KUTUMIA TV/RADIO KUJUMUIKA NA WENZAKO KTK IBAADA, KUNA SHOTI KIROHO KUFANYA IVYO AU AMANI TU NA HAMNA SHIDA?

10 views
Skip to first unread message

Seleli Edwin

unread,
Jul 6, 2014, 9:44:20 PM7/6/14
to strictlygospel
Amani ya Bwana iwe pamoja nanyi enyi nyote,

Je kuna mahali na namna ktk Neno tunawezapata KWELI ili kupinga na kukosoa tabia hii kua ni mbovu sana na haifai kwa Mtu SERIOUS anayekwenda Mbinguni? hasa inavyoshamiri ktk baadhi ya Nchi zilizoendelea na hata zinazoendelea ktk Miji na Majiji Makubwa ya Kibiashara na yenye Watu wenye mishe-mishe mingi?

Kama kuna ubaya au kosa, madhara yake nini haswa kiroho na kitumishi hata ki-imani? Je mnaweza fundisha/rekebisha/onyesha kitu gani so SERIOUS ikiwa kuna tatizo kubwa ili Kanisa lipone?

Je Kitu gani anayekwenda LIVE ibadani anapata Zaidi kuliko anayekwenda Ibadani ELECTRONICALLY/KIDIGITALI? Yaani  wa Kijitari akishiriki kila kitu kama kutoa sadaka-kwa mpesa/Bank Ac ya Kanisa, Fungu la ten au twenty au mbili au M23,kuimba na kusifu kwa kufuata hao hao waliopo LIVE Kanisani pale, kusikiliza Neno na kuitikia ya madhabahuni, kutumika kwa yale yatatangazwa kua kuna hiki na kile kinahitaji kiki kile nk? Nini tofauti yake na yule wa LIVE ibadani pale?

Kwa hoja zipi haswa tunaweza kumfundisha huyu wa kushiriki Ki-TV/RADIO/LINK/MEDIA NYINGINE za Ki-internet na satellites kua ana matatizo tena makubwa sana kiroho?

Upande wa PILI, vipi yule anayeshiriki kwa kutumia IBADA YOTE lakini  ILIYOREKODIWA akaja kusikiliza na kuona baadaye si LIVE kama mwenziwe nambari one juu pale wa kidijitari pia? Kuna mambo atakosa kwa kua ni recorded Ibada?

Jaribu au Jibu maswali yote  au lolote unapenda na kuweza na kama una kitu unataka kufundisha/shirikisha Watu hapa.

Press on,

Edwin Seleli

Jacob Issack

unread,
Aug 19, 2014, 9:32:45 PM8/19/14
to strictl...@googlegroups.com
SHALOM.
MI NAMWONA ANAEKAA NYUMBANI NAKUDAI ANASIKILIZA\TIZAMA LIVE ANA
MATATIZO KULIKO HATA YULE ANAESIKILIZA RECORDED.
> --
> Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili
> wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia,
> kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu.
> Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424.
> Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk
> Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
>
> Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
>
> Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
> strictlygospe...@googlegroups.com
>

Cathy Marco

unread,
Aug 27, 2014, 5:50:02 PM8/27/14
to strictl...@googlegroups.com
kujumuika katika tv radia kunafaida yake ,nakukusanyika pamoja na wenzako kuna faida  zaid ya tv radio ni hayo tu

Seleli Edwin

unread,
Sep 14, 2014, 10:37:13 PM9/14/14
to strictlygospel
Jacob Issack,

Kwanini umesema hivi....MI NAMWONA ANAEKAA NYUMBANI NAKUDAI ANASIKILIZA\TIZAMA LIVE ANA MATATIZO KULIKO HATA YULE ANAESIKILIZA RECORDED? tehe tehe, ana matatizo kuliko kumbe? lo!  embu fafanua kidogo Man

Cathy,

''kujumuika katika tv radia kunafaida yake ,nakukusanyika pamoja na wenzako kuna faida  zaid ya tv radio'', Kivipi? Mifano ya faida izo? plz teach kitu hapo chema

Press on,

Seleli


2014-08-18 14:07 GMT+03:00 Jacob Issack <jka...@gmail.com>:
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages