Hello Wanafunzi Wenzangu wa Bible SG,
Biblia ni tamu sana na tuisomapo, ununurishwa ndani yetu, Karibu kwa hoja chini
Mathayo.17:1-.13 Na baada ya siku sita Yesu akawatwaa Petro, na Yakobo, na Yohana nduguye, akawaleta juu ya mlima mrefu faraghani,akageuka sura yake mbele yao; uso wake ukang'aa kama jua, mavazi yake yakawa meupe kama nuru.Na tazama, wakatokewa na Musa na Eliya, wakizungumza naye.Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka, nitafanya hapa vibanda vitatu, kimoja chako wewe, na kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya.Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.Na wale wanafunzi waliposikia, walianguka kifulifuli, wakaogopa sana.Yesu akaja, akawagusa, akasema, Inukeni, wala msiogope.Wakainua macho yao, wasione mtu ila Yesu peke yake.Na walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu aliwaagiza, akasema, Msimwambie mtu ye yote habari ya maono hayo, hata Mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu.Wanafunzi wake wakamwuliza, wakisema, Basi kwa nini waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza?Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote,ila nawaambia, ya kwamba Eliya amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyotaka. Vivyo hivyo Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao.Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji.
Tutafakari pamoja ili:
Wanafunzi waling’amuaje kwamba waliokua wanaongea na Yesu ni Musa na Eliya? Kwakua hakukuweko na facebook,picha ktk album au kumbukumbu yeyote ya akina Musa/Eliya ili akina Peter waweze kujua kwa hakika sura ile ni Musa na ile ni Eliya!
Tunaweza jenga hoja kama watu tunaojua namna RM/MUNGU afanyavyo kazi kwamba
walifunuliwa?, well, excellent but tunajengaje sasa mpaka tukimfundisha mtu hasiwe
na kwere kua labda tuna-fix vitu ili ku-force mantiki fulani to back up our
sound doctrine? How can we carefully and Godly build/bring about this powerful
truth of RM functions in us out of this particular kind of tricky/challenging
passage of the scriptures?
Unavyomfahamu kaka Petero, are real convinced kua alitii ili agizo.. Yesu aliwaagiza, akasema, Msimwambie mtu ye yote habari ya maono hayo, hata Mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu? I mean yes, Jesus gave the instruction kua wasimwambie mtu..until… but the Bible does not say if they obeyed it anyway. Najaribu tu kuona watu wame-experince such marvellous vision/event-Yesu kubadilika, Eliya and Musa kutokea na wakachanganyikiwa kwa furaha hasa kiasi hiki cha Peter kutaka kujenga vibanda vya watatu mpaka akasahau kujenga kibanda chake mwenyewe wala ku-suggest na kujenga vya wapendwa wenzie, you can see jinsi alivyotekewa kwa furaha na mshangao na kisha the top of all..Mungu Baba kunena wazi wazi wakasikia kwa sauti kwa masikia yao ya nyama na kuanguka kifudifudi wakiogopa sana-imagine tunavyotamaniga hata kamalaika kaje tu na msg moja mara moja ktk miaka 5 but that day Mungu kabisaa akaongea, wow!, sasa kweli Peter alikaa kimya mpaka Yesu alipofufuka? Mbali na nature yake Peter ya kua free na kusema-sema au kutokua na aibu au kuremba-remba, hata ivyo hata kama angetaka kujibana ili kutii alichoambiwa na Bwana, aliwezaje kupangua pressure/maswali ya wenziwe kwa kua bila shaka walikuwepo wakumuuliza ‘’’aisee e bwana eee, kulikua na ishu gani uko mlimani na Bwana, mbona mlikawia kidogo? Na Kama walimbana kikweliii, Je, Peter akutiririka kweli siri/experience ile lakini out of kuchanganyikiwa kwa raha na furaha yaku-experience mazito aliyoyaona
Lakini kama hakukaa kimya na aka-share habari hi kama baadhi watu Yesu aliwambia wasiwambie watu habari fulani but ndio kwanzaaa walipoulizwa na mafarishayo….wale walitendewa,wajajikuta wanasema tu ingwa waliombiwa wasiseme.Kuvunja agizo kwa mantiki hii ni kua disrespectful gravely against our Lord and savior?
Unadhani ni
possible reasons zipi zilimsukuma Bwana kuwaambia/kuwa-instruct wasimwambie mtu
maono yale kabla hajafufuka?
Umeshawahi kutafakari mstari huu kihalisia siku ile na kiwewe..’’Na baada ya siku sita Yesu akawatwaa Petro, na Yakobo, na Yohana nduguye, akawaleta juu ya mlima mrefu faraghani’’, wanafunzi waliobaki huko walichukulia sawa tu au walipata kunyanzi? Unajua si jambo dogo mko wote na mnajua kua wote mnapendwa but at a certain time, Yesu anasema Seleli, TWENDE FARAGHA na nyie wote SG mnaachwa hapo kwanza! Tulieni uko kwanza, Kusema kweli ningekua pale siku ile na kwakua Yesu alikua so fair mpaka kuruhusu wanafunzi kushare mambo yao deep…eg.Peter kuuliza wameacha vyote vipi Master atarekebishaje ishu zao, so, kwa hakika ningemuuliza Yesu., why? Seriously ingekua inani-pain vibaya na wivu pia kanaumaaa kama vile kumuona yule mwanafunzi aliyependwa sana na Bwana pamoja na ukubwa wake yet alikua kila mara anadeka kifuani kwa Master wakati wengine tunaketi mbaali au kwa vitu or chini, eti yeye anafaidi-faidi tu ukaribu mzuri ule , ..Who do Peter,James and John think they are anyway? Aren’t we all the apostles-the great 12? Au Yesu aliwaona wao wana nini spesheli wakati wote tumeookoka, tuna RM na tuko naye Bwana kila siku kuchapa injili pale mjini Yerusalem na kwingine!?
Press on learning more from the unfinished spiritual gold mining reserve-the Bible
Edwin Seleli
Input yako nzuri Patrick,
Nitarudia kusoma tena nimeipenda sana barikiwa
Mwenda. Anthony
"Musa na Eliya wanawakilisha Torati na Manabii, ndio maana Petro aliposema wajenge vibanda vitatu, kimoja cha Bwana Yesu, kingine cha Musa na kingine cha Eliya, aktaka kuwaweka wote kwenye level moja ikabidi Mungu Baba kwa upendo aingilie kati....ndio maana akasema "Huyu ni mwanangu,,,msikieni yeye" notice hakusema chochote kuhusu Musa na Eliya. "
--
Wapendwa, naomba maoni, mafundisho khs kizazi cha nne ama vizazi vinne tuendeleze hapa, Barikiweni
--Mary
Mallya,
Hivi huyu Nabii Eliiya wa Kizazi cha nne ndiye yule anayewaambia wafuasi wake kuwa HAWATAKUFA? Nakumbuka alimponza (alimzuia kwenda Hospitali) Mkwe wangu (alikuwa amefikia/fanya kuwa Mchungaji ktk huduma yake) LAKINI ALIKUFA halafu yake wakaficha tusijue, habari zilipo-leak ilibidi wamzike na Mchungaji aliyeongoza mazishi yale alisema maneno yanayofanana na maneno yako – DC, alisema hivi “Nabii Eliya amekwisha muua Shetani kama huamini kawaulize waganga wa kienyezi watakuthibitishia”. Isije na wewe ukawa miongoni mwao wanaoamini hivyo, na ya kwamba hutakufa. LAKINI KUMBUKA HILI kama muda wa Bwana kurudi (kulichukua Kanisa lake) bado kama miaka 100 hivi, futi 6 kwa 2 chini ya ardhi ni yetu sote, yaani mimi, wewe na Nabii Eliya wa kizazi cha nne bila kuwasahau na wapendwa wote wa SG.
Wapendwa ni vema tukiwa waangalifu na roho zidanganyazo ambazo Mtume Paulo amezinena wazi wazi - 1Timetheo 4:1.
Mathew.
--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi
wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
strictlygospe...@googlegroups.com
"Je MARY huna ufahamu wa Kazi zipi Nabii anazifanya au UNADHARAU, angalia usije ukawa tasa au BUBU kwa UBISHI...Inajulikana toka zamani NABII ndiye anayepewa agizo na MUNGU Direct , naye analileta kwa waliokusudiwa...rejea MUSA, kwa nini MUNGU alimtumia yeye tu?? MUNGU siyo mwanadamu, mpaka akuamini sana ndipo atakupa agizo lake..maana wapo wengi waliotangulia ni WEZI na WANYANG'ANYI"
| shalom, kaka Mallya hebu rudia kufafanua maana mstari uliosoma na hii mada kwangu naona haviendi. naogopa kuendelea zaidi maana sijaelewa kiini chenyewe. naomba rudia kufafanua ili tukupate, na kama ni MENU BORA tuimeze fasta na kama sio ...... doris --- On Tue, 3/26/13, Mary Damian <maryd...@aol.com> wrote: |
|
|
|
|
Mallya,
Imekuwa vizuri umefunguka na kumwaga madude hayo humu ndani, ili wana SG wayajue.
Wapendwa Bibilia inasema “Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.” – MITHALI 26:2 (SUV). Hivyo hatuna sababu ya kumaindi mtu anapotoa vitisho.
Mallya, nina jambo jingine ambalo nina wasi wasi lao, ni hilo jina la Bazaleli unalolitumia. Je,ulilopewa na nabii wako wa kizazi cha nne?, Isije ikawa na wewe Bwashee, wamekuingiza kwenye mchezo wa kuwakana wazazi wako waliokuzaa halafu yake umepewa wazazi wengine. Kama ndivyo, inamaanisha kuwa yale mafundisho matamu ya “ALIMPENDA NA KUMJALI SANA MAMA YAKE, WEWE JE” ambayo wana SG tumewagusa kwako itakuwa ni utata. Seleli hapa una kazi ya ziada ya kuvunja lingome hilo. Tena Edwin mshukuru Mungu kwamba nabii wa kizazi cha nne hajayapata mafundisho hayo, maana kama DC anaweza kutoa tuvitisho huto, Je nabii mwenyewe???
Kuna kijana wangu mmoja (mtoto wa rafiki yangu na Mchungaji wangu) “aliingizwa” kwa nabii wa kizazi cha nne, baada ya kubatizwa tena alipewa jina jingine – TAKE IT or NOT, alipewa familia nyingine na kuzuiwa asiwe na mawasaliano/mahusiano na wazazi wake wa kumzaa na ndugu wote kwa ujumla. Na ili kutekelza hilo ilibidi abadili namba ya simu ili wazazi na nduguze watakapomtafuta wasimpate, alihama alipokuwa akikaa na kuhamia sehemu nyingine – chezea nabii wa kizazi cha nne, WEE. Mallya na hapo je una lakukana?
SG, Chunga usije ukaingia kwenye anga za nabii wa kizazi cha nne. Patrick, Edwin, Pastor Deo na Mary mnasema NENO la Mungu ndiyo SUPREME? Nani atathubutu kubishia neno la nabii wa kizazi cha nne– utakufa!!! Hivyo leo akiibuka na neno kuwa kamkata kichwa shetani (Joka) au akifunuliwa kuwa kuanzia sasa familia yako ni hii – unatakiwa UTII full stop.
Kuna mdada mmoja ni family friend, alichoropoka huko (ndiye aliyetulisha habari za kifo cha Mkwe wangu – tukio nililolieleza mwanzo, na mimi kuanza kuyajua madude hayo ilikuwa siku hiyo ya msiba. Maana niliyasikia kwa masikio yangu), mpendwa dada yule kilichomsaidia ni mafundisho ya msingi ambayo yaliyokuwa yamebakia ndani yake au niseme Neema ya Mungu ilikuwa juu yake. Yaliyomkuta huko nikianza kuyaelezea hapa utakuwa ni mkeka mwingine. SG kama kuna tendo la muujiza mkubwa ninaoutarajia humu kanisani ni kumwona siku moja Damian Cosmas Mallya (sio Bazaleli) ametoka kutoka katika shimo la udanganyifu la nabii Eliya wa kizazi cha nne na kuwa huru tena.
Kuweni macho kwa kwenda mbele.
Mathew.
--Mary
--Mary
--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
This email and any attachments may contain confidential information for intended recipient only. If you have received this email in error please notify the sender. Note that any copying, disclosure or distribution of the message is strictly prohibited. Email recipient(s) should check this email and any attachments for viruses. Tanesco will not be liable for any damage caused by virus.

Edwin,
Sorry wapendwa, sio wife ni in-law (MKWE). Kabla ya kwenda kwa nabii wa kizazi cha nne, alikuwa mtumishi wa Mungu mzuri tu na mzee wa kanisa wa TAG (among the big TAG churches in DSM), tulimpozea ki-aina hiyo ya deception maana aliaminishwa kuwa HATAKUFA halafu yake akafa, wakaamua kuficha ili ndugu zake wasitambue, hata wazazi wake waliomzaa nao walifichwa, kwa sababu tayari alikuwa ameshapewa another family!!! Tunamshukuru Mungu taarifa zili-leak mapema. Walikuwa wanataka kuzika wao wenyewe kimya kimya. Mhh, ilikuwa issue sio ndogo, mbaya zaidi watu wasiookoka walikuwa wanasema hao ndiyo mambo ya WALOKOLE. Niishie hapa. Wanaotaka detail yao nitawajuza kwenye email zenu yale machache ninayoyafahamu kuhusiana madude yao.
Mathew.
"Musa na Eliya wanawakilisha Torati na Manabii, ndio maana Petro aliposema wajenge vibanda vitatu, kimoja cha Bwana Yesu, kingine cha Musa na kingine cha Eliya, aktaka kuwaweka wote kwenye level moja ikabidi Mungu Baba kwa upendo aingilie kati....ndio maana akasema "Huyu ni mwanangu,,,msikieni yeye" notice hakusema chochote kuhusu Musa na Eliya. "
2. Musa na Eliya wanawakilisha Torati na Manabii, ndio maana Petro aliposema wajenge vibanda vitatu, kimoja cha Bwana Yesu, kingine cha Musa na kingine cha Eliya, aktaka kuwaweka wote kwenye level moja ikabidi Mungu Baba kwa upendo aingilie kati....ndio maana akasema "Huyu ni mwanangu,,,msikieni yeye" notice hakusema chochote kuhusu Musa na Eliya. Na ndio maana katika Waebrania 1:1 -2 tunasoma:
"Je MARY huna ufahamu wa Kazi zipi Nabii anazifanya au UNADHARAU, angalia usije ukawa tasa au BUBU kwa UBISHI...Inajulikana toka zamani NABII ndiye anayepewa agizo na MUNGU Direct , naye analileta kwa waliokusudiwa...rejea MUSA, kwa nini MUNGU alimtumia yeye tu?? MUNGU siyo mwanadamu, mpaka akuamini sana ndipo atakupa agizo lake..maana wapo wengi waliotangulia ni WEZI na WANYANG'ANYI"Kaka Mallya, najisikia kukukemea kwa jina la Yesu..Kazi za nabii yupi unayemzungumzia? nabii Eliya?....plz stoop!!
--Mary
-----Original Message-----
From: mallyadc <mall...@gmail.com>
To: strictlygospel <strictl...@googlegroups.com>
Sent: Tue, Mar 26, 2013 11:03 pm
Subject: Re: JOKA ameshafungwa Miaka 1000 na minyororo migumu
""Kauli mbiu yenu ni Shika NENO tenda NENO...lipi? au ni nabii peke yake ndiye anayeruhusiwa kupewa hilo NENO ili awagawie wengine? ""
Khaaaa, nooo Dada Mary you must be serious...
Hii si kauli mbiu kama kwenye siasa au kwenye taasisi...Hii ni amri ya Bwana..Kwamba KULISHIKA Neno Lake na KULITENDA...siyo kusikia Neno na kutolifanyia kazi..KWA HIYO NAFUTA USEMI WAKO KWA MAMLAKA YA DAMU YA YeSU kwamba neno hilo ni Kauli .MBIU..ninalihamishia kituo cha amri ya Bwana kama unampenda utafanya anayofundisha.
.HULIJUI NI NENO LIPI?? Bwana Yesu ametamka Maneno mangapi tunayotakiwa kuyafanya??? Basi kama huna NENO lolote jaribu hata hili:
1. Nimewapa amri kukanyaga Nyoka na Nge. (SIJUI HAPA UTAFANYAJE WAKATI ELIMU YA MAJOKA NA JOKA HUnA, utamuona seleli.) Je umetenda NENO hilo?
2.Nimewapa mamlaka ya kufunga na kufungua,utakachofunga duniani na mbinguni kimefungwa, utakachofungua duniani na Mbinguni kimefungwa.(Funguo unazijua??? DAMU YA Haki na Kweli na HUKUMU, Jina la YESU, Mafuta Matakatifu, (JE UMETENDA NENO)???
Je MARY huna ufahamu wa Kazi zipi Nabii anazifanya au UNADHARAU, angalia usije ukawa tasa au BUBU kwa UBISHI...
Inajulikana toka zamani NABII ndiye anayepewa agizo na MUNGU Direct , naye analileta kwa waliokusudiwa...rejea MUSA, kwa nini MUNGU alimtumia yeye tu??
MUNGU siyo mwanadamu, mpaka akuamini sana ndipo atakupa agizo lake..maana wapo wengi waliotangulia ni WEZI na WANYANG'ANYI...
"" au ni nabii peke yake ndiye anayeruhusiwa kupewa hilo NENO ili awagawie wengine? "" HILI SWALI NI LA KI KERUBI ulifute moyoni mwako kwa damu ya YESU...usimjaribu MUNGU....WHO ARE YOU ANYWAY???
Bezaleli DC
Mwana wa Kizazi cha nne..Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
--Mary
--Mary
Subject: Re: ILIKUAJE WAKAFAHAMU KUA WALIKUA NI MUSA NA ELIYA?
Mwana Wa Mungu Mfuasi Lwembe,
Kweli ELIA Yauja kurejesha yote, kutengeneza yote...
Nchi yetu imepata Neema Kubwa sana kupendelewa na MUNGU wa MAJESHI kizazi hiki cha nne cha UNYAKUO kutupatia Nabii miongoni mwa Kondoo zake, naye ni Nabii ELIYA Adamu wa Pili MUNGU wa Majeshi.
Haswaa, mwenye agizo la Mungu kinywani mwake..la kuivunja misingi mibovu ya mila na desturi za wanadamu na watu, mwenye roho ya Matengenezo, upatanisho, marejesho na Kujenga. Ambaye mwenye wivu wa Bwana .
Amemtengenezea Bwana Kanisa (si dhehebu wala dini) linalomuabudu Mungu katika Roho na Kweli kama alivyopewa Agizo .Ametuletea Majira sahihi ya Nyakati zake MUNGU wa Majeshi.na Amefanya Maagano yanayotenda kazi kilasiku, sasa ameleta Zamu ya Alfajiri ambapo MUNGU mwenyewe huwapukutisha maadui wa Kanisa na wana wa Mungu na kazi zao.
Naye amezaa wana wanaofanana naye katika Huduma .Asiye na Wivu.
""Si unawaona akina Henoko na Eliya wamenyakuliwa hawakukionja kifo kama mamilioni ya watakatifu wengine, ingawa Eliya atarudi aje auawe, (sijui ndiyo huyu nabii Eliya wa kizazi cha nne, nitamuuliza Bezaleli DC!).""
Nabii ELIYA wa kizazi cha nne, pamoja na kanisa lote pamoja na watenda kazi wa MUNGU kizazi cha nne hawatauawa kama DUNIA ilivyozoea, maana NEEMA ya MUNGU ni kubwa kumuangamiza kabisa shetani na JOKA lile la zamani lililowaua manabii wa MUNGU kizazi cha kwanza mpaka cha tatu...(Wakati wa MUSA,ELIYA na YESU).
MUNGu ameshuka mwenyewe na amemuangamiza JOKA lile la zamani na wote wanaotegemea uzuri wa lile joka na wanaotegemea roho za utambuzi kupitia like Joka, wote wamepukutishwa na BWANA.
Kanisa halidharauliwi tena, na lipo katika safu yake..
Ni wakati wa KICHEKO kinachowaangamiza maadui..si wakati wa vilio...JOKA ameshafungwa Miaka 1000 na minyororo migumu, maroho yake na vibaraka wake hayawezi tena kulishambulia kanisa... Na wakati wake mchache umefutwa...
Ukishangaa ,ingia 1 kor 2:6-10
Maana kadiri unapokuwa karibu zaidi na unapozidi kumsogelea MUNGU ndipo ufahamu wako unapozidi katika ufunuo wa MUNGU na maono ya MUNGU.Shetani,IBILISI,Lile JOKA la ZAMANI anazidi kuwa mbali nawe anafutika katika ufahamu wako anakuwa amekufa katika ufahamu wako...
Ubarikiwe ulishike NENO na ulitende NENO...utapata ujira wako.
Bezaleli DC
Siku ya saba. Agano la mwisho wa mambo mabaya, na mwanzo wa Mambo mazuri tu.Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
strictlygospe...@googlegroups.com
This email and any attachments may contain confidential information for intended recipient only. If you have received this email in error please notify the sender. Note that any copying, disclosure or distribution of the message is strictly prohibited. Email recipient(s) should check this email and any attachments for viruses. Tanesco will not be liable for any damage caused by virus.
CK LWEMBE,
Umenichekesha sana ndugu duuuh, hapa’’ mtupieni kamba avutwe, kutoka huko by himself si rahisi kwa sababu amekuwa baptised into that spirit, na he is a craftsman of the order of Bezaleli and a District Commander in the realms! ’’
Kweli kazi ipo, mimi sisemi kabisa
Nikipata kibari rohoni nitaandika kitu, inaniuma maana na rafiki zangu wapo huko naam huwa wanajitahidi kunishuhudia nihamie HUKO. Wapendwa watu hawa wananguvu ya ajabu. Ni kweli wanahitaji kamba siyo ya mkonge bali string, ya chuma. Siyo rahisi sana tusije tukadhani tutaomba maombi ya chakula tu nononoooo! Tunakazi ya ziada kama tumeamua kwa dhati. UNADHANI YULE ANAYEJILIPUA KWA KUJITOA MHANGA ANAKUWA AMEVAA SPIRIT GANI???