AJALI YA BASI LA KAKORE TRANS,ARUSHA-DAR

39 views
Skip to first unread message

Daniel Elisante

unread,
Sep 16, 2014, 9:08:41 PM9/16/14
to strictl...@googlegroups.com, strictl...@yahoo.co.uk
Ni jana tu majira ya saa saba na nusu mchana siku ya j3 tarehe 15/9/2014.Ndipo basi lilipopata ajali ya kupinduka maeneo ya Mombo kabla ya kufika Korogwe mjini.Japokuwa basi lilipinduka,lakini huwezi kuamini kuwa hakuna mtu aliyekufa,isipokuwa watu wachache waliopata majeraha na wengine watu wawili hivi kukatika mikono na kujeruhiwa miguu.Yoyte kwa yote tuna kila sababu ya kumrudishia Mungu wetu aliye hai utukufu kwa jina la Yesu Kristo Bwana wetu.
   Hata ikiwa mwanadamu atakupangia muda wa kuishi duniani,lakini ikiwa Mungu hakuafiki huo mpango,hakika hayo hayatatimia kwako,bali utaishi nawe utayasimulia matendo makuu ya Mungu kwa mataifa yote wamjue Mungu kwa Yesu Kristo.
  Mimi daniel Elisante namshukuru sana Mungu kwa kuniponya,naye akasimama katika ajali ile kwa mkono wake kuteta na roho ya mauti iliyokusudia kumwaga damu zetu na kuondoa uhai wetu.Mungu akamwambia shetani wanangu hawa bado wana kazi duniani ya kufanya kwa utukufu wangu,hivyo haiwapasi kufa kwa wakati huu.Na leo na siku zote naungana na wenzangu wote tuliokuwa kwenye basi lile na wote wengine wapendao kumtukuza Mungu wetu,kila mmoja akisema "Mkono wa kuume wa BWANA umetukuzwa,mkono wa kuume wa BWANA hutenda makuu.Sitakufa bali nitaishi,Nami nitayasimulia matendo ya BWANA" Zab 118:16-17

Seleli Edwin

unread,
Sep 17, 2014, 9:17:25 AM9/17/14
to strictlygospel, strictl...@yahoo.co.uk
Fantastic! dah! my God, my Jesus! Daniel Elisante? kumbe ulikua ndani ya basi ilo my brother?

Yaani hata sitaki kupata picha ivi hua inakuaje gari inapinduka na Wanadamu wanabilingita mumo kwa mumo- Mungu Baba sitaki mambo haya hata kuyawaza kabisa, mbovu sana hii Dunia sometimes na madhahama yake! lo!

Aisee acha tumkukuze Mungu sana,  kwa JINA LA YESU eee Mungu nasema asante Baba, asante sana Baba kwa kumponya Mwana wako  Elisante Daniel Mtu apendwaye sana na Wanadamu wale-umeondosha majonzi na  kuepusha huzuni kubwa na kuumia mioyo na vilio vikubwa kwa familia nyingi kama wangekufa kama ajali ile ya Musoma na ya juzi Dar-Morogoro. Jina lako libarikiwe kabisa, kabisa JUUUUUUUU, Aiiiiiiiiiiiiiiiiimen.

Press on,

Seleli Edwin

--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
 
Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
 
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
strictlygospe...@googlegroups.com

Lyatuu

unread,
Sep 17, 2014, 9:17:26 AM9/17/14
to strictl...@googlegroups.com

Jina la Bwana lihimidiwe maana anastahili.
Hakika Mungu si mwanadamu. Mambo yake hayachunguziki.
Bwana aendelee kuwafunika
Emmanuel

Leah Mushi

unread,
Sep 17, 2014, 9:17:26 AM9/17/14
to strictl...@googlegroups.com
BWANA WETU  YESU KRITO ASIFIWE SANA KWA KILA JAMBO.  INABIDI KUMSHUKURU KWA KILA JAMBO ASANTE YESU.

Pole sana Kaka.  Ndio mlikuwa mnatoka Arusha via dar au dar via arusha?

LEAH CHIMBALI - ZAMBIA
--------------------------------------------
On Tue, 16/9/14, 'Daniel Elisante' via Strictly Gospel <strictl...@googlegroups.com> wrote:

Subject: AJALI YA BASI LA KAKORE TRANS,ARUSHA-DAR
To: "strictl...@googlegroups.com" <strictl...@googlegroups.com>, "strictl...@yahoo.co.uk" <strictl...@yahoo.co.uk>
Date: Tuesday, 16 September, 2014, 11:15

anna Msongela

unread,
Sep 17, 2014, 10:14:29 AM9/17/14
to strictl...@googlegroups.com
Haleluya, Jina la Bwana lihimidiwe milele. Maana ametenda makuu na Jina lake ni Takatifu.



 
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:

Siaka Nyanchiwa

unread,
Sep 17, 2014, 3:51:07 PM9/17/14
to strictl...@googlegroups.com
JINA LA BWANA MUNGU WA MAJESHI LIHIMIDIWE NA KUTUKUZWA MAANA NI MKONO WA KUUME WA BWANA MUNGU WETU NDIO ULIOTENDA HAYO

 
Siaka S. Nyanchiwa
   Internet cafe and
College Controller
P.o Box  70 Serengeti, Mara, Tanzania.
P.o Box 417 Tarime,Mara, Tanzania.
Contacts: sian...@yahoo.com/sian...@gmail.com.
Mobile:+255755527476.

Anthony Athanas

unread,
Sep 18, 2014, 9:42:25 AM9/18/14
to strictlygospel

Mungu ahimidiwe sasa na hata milele Ameen.

Anthony Mwenda

GIS ENGINEERING AND ENVIR. SERV. LTD
(+250)786 933 148(Rwanda)

(+255)767 022096(Tanzania)

(+255)715 422096(Tanzania)

m...@gisengineering.co.tz

www.gisengineering.co.tz

Gladys JB

unread,
Sep 18, 2014, 9:42:25 AM9/18/14
to strictl...@googlegroups.com
Ameeeeeen, aleluya, Glory to the Lord God of Hosts.


Atukuzwe Mungu Milele.

Gladys
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages