UKIANZA HUDUMA NA KWA MUDA MFUPI au HATA MFUPI SANA UKAWA NA MAFANIKIO MAKUBWA SANA NA WALA HUKUSOTA SANA HADI UFIKIE MAFANIKIO HAYO HASA YA KIKANISA- mfano Kua na Watu/Wana/Kondoo Wengi, Mali ya Kanisa na Binafsi kubwa/nyingi sana, Umaarufu na Heshima ktk Jamii, uwezo Mkubwa kufanya Mikutano na Seminar Live na ktk Media, WAGA KUNA WALAKANI AU NI MTAZAMO WA ZAMANI NA KUNA WIVU TU WA KAWAIDA WA WANADAMU?
Lakini Je hawa ambao wanaonekana kua hajawafanikiwa kwa maana ya Juu, hawamjui Mungu kweli au ivyo ivyo Walivyo, ni Mafanikio tosha sana kwa Mtazamo wa Ki-Mungu, tehe?
Au hawa hao Wanaoonekana Wamefanikiwa kwa muda mfupi sana, kweli kuna mambo mambo ivi, ukichunguza kwa undani au? tehe tehe!
All in All, ktk Biblia, kuna namna tunaweza draw some fununu Lini na muda gani utumike KABLA ya kufikia Mafanikio ya Ki-Live ktk huduma?
Mmmh! yangu Macho na Masikio kujifunza
Press on,
Edwin Seleli