwa hospitalini ni mojawapo wa kuthibitisha neno la Mungu kama mwanamke atazaa kwa uchungu. Si hiyo uchungu ndio inamfikisha kule? Wengine wanapelekwa kule pasipo ufahamu, unajua!!!!
-Ninaposema njia mbili, ni za kiroho. Ile ya kimwili unayotaja siyo njia. Mwili inafanya ile itokayo ndani ya utu wa ndani. Pia mwili hutariti ufalme wa mbingu wala wa Jehanum.
-Ibrahim, kinachompa ushindi ni Imani. Ndio maana akaitwa baba wa imani. Ni katika kujitahidi kuamini kama Mungu hawezisema wongo ndipo alimkamata kijakazi chake kinyume ya mapenzi ya Mungu. Pia Mungu aliendelea pima imani yake hadi kumuomba amtolea mwana wake wa pekee Isaka. Nafikiri wewe kama kijana wa Yesu, unatafuna hilo fumbo la Mungu kumuita Isaka kuwa mwana wa Ibrahim wa pekee licha ya kuwa alifahamu kama kulikua pia Ismaeli. Kwa kipindi kile Ibrahim aliupitia mtihani ambamo aliwai kujuta lile alilolitenda kwa kumzaa Ismaeli, na hiyo ni toba. Sasa huyu dada akitubu atasamehewa lakini alichokifanya ni uasherati pamoja na sayansa, pia ule mtoto ambae umesema anaishi ni mwanaharamu. Tuko katika kipindi cha neema, unafahamu, mtoto huyu hana hatiya, ataokoka kufwatana na jinsi atakavyomkuta Yesu.
-Pale pote uliposema hujue kama Mungu atahukumuje, ujibu kama atamfanyaje muasharati.
-Hahahahahahahahahah nafurahi sana kuongea na wewe, pia hongera kwa kazi unayofanya. Utalipwa kabisaa..................
Ahsante. -------Message original-------
De : Seleli Edwin
Date : 06/26/14 02:30:16
A : strictlygospel
Sujet : Re: Réf. : Re: KUPANDIKIZWA MBEGU ZA KIUME ILI WAPATE WATOTO KWA MABINTI WALIOOKOKA NA KUJITUNZA ILA UMRI MKUBWA NA HAWAPATI WACHUMBA/WAUME |
Ziragora,
What? ati mie kijana napendeza sana, Ndio maana wanipendaga''... wow! ha ha ha real? napendeza eeee? wanipendaga siyo? asante mnoooo and nyie SG mwapendeza sana and mimi wapenda sana nyie wote kabisaaaa ndio maana natia bidii siku zote kuchapa kazi hapa, ije jua au mvua, Jan-Dec, napiga kazi tu kwa kwenda mbele, mwanzo mwisho, nikijua siku ile tukiwa JUU as per this Rev.20:12 itanilipa tu, amen? read it here '''Nikawaona wafu, wakubwa kwa wadogo, wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi; na VITABU vikafunguliwa; na kitabu kingine kikafunguliwa,(DATABASE izoooo) ambacho ni cha uzima; na hao wafu WAKAHUKUMIWA KTK MAMBO YALIYOANDIKWA KTK VILE VITABU- DATA BASE- SAWA NA MATENDO YAO'''....yup? peace and love brother in Jesus name.
Sasa twende kazini/hudumani now.....
Hapa sikajakuelewa kwa hii....''''Maana ukitaka leta mzaha unaichonga kitaalam''' ..upi mzaha hapa? LABDA KWA TAARIFA YAKO, KULINGANA NA RAFIKI YANGU ANAYEMJUA HUYU DADA KTK POST NIMELETA, NAVYOONGEA NAWE, HATIMAYE AMESHAJIFUNGUA/ZAA MTOTO -upo hapo best? hehehee we acha tu kuna mambo mazito ktk swala la BAADHI ya akina Dada wanapongoja sana na wasipate Wa-Kaka Sayuni, Pia mwingine namfahamu, napoongea nawe ana ujaziuzito wa RC Bikira Maria Man-Mdada wa nguvu, wa zaidi ya miaka 20 Kanisani na ktt Imani na Utumishi-naongelea kifaaa haswa cha Bwana, hatimaye akaenda kuolewa- nacho kimechepuka toka NJIA kuu, habari ndio iyo man, kama ulidhani mastory ya town, wakati mie napiga kazi hapa kutafuta hekima/Neno/Shuhuda/ ufahamu/akili Watu waibue na kufunguka kwa kuleta mada laini na chokozi, basi nimekupa live now full CNN BREAKING NEWS iyoooo. Kuhusu swali la Kifo-umejibu safi mnooooo, nimependa kabisa balance ile ndio maana nilikuuliza swali ili kukufanya uweke balance iyo, yup? Umeniuliza..."akifa palepale ban...atasemaje mbele za Mungu?" na kunisisitizia ivi....Seleli, jibu, usikwepe.JIBU: Seleli kamwe hakwepagi swali, kama anajua atajibu kwa nguvu na hoja maridadi kabisa na hata kama aidha hajui na alikua hajui, atakiri na akishajua pia ata appreciate tu kiroho safi kabisa wala aachagi hata jiwe juu ya jiwe ktk mijadala na masomo, glory to God na wala si mvivu ktk kuchapa kazi, unajua hilo hata wewe, so relax man, therefore JIBU NI..... hajafa na ameshazaa tena salama kabisaUmenitaka ivi....'''Sasa wewe jibu: "Je Mungu aliwaagiza watu waongezeke kwa njia ya kisayansa?"JIBU: Hata unampompeleka Mke hospitali kusaidiwa kujifungua salama mikononi mwa Maktari na Manesi hata kupasuliwa/chanwa ili mtoto atolewe ni Kisayansi pia, why dhambi kupandikiza mbegu-kisayansi pepo lakini kuchana Mke na mikasi-iwe kisayansi malaika? imeandikwa wapi zaeni sipitali? wapi? kukwepa kuzaa na kuongezeka Kisayansi-pepo, waacheni Wake zenu wazae home kama zamaniiii wakati wa ujima na hata leo vijiji vingi vya Waafrica ingawa pia huko kuna local sayansi nako-so kama kuna za kipepo or malaika, kazi unayo babuu kufanya utafiti-tehe tehee! ''Pia "Seleli akiwa yule mdada na anajitetea mbele za Mungu eti sayansa ndio ilimupachika mimba atakubaliwa?"..JIBU! Kweli bado Sijui kwa hakika Mungu ktk moyo wake atamuhukumuje mdada aliyejitunza miaka yote na hatimaye akafanya kama Ibrahimu-kuchukua njia nyingine lakini kwa huyo dada hoja yake sijui ni zaidi ya Ibrahimu maana alisema hataki KUMKOSA MUNGU KAMWE KWA KUZINIWA NA MWANAUME LIVE ILI KUSHIKA wewe unasemaje? tehe! '''Hakuna njia zaidi ya mbili: kuwa wa Mungu au kuwa wa Ibilisi. Wewe unafahamu njia nyingine?''''.... JIBU: Nafahamu ziko njia 3 ya Mungu, Shetani na Wanadamu-Kwenda Hospitaki haiko ktk NENO-Lakini twaenda, why? alternative ya kibinadamu kuponywa magonjwa na kuondolewa matatizo mengine, yup? -''''Hii ni lugha ya kijamii: kuzaa bila tatizo ni kuzaa kawaida yaani mama anapata mtoto akiwa na afya nzuri before and after. Mungu akupe myaka ingine kadhaa hapa chini ya jua utafahamu hii lugha ya kijamii''..JIBU ni swali-umeongea nini hapo sasa? nimetoka off the point man, come again clearer. '''-Mwana haramu si unamfahamu ndugu Seleli? Mtoto anaezaliwa wakati babae hajulikane''....JIBU: Aisee ndio ivyo kumbe? nafaurahi kufahami ilo. Hapa nimecheka mpaka nimekunywa maji na kukohoa ha ha ha ha ha ha ha dah!.... '''Kwani baba yake anaitwa benki ambayo si mtu. Hiyo benki iwe inabandikwa number au la, baba ni benki, nayo si mtu'''.... tehe tehe what?''baba benki''... tehe tehe tehee yaani jamani nimecheka saaaanaaaaaa,mmmmmnoooo kabisa, ati ''Faza Benki'', tehe tehe dah jamani hapana kwakweli nimecheka sana, asante Ziragora kwa kunipa raha man Hii kwamba...-Ulisahau kuniswali juu ya "Wewe dada, subiri tu, omba Mungu alie hai, atakupa mume mzuriiiii kwa namna usiyowazia.".....niliacha kukuswali kwa kua nilielewa tu very clear hapo
Press on,
Edwin Seleli |
2014-06-19 4:58 GMT+03:00 Seleli Edwin <selel...@gmail.com>: |
Stephen Mabinza, Yaani na wewe nimekosa sana-mmh! bora nimekumiss sana Kaka hapa SG live, good to see u meeen. |
''''Umhimu wa Mtu kuwa na Watoto ama kutokuwa nao,anapaswa awe nao Mungu, na kujua wakati gani utapata mtoto nikujisumbua!''''......EXCELLENT POINT indeed brother. '''Ibrahim alipomsikiliza mkewe na kujipatia Mtoto kwa akili ya mkewe, alipomtaka Mungu ampe Solution juu ya kumfukuza mkewe mdogo na mwanaye Ishmael watoke nyumbani kwa Sara kama alivyotaka Sara, Mungu alimjibu Ibrahim kwamba, MSIKILIZE MKEO SARA!'''.....wow! very very excellent observation/Ufunuo indeed man, dah! ''''Eva alipomsikiliza shetani, tunaona aina ya mtoto aliyempata! ...dah! a big question my friend aiseeee! |
Ila kali mwenzangu, fafanua '''''Mpango wa kukusanya mbegu ili "KUZIZINISHA" ni mpango wa kimapepo'''....Nini maana ya kuzini? huwezi zini na vyombo vya hospitali bwanaaa au? tehe tehe apo Kaka lete nondo za uhakika, sijakupata kabisa. |
Caroline mushi
Ubarikiwe wewe Dada yangu aiseee kwa machango, kuna mambo umeshusha, yana nguvu sana ukiyatafakari kwa kina mfano:
‘’Mpaka leo vitu alivyotamka Mungu viwe miaka mamilioni iliopita bado misingi yake ya uumbaji imevisimamisha’’
Huyu ndiye aliesema na maji yajitenge, ilibidi maji yafanye speedi nakutii mamlaka
ya huyu Mzee wa siku.
"Humanism" -tunatafuta suluhisho
pitia fikra za kibinadamu.
Nimecheka sana hii..’’’ukisoma tu Mwanzo sura ya kwanza
inatosha kumtetemesha mwanadamu na ajikute anasamasolti miguu juu kichwa chini tokea Machame nakujikuta Chalinze hivihivi!’’ dah! Hadi anatandikwa/ka sambasoti all the way from Machame na kuja zimika Chalinze? Hahaha nimekubali iyo Imani ya kubetua milima ya volcano hakuna mfano wake aisee, mwe! Ah aha aha!
Ila Ushauri, ukitumia au kama una maanisha Mungu, usimuite ‘’jamaa’’ au ‘’bingwa’’, hapana usifanye ivyo plz.
Otherwise, wonderful contributions kwa hii mada Caroline, yup? Amen.
Press on,
Eddy.
Ziragora,
Ubairikiwe Kaka.
Umesema..’’Nilichoona ni mzaha ni kumwosha bila kutuambia ametubu’’
Dah! NINA KANA SIJAMUOSHA ila nimeleta kisa mkidadavue pia kuchallenge ktk mianya kwa majibu yako ili utetee HOJA kwa nguvu ya HOJA pia, sawa eee?.
Hii ni kali sana mimi kujua leo hii hahaha,dah! Watu mna mambo umu, mafunuo hamna tena mfano wake kwa hii- ‘’’huyu dada alitenda uasherati na sayansi kwani mbegu yake ya kizazi ilikutana na mbegu ya mwanaume wa benki’’, hiyo ‘’uasherati na Sayansi’’-nondo mpya na kali aisee na yaani kila nikisoma ‘’Mwanaume wa Benki’’ sasa au post yako ile ‘’Baba Benki’, unanimaliza sana rafiki yangu ha ha ha ha ha ah ha opsuuuuu, dah! nacheka mpaka napaliwa kwa kweli.
Good ufafanuzi on this..’’ Kusaidiwa wakati wa kuzaa siyo kuchukua mimba’’
Hii kali, ndio najua leo, sijui ni kweli ama la hiii..’’’Kusaidiwa hospitalini ni mojawapo wa kuthibitisha neno la Mungu kama mwanamke atazaa kwa uchungu’’
Bless u brother,
Press on,
Emmanuel Nshimirimana
Wewe Mtu una vitu vitamu-vitamu tu siku zote toka kwa Mungu aisee, nimependa hili andiko na ulivyokamata line kupitia ilo
127:3 "Tazama wana ni urithi toka kwa Jehovah uzao wa tumbo ni thawabu." thawabu siyo kitu ca kujitafutia ni neema .
Kwa maoni yangu hii ni dhambi,
Hii nimechekea kweli ha ha ha ‘’’
‘’kwa vyovyopte katika mambo ya Mungu hakuna njia ya mende!!!.... Ha ha njia ya mende? ndio ipi iyo? Ikoje? Ndio nasikia leo tehe teheee, umeniburudisha kweli jamaa yangu wewe Nshimirimana
Asante sana kwa bonge la point hili..’’’huu ni ukosaji wa imana na kutokuwa na imani ndiyo dhambi kubwa’’ nimenote iyooooo, Aiiiiiimen and ameneeeee mpaka Burundi hadi Nyazaraki hukoo hahahaa. Bless u my dear ndungu.
Press on
Tusekelege Tuse,
Good point kwamba Kuchelewa kunaweza
kua na makusudi na pia mifano ya Sarai, Rebeka, Rechel safi kabisa na tena
excellent connectivity umefanya kua toka uzao huo wa akina Dada/Mama waliomgoja
Bwana, akaja tokea Mtu muhimu sana-YESU, good job Tusekelege, keep it up
flowing here LIVE at SG.
Ila hii umenichekesha sana hahahaaa dah! Tuse una mambo yako hadimu kwa kweli
kwa hii..’’’kuna watoto kutoka kwa ‘’Mungu’’ wa dunia hii usije ukapata mtoto ‘’ukimuuliza
moja ongeza moja anasema saba’’’, tehe tehe tehe heheeh yaani nimecheka kweli,
umefikiri nini wewe kuwaza ivyo? Ha ha ah ha.( Nonetheless, plz note, next time
tumia hii..’’mungu’’ kwa hilo dude la dunia hii, ok?
Excellent observation hii umeona kua..’’’Ni kweli ‘’mungu’’ amewapa maarifa wanadamu lakini vitu vingine tuangalia nafasi ya Mungu’’….( Nevertheless next time tumia hii ‘’Mungu’’ kumaanisha Yehova Baba yetu
Press on,
Eddy
![]() |
|
Seleli,
Wewe kijana.... , wewe mwenyewe umegundua unauchonga mzaha kweli!!!!!!!!!!!! Hakuna matataaaaa, ni vizuri kwani tunacheka;
Lakini jamani mambo tu hayafwatane sawa tulivyoandika. Unajua unapolinganisha uasharati kama ule na mwanamke halali anapoenda hospitalini, unapofananisha kumzaa Isamaël na kuzaa hicho kitoto kisayansa, unasomeka kama unasupport huyu dada aliejibandika mimba akiitumia sayansa. Na kama sivyo print off correction.
"Kusaidiwa hospitalini ni mojawapo wa kuthibitisha neno la Mungu kama mwanamke atazaa kwa uchungu". Tatizo ni lipi?
Ni kweli, leo hii kuna wenye kuenda ku hospitali ili wazae kwa njia ya kupasuliwa tu zaidi katika nchi za wazungu. Lakini kilicholeta mwanamke kutafuta kusaidiwa wakati wa kuzaa ni ule uchungu Mungu alisema. Mungu hana mzaha kwani anachosema anakitekeleza. Ndio maana inawafikia wanawake kufa katika hiyo uchungu. Sasa hiyo uchungu ndio inababaisha mwanamke hadi afike kwenye hospital. Nafikiri umedaka, na ubarikiwe. -------Message original-------
De : Seleli Edwin
Date : 30/06/2014 22:33:46
A : strictlygospel
Sujet : Re: Fw: Réf. : Re: KUPANDIKIZWA MBEGU ZA KIUME ILI WAPATE WATOTO KWA MABINTI WALIOOKOKA NA KUJITUNZA ILA UMRI MKUBWA NA HAWAPATI WACHUMBA/WAUME |
![]() |
|
Brother Seleli,
Nakufwata vizuri sana, lakini unachoniuliza niliishakisema. Nilisema kama ni DHAMBI. Ukiniomba kusema kama Mchungaji sitasema tofauti. Nikisema tofauti nitakuwa nashikilia pengine vitabu vya doctrines fulani kuliko bible. Sijue kama hukuelewa kama huyo mtoto atakaezaliwa au aliezaliwa ni mwanaharamu! Where is his father? That's simple, my friend!!! Huyu mtoto si yatima wala hakuokotwa barabarani! Tunaposema ni mwanaharamu tunaisema na uhakika. Sasa wewe unamweka katika kikundi gani cha watoto? Iwepo umeelewa ile yatosha kukufahamisha bila shaka kama alipotoka huyu mtoto ni pabaya(hiyo benki). Mwanaharamu hawezi kuwa aliezaliwa kwa njia safi. Ninaweza kukuletea shairi nyingi lakini kwa heshima mimi sione umuhimu wa kumpa mwalimu kama wewe shairi anazofahamu. Pia huwezipata katika biblia neno kama "hospitali" au "benki ya mbegu za kiume"; ndio maana shairi yoyote ningelileta itakuwa haina hayo maneno.
Lakini mahala popote unapowazia hospitali nilikuonyesha katika biblia: "wazalishaji", "ule mti wa dawa uliyotumiwa kwa kumponya Hezekia". Hence, tukiongelea swala la uchungu kwa mimba, mimi sikukuambia kuna wanaozaa kirahisi(pasopo uchungu). Nilichokuambia ni kwamba Mungu hakuweka kiwango fulani cha maumivu wakati wa kuzaa. Huko zamani vijijini hata leo huku kwetu kuna wanawake wanaozaa wakitoka shambani kwa kazi ya mlimo. Lakini kuna vile vile wanaoteswa sana na kuwa obliged kusaidiwa na wazalishaji. Wengine wanafariki katika kipindi hicho. Hawo wote walizaa kwa uchungu na wengine hawakuzaa bali hiyo uchungu iliwapeleka kufa. So, hapa hatuzungmuzie maneno mepesi. Ni maneno ya uchungu ndogo hadi kali iwezayo sababisha kifo. Ndio maana hata katika agano la kale wazalishaji walitajwa. Ndio maana kwa upande wangu, brother, nikaona kabisa ni mzaha kulinganisha kilicho halali na dhambi.
Ndugu Seleli, unasema hujawa convinced, niambie ukweli:"huyu mtoto siyo mwanaharamu?" Nakuswali wewe kama mtu anayefahamu lugha vizuri. Kwani Biblia inatuambia mengi juu ya mwanaharamu. Tukirudilia kwenye maandiko tutaona kama mwanaharamu hawezi tokea nafasi nyingine isipokuwa uasharati na uzinzi. Hence, kama si uasherati ni uzinzi. Pengine wewe unaona tu kama benki yaiwezi kutenda dhambi. Hapa nikupashe kama waliotenda dhambi ni yule dada na doctor ambaye alimpadikiza zile mbegu. Nafahamu unasoma Biblia, uasharati au uzinzi si hiyo tendo kama unavyodhani, ni pia TAMAA, na vingine kama kuabudu sanamu(miungu). Huyu dada alitamani azae bila kuingiliwa na mwanaume, lakini akatamani njia ya sayansa, tamaa ilipokomaa, ikazaa tendo, ndilo dhambi ya kupachikwa mimba na sayansa. Pia nikakwambia kama ni nje ya ndoa. Mtoto anazaliwa nje ya ndoa, jamani tuongeze ni ili aonekane kama ni mwanaharamu na kama ile fact ya kuzaa nje ya ndoa ni uasherati au uzinzi?
Brother Seleli, nakushukuru sana kwani hapa ni kujifunza. Kama kuna tatizo, be clear, litatatuliwa. Zingatia kama situmie UFUNUO/AKILI/UZOEFU. Natumia Biblia. Maneno kama uasherati, uzinzi, mwanaharamu, tamaa, wazalishaji, mti kama dawa, kuzaa kwa uchungu iko ndani ya Biblia, nawe unafahamu.
Jambo lingine, tangu agano la kale haadi agano jipya, dada anayezaa bado kuolewa ni muasherati. Haiombe watu kujikatakata ili wamfahamu aliempachika mimba, na hata akiwa ni mnyama au sayanza haitamsafisha. I think now you're convinced!
Ahsanti.
Alphonse Ziragora -------Message original-------
De : Seleli Edwin
Date : 04/07/2014 03:10:42
A : strictlygospel
Sujet : Re: Réf. : Re: Fw: Réf. : Re: KUPANDIKIZWA MBEGU ZA KIUME ILI WAPATE WATOTO KWA MABINTI WALIOOKOKA NA KUJITUNZA ILA UMRI MKUBWA NA HAWAPATI WACHUMBA/WAUME |
![]() |