ALIKUA AMEJAA ROHO NA ANA HUDUMA YA UIMBAJI, LAKINI MANENO-MANENO NA MAHISIA YA WAPENDWA, YAMEMPELEKA DISCO LEO!

15 views
Skip to first unread message

Seleli Edwin

unread,
Jul 3, 2014, 9:10:49 PM7/3/14
to strictlygospel

Amani ya Bwana iwe nanyi enyi nyote,


MANENO-MANENO, HISIA, USENGENYAJI, KUSITUKIANA-SITUKIANA, KUMEUA KIROHO CHA MTU HATA KUTOKA KANISANI NA LEO HII YUKO FULL KUJIACHIA KWA DEVO


Inauma sana niliposikia story yake uso kwa uso na machozi yalinitoka moyoni nikasema ''eee Mungu mkumbuke Binti huyu, asife kabla hajaamka tena kukurudia na kuamini kua wako Wateule wanaoweza mpenda na kumtunza hata kufikia kimo na kina Yesu alichomtayarishia.


Kama alikua anakupenda ivi ktk UCHANGA WAKE KIROHO na akapenda kutumika  kisha ''akauwawa-killed- kiroho'' na ''Waliokomaa Kiroho'' waliopaswa kumlea na kupalilia alichokua nacho yaani Wokovu kisha Huduma/Karama, basi nasikia machozi hata sana kiutumishi kwa dada huyu rafiki yangu


Nilimsitukia wenda alikua na wokovu kwa ku kila tunapoongea, anaongelea mambo ya Mungu kidogo na kila akisikia gospel song, anakua  kama anazama-zama ivi na kuimba pia, lakini hapo hapo jana yake ametoka kujirusha nk- anasemaga na kupiga mastory hayo pia wakati mwingine,  mmmh! nikasema hapana, let me show love ya Kiutumishi na moyo wa Bwana, nikae naye, nikataka kujua historia yake, sasa baada ya kumsosho sana, akafunguka, dah!, aliyonieleza, nilitoa machozi moyoni, sikuamini!


Story yake ni ndefu lakini in summary, aliokoka kisha kupenda sana huduma ya kuimba na akaanza kuimba baadaye kwa kipaji chake akapendwa sana  ana Mtumishi msaidizi aliyekua  ni Kiongozi wa Praise and Worship nazungunzia upendo wa-KITAKATIFU.


Wapendwa wakanza kumsema kua anataka kumuangusha Mtumishi, yakakolea maneno  hata akaaitishwa vikao vizito, Anasema huyu dada kua alishituka sana kwa kua hakuwahi hata siku moja kuwaza hayo, yeye alihudumu na akapendwa tu na Kaka yake kiroho huyo Mchungaji Msaidizi. Aliumia sana, akalia sana kikaoni na kusema hana hila, hawamkusikiliza. Wakamsema kweli  na maneno yakazagaa Kanisani ktkt ya Wamama na  Wadada, akashindwa kua anasimama maana anaona kila mtu anamuona agent. Akataka kumuona Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo-Maarufu sana TZ kueleza ukweli kua hana shida kabisa, hakupewa nafasi


Wako walimuhisi kua alishatembea na Mtumishi yule mdogo, alililia anasema hadi kusikia kuzirahi.Akasema yuko tayari hata akina Mama kwenda kumpima kienyeji-kikicheni part au  hospitali watakuta hana hila yaani hajawahii hata siku moja kufanya mambo- alikua bikira-anasema mwenyewe ivyo, lakini wakamuona ni kahaba tu hapo kanisani  na ana agenda, wala hawakumsikiliza, aliumia na akalia mno ananiambia kisha, hatimaye akaamua kukaa tu nyumbani hata hamu ya kusali na kujumuika ikafa na leo, bahati mbaya sana, anapiga laga na kuruka majoka kwa DJ kama kawaida.


Nisaidieni ushauri na maombi-tumia initials zake dada EJ kumuombea, tamka na omba kwa imani na mzigo wa uzazi wa kiroho na kukasirika rohoni kua asife au devo asimkate hewa kabla hajarudi kwa Bwana, plz hepl me in this mzigo wa kuombea huyu dada, Amen


ONYO/OMBI: Tusiwe wepesi kuwahisi-hisi au dhania-dhania wenzetu  KWA JINSI WALIVYO, WANAVYOFANYA HUDUMA, URAFIKI WAKO NA UKARIBU MZURI TU kisha haraka haraka tunahitimisha kua ni makahaba,  wahuni, watafuta wadada na wanaume, ma-agent hata kusambaza mahisia hayo kwa Wengine, utaua Wengi Kanisani-PLZ SHUT UP KAMA HUNA UHAKIKA labda kama mazingira yatoe ushahidi mkubwa mno pasi na kuacha shaka.


Press on ktk kupata uchungu kwa kila Kondoo/kiungo chenzetu kinapokatika na  kufa kiroho.


Edwin Seleli

stephenmabinza

unread,
Jul 6, 2014, 9:43:35 PM7/6/14
to Seleli Edwin, strictlygospel
Nikweli story ya Dada EJ ni nzuri na inavutia kuisikia, lakini mleta mada anatutaka kumuombea Dada huyo! Mimi Binafsi sijajua Kuwa, tumuombee nini? Nauliza hivyo kwa sababu, huwezi kumuombea mtu kama hajakuambia shida yake, ili uipime kama inahitaji maombi au tayari jibu lipo! Pili huwezi kumuombea mtu kitu ambacho hajakutaka ukiombee, kwa maana katika maombi IMANI ya mhitaji ni ya msingi sana. Nanachokiona hapa ni Kuwa, Dada kamweleza mtumishi aliyeleta mada story ya maisha yake tu basi, hajasema hadi hapo haja ya moyo wake kiroho ni nini!

Zaidi ya hapo mambo mengine si kuwa yanahitaji maombezi, kwanza, kama mhitaji anaamini moyoni mwake na bado anasumbuka basi shida hapo ni ile TAMAA iliyomo ndani Make, mbayo inatokana na roho ya muovu inayomkalia, hapo si maombi ni Amri tu, shetani atoke! Yawezekana pia mtu akaonekana kwa macho kuwa ame fail, kumbe yumo katika hatua za utakaso, maana wokovu ni mchakato, sema watu hufanya tu haraka katika Ku "jaji" Kama, ni hivyo, maombi hapa ya nini?!

Kwa hayo machache Dada huyo, anayeonekana "kashindwa" sijajua anahitaji tumuombee nini?!

"Ufahamu ni chembe ya Uhai!"
MABINZA LS.

Steven Mwikwabe

unread,
Jul 6, 2014, 9:43:53 PM7/6/14
to strictl...@googlegroups.com
Mimi nimeku kama nimeganda,ujue kunakitu kibaya sana kiliingia katika
kanisa nacho ni mahubiri ya kuhukumu na kuhisi ubaya tuuu.mimi
nishayaona waumini na watumishi wengi watakuwa hatiani kwa makosa ya
kuua wenzao.dah Mungu amponye.dada EJ
> *ONYO/OMBI:* Tusiwe wepesi kuwahisi-hisi au dhania-dhania wenzetu KWA
> JINSI WALIVYO, WANAVYOFANYA HUDUMA, URAFIKI WAKO NA UKARIBU MZURI TU kisha
> haraka haraka tunahitimisha kua ni makahaba, wahuni, watafuta wadada na
> wanaume, ma-agent hata kusambaza mahisia hayo kwa Wengine, utaua Wengi
> Kanisani-PLZ SHUT UP KAMA HUNA UHAKIKA labda kama mazingira yatoe ushahidi
> mkubwa mno pasi na kuacha shaka.
>
>
> Press on ktk kupata uchungu kwa kila Kondoo/kiungo chenzetu kinapokatika na
> kufa kiroho.
>
>
> Edwin Seleli
>
> --
> Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili
> wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia,
> kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu.
> Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424.
> Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk
> Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
>
> Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
>
> Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
> strictlygospe...@googlegroups.com
>
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages