KWA NINI YESU ACHUKUE MUDA WOTE KUISHI MIAKA 30 HALAFU AFANYE HUDUMA miaka 3 na nusu tu?

862 views
Skip to first unread message

Seleli Edwin

unread,
Apr 14, 2014, 12:58:14 AM4/14/14
to strictlygospel
Amani ya Bwana iwe nanyi enyi nyote,

Kulikua kuna haja kweli ya Yeye kuishi kujifunza ya Wanadamu wakati Yeye aliyajua ya Mtu hata bila kufahamishwa aidha kwa karama ya Roho tukimuchukulia kama Mtu -mwana wa Daudi/Adamu au kama Mungu pia ajue yote?

Nadhani kama angekaa miaka 30 ktk huduma tungeweza kua na rekodi ya matendo na maneno yake makuu mengi sana na kua na Biblia kubwa sana kwa sababu hata kwa miaka iyo michache tu, imeandikwa kwamba hayakuandikwa yote kumhusu, unadhani kungeleta tofauti ya kumjua Yeye sana kwa kua na naye miaka 30 na kurekodi yote hayo?

Kwa nini Yesu alisema Baba nimemaliza Kazi wakati ndio kwanza, miaka yote 30 aliishi bila kujitambulisha wala kufanya huduma? hao Wanadamu waliokufa bila kusikia kinywa chake chenye uzima ilihali alikaa katikati yao miaka 30 kimya ingawa pale Kana na Hekaluni alipopotea, alionjesha kidogo mambo yake, Je watahukumiwa kwa kufuata Sheria za Musa si ndio?

Alipoililia Miji ile na kusema mara ngapi nimetaka kuwakusanya but hamkutaka, bila shaka alimaanisha ile miaka 3 na nusa tu maana ile 30 hakuwahi kufanya jitihada za WAZIWAZI za kuwakusanya, right? confirm plz

Dah! raha mno kutafakari sana mambo ya JUU, ni matamu kwa kweli

Press on,

Edwin Seleli

Emmanuel Nshimirimana

unread,
Apr 24, 2014, 9:04:50 AM4/24/14
to strictl...@googlegroups.com
Shalom,shalom!

Siwezi kueleza maneno mengi lakini waca tu niulete mchango wangu, sio?
Yesu alikaa duniani akiwa100% Mungu pia 100% mtu kwa hiyo ilimubidi kuzifuata badhi ya kanuni za wanadamu. ktk desturi za kiyahudi mtu chini ya umri wa miyaka 30 kuna mambo hakuruhusiwa kufanya kwa hiyo ilimudi kwanza kukamilika ki umri.
Myaka 3 na nusu sasa alifanya kazi yeye kama masia yaani mupakwa mafuta (soma habari za kubatizwa kwake  Matayo 3:15-17, 4:1). Ni kweli alio yaafanya hayakuandikwa yote na haikuwa razima kwa maana arikuwa akitupa mfano wa yale tutakayo yafannya baada yake kukamilisha kazi iliyo muleta (kukombowa mwanadaamu). Alisema( Yohana 14:12) amini, amina atakaye niamini atazifanya kazi kubwa kuliko hizi zangu...ni kama angesema.... kazi hizi ni mfano tu kuponya wagonjwa, kulisha watu, kufufuwa wafu, kuhubiri injili..., ninyi mtaendelza mpaka mwisho wa dunia( maelfu ya myaka baada yangu). Kwa hiyo tujipange kuendeleza kazi ambakyo Kristo mwenyewe ameuhweka msingi.(1Yoh.3:8 b).

Adamu alipoasi, amekaa chini ya utawara wa shetani: kumbuka ameyaacha maagizo ya Bwana muumba wake (Elohim) akayapokeya maagizo ya nyoka (shetani) na unapoyashika maagizo ya mtu moja kwa moja unakuwa chini ya utawara wake.
 Mwanzo3:15"....ATAKUVUNJA KICWA   "....maanayake nini kuvujwa kicwa? kicwa ni mamraka: Kumbuka kicwe  ndico cenye mawazo. Na kizazi ca mwanamke ni nani? Hakuna mwengine ni Yesu tu aliyezaliwa pasipo mbegu ya mwanamme.
Adamu na Hawa walipomukosea Mungu wa wamelindwa kifungoni pamoja na wote walioitwa "wanadamu". Wote Waliojaribu kutii sheria ya Musa walikuwa na matumaini ya kufunguliwa  kufatiya sheria mpya ya agano la damu ya Yesu ZAKARIA 9:11 na Matayo 27:50-53.
Tuelewe vizuri ya kwamba kuzaliwa mala ya 2 imewezekana tu alipofufuka Yesu ndico canzo ca kanisa Yohana 20:22 kwahiyo kuanzia kwa adamu mpaka kwake yule aliye kufa 1day be4 kufa kwa Yesu walilindwa pamoja huku wakisubiri kicwe ca Shetani( mamraka ) kupondwa ili wawe sasa cini ya mamraka ya Yesu ( kizazi ca mwanamke).

Kwa kumaliza, kazi yesu alieyimaliza msarabani  ni kuuweka msingi na sisi tumepewa kuendeleza kazi....  Marko16:15-20

Wapendwa mubarikiwe sana.   Shalom!!!




--
Tafadhali zingatia msingi wetu ni Neno la Mungu, Lengo letu Kuujenga mwili wa Kristo, kushirikiana, amani na upendo. Yeyote yuko huru kuchangia, kufundisha, kukubali kufundishwa sawasawa na Msingi wetu Mkuu Neno la Mungu. Kujiunga na Team ya Injili au Maombi wasiliana nasi kwa simu 0714 915 424. Tuma Email. strictl...@yahoo.co.uk Facebook:https://www.facebook.com/pages/Strictly-Gospel/363180289370
 
Blog: www.strictlygospel.wordpress.com
 
Kujiondoa Kwenye Kundi Hili Tuma Email:
strictlygospe...@googlegroups.com

thobiasi mosha

unread,
Apr 23, 2014, 7:50:08 AM4/23/14
to strictl...@googlegroups.com
ndugu wito wako waweza kuwa hata nusu saa ila mapngo wa utekelezaji ukachukua miaka hata mia moja kumbuka yohana mbatizaji alifanya kazi miezi sita tu lakini ndiye nabii wa mwisho katika orodha ya manabii wa agano  la kale

anna Msongela

unread,
Apr 23, 2014, 1:32:00 PM4/23/14
to strictl...@googlegroups.com
Matamu kweli mambo ya juu!..
mi nadhani alifanya hivyo ili tumfanye kuwa rafiki na tujifunze kwake pia, maana angekuja vuup na kutenda maajabu watu wasingeweza kustahimili na yumkini wangezimia..ahaa
bless you

Emmanuel Nshimirimana

unread,
Apr 28, 2014, 2:07:43 AM4/28/14
to strictl...@googlegroups.com
Shalom wapendwa!

Mambo yote hayo ni mchango mkubwa ktk imani yetu ya kikristo.
Biblia inasema (Yoh.1:14): Neno alijivika mwili ili akae nasi anajaa neema nahaki..., na anasema mwenye(Kristo) " jifunze kwangu (Mt 11:28-29). hii inaonyesha kweli ya kwamba alitaka kuujenga urafiki kti yetu na yeye.
Na ukisoma vitabu vyote 4 vya injili maanayake Matayo, Marko, Luka na Yohana utaona kazi zote za Kristo hapa Dunuani alitaka kuvuutiya ushilika wa Mungu na watu kwa konyesha wema na mawazo ktk utawala wa Mungu kwa ajili ya kiumbe "MWANADAMU".
 
Ndugu Mosha, ni kweli nguvu za kazi ya Mungu haijenge juu ya muda kwaa. hata neno 1 tu linaweza kujenga kitu kikubwa sana. Mungu analilinda neno lake ili alitimize Yer.1: 12.
Na tusisahawu ya kwamba na uumbaji wa mambo yote umefanyika kwa neno tu!!!!!!!!!!

Shalo, shalo!!!


 


2014-04-23 13:50 GMT+02:00 'thobiasi mosha <thob...@yahoo.com>' via Strictly Gospel <strictl...@googlegroups.com>:

Emmanuel Mdundwa

unread,
Apr 29, 2014, 2:50:48 AM4/29/14
to strictl...@googlegroups.com
Kila jambo linalopangwa na kutokea hua na makusudi ambayo Mungu huyakusudia kwa watu wake kupitia mwana wake aliyemtuma kwetu, wote tunafahamu kua Yesu alitumwa kwetu kwa makusudio maalumu hivyo isengekua rahisi ashuke tu ghafla na kuanzaa kuitenda kazi iliyokusudiwa ingekua ni ngumu sana kueleweka na wanadamu kwani pamoja na njia hiyo ambayo Mungu aliiamua kuitumia ilikumfikisha Dunian still bado wanadamu walioweng hawakumuelewa na mpka leo wanaishi katika hali hiyo ya kutokumuelewa,

lengo la kukaa miaka/kuishi miaka 30 ndio anaze huduma ni? kusudio la Mungu kwa watu wake kwanza ilikua ni lazima azaliwe na aishi kulingana na maisha ya wanadam tena yale magumu zaid, azoeane na watu, apate kuyajua maisha ya watu zaid pamoja na kwamba alishayajua kabla then baada ya hapo aanze kuihubiri injili taratibu taratibu ili watu wamuelewe zaid na kama angeshuka ghafla na kuanza kuihubir injili sidhan kama wanadamu tungemuelewa kwanza ingetupa shida kukaa nae, kumsikiliza, kutenda kazi pamoja, kufanya kile ambacho anatuamuru tufanye, hivyo kitendo cha Yesu kuishi muda huo lilikua ni kusudio la Mungu kwa watu wake iliiwerahisi na kwaharaka kuipokea injili aliyoileta kupitia mwanae

Seleli Edwin

unread,
Apr 28, 2014, 10:42:24 PM4/28/14
to strictlygospel
Anna Msongela,

ati ''Angekuja/fanya mambo vuup, watu wangezimia! tehe! nimekusoma! so it was also important awe simple tu, right? aiseee, good, nimekusoma vema kwakweli.

Press on,

Edwin Seleli


2014-04-29 5:36 GMT+03:00 Seleli Edwin <selel...@gmail.com>:
Nshimirimana,

Ubarikiwe kwa mchango wako, Je unaweza soma tena mada kisha uje kwa kujibu mengine kwa mpangilio wa swali kwa swali? karibu sana

Press on,

Edwin Seleli

Seleli Edwin

unread,
Apr 28, 2014, 10:36:55 PM4/28/14
to strictlygospel
Nshimirimana,

Ubarikiwe kwa mchango wako, Je unaweza soma tena mada kisha uje kwa kujibu mengine kwa mpangilio wa swali kwa swali? karibu sana

Press on,

Edwin Seleli
2014-04-24 16:04 GMT+03:00 Emmanuel Nshimirimana <nshim...@gmail.com>:

Seleli Edwin

unread,
May 1, 2014, 11:19:53 AM5/1/14
to strictlygospel
Emmanuel Mdundwa,

Safi mchango wako lakini  Mr. Ndundwa embu  dunda tena more  points zaidi kwa maswali haya:

Ni kama Unasema/umemaanisha kua angekuja kama ALIVYO, ingekua ngumu kuchukuliana au kumfahamu taratibu but huoni angeshuka kama Mungu ktk utiisho, kila kiumbe kuanzia Yerusalemu  Wabishi wale Masadukayo na Mafarisaya to wana wa Madina na Macca akina alkaeda, alshabab, boko haramu, the terrible boys wa Tora Bora Afghanstan, wote, mguu pande and sawa, kuokoka?

Pili, mbona hii njia ya kuja na kuchukuliana nasi, kukaa kwetu na kuishi nasi, bado wengi hadi leo ulimwenguni na hata kipindi kile, hawakumuelewa wala kumwamini?

Press on,

Edwin Seleli

Pastor JCC

unread,
May 1, 2014, 11:05:34 AM5/1/14
to strictl...@googlegroups.com
Bwana Yesu apewe sifa. Yesu asingeweza kukaa zaidi ya hapo kwa sababu kazi yake ilipangiwa muda tangu kuumbwa Ulimwengu tangu Adamu na Eva, tangu Abraham, Musa na Manabii. Mungu alikuwa na mpango na asingeweza kuubadilisha kwa vyovyote vile.

Nitarejea.

Blessed

 
Rev. Damasus F. Mkenda
Redeemed Gospel Church Tanzania
Off Morogoro Road at Kinesi (Urafiki) Football Grounds
P O BOX 55667
Dar es salaam - Tanzania
Tel: +255-754-585415/+255-712-340953


From: "'anna Msongela <kiri...@yahoo.com>' via Strictly Gospel" <strictl...@googlegroups.com>
To: "strictl...@googlegroups.com" <strictl...@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, April 23, 2014 8:32 PM
Subject: Re: KWA NINI YESU ACHUKUE MUDA WOTE KUISHI MIAKA 30 HALAFU AFANYE HUDUMA miaka 3 na nusu tu?

thobiasi mosha

unread,
May 3, 2014, 4:47:05 AM5/3/14
to strictl...@googlegroups.com
yesu alifanya kazi kwa ratiba na hakwenda nyuma ya ratiba ushahidi mmojawapo hakuna mahali yesu alikimbia ili kuwahi apointiment eneo lingine

thobiasi mosha

unread,
May 3, 2014, 4:49:26 AM5/3/14
to strictl...@googlegroups.com
hata leo ndugu elewa kuwa shetani huwa anavamia ndani ya mtu ila yesu anabisha hodi waliomfungulia ameingia ndani yao ndio maana alikuja kwa njia ambayo upande wa pili watu waelewe ujio wake kisha kwa ridhaa yao wamruhusu kumpokea kama ulivyofanya wewe

Emmanuel Mdundwa

unread,
May 5, 2014, 5:07:58 AM5/5/14
to strictl...@googlegroups.com
Ndio ndugu yangu Edwin,
kama angeshuka na nguvu za kiMungu wangeweza kumuelewa lakini kwa kutiishwa/kwa kuamrishwa kutokana na nguvu hizo lakin mioyoni mwao wote tunafahamu kua mtu akifundishwa kwa amri flani ni ngumu kukuelewa, kwa wale wenye uzoefu wakufundisha wanafahamu kua kama utamfundisha mwanafunzi kwa fimbo ni ngumu kukuelewewa huenda akakuelewa kwa muda ule kwasababu ya fimbo lakini baadae visikae kichwan mwake hivyo hata kwa Yesu ilikua ni lazima awafundishe watu wake taratibu iliwamuelewe zaidi kwani mwalimu ni rafiki yako ndiomaana hata wakina petro waliweza kumuulza Yesu maswali pale amabpo hawaelewi kitu kinapofanyika kua hiki kikoje mbna hiki kikohivi na ili uwelewesomo unapaswa kuulza huenda angeshuka jinsi alivyo sidhani kama tungeweza hata kumuulza kitu huenda tungefuata tu anachokizungumza na hapo asingeitwa mwalimu tena,
kwani hata Musa alipewa uwezo na nguvu za kiMungu na wanawaisrael waliliona hilo kwa Musa kupitia uwezo wa kiMungu lakin still bado walimuona msaliti, hvyo kwa Yesu ilikua ni lazima Busara hii yakuishi nasi itumike ili iwe rahisi kwetu kuipokea hiyo injili, kwanza ni mtu ambaye walishamzoea,wameishi nae kwa kipindi cha hyo miaka,wamefanya kazi pamoja nae na wameshilikiana kwa kila jambo hivyo ilikua rahisi kwao kumsikiliza ndio maana ilikua rahisi yeye kuisambaza injili,

kuhusu wale ndugu zetu ambao hawakumuelewa kipindi kile na hata sasa bado wameshupaza shngo hawataki kabsa hii ndugu yangu Seleli n shda iliyojengwa na mababu na mabibi zao na kurithishwa hivyo tayari mioyo yao ilikua tayari imejengwa kwa misingi hiyo ya kumpinga kirsto hivyo hata kama wangefundishwa vipi wasingemuelewa kwani tayari hawakutaka kumuelewa na sikuzote ukimchukia mwalimu huwezi kulipenda na somo lake pia hivyo wale ndugu zetu na tayari walikua wanamchukia Yesu hivyo hata kumsikiliza hawakutaka pia kwani iliumwelewe mtu unapaswa kumsikiliza kwa makini na hawandugu zetu hawakutaka kusikia chochote kutaka kwa Yesu sasa hapa ilikua shda ndio maana mpka leo wanaishi hivyo na wanateseka kweli kwa hiyo imani yao ya kushndwa kumwamini Yesu na kumuamin huyu walie nae sasa

Magreth Mkiwa

unread,
May 4, 2014, 8:12:40 PM5/4/14
to strictl...@googlegroups.com
kusudi kubwa ni kuwa na muda wa kutosha  kutumikia kilichokuwa kimepotea.
magreth

Emmanuel Nshimirimana

unread,
May 2, 2014, 2:01:43 AM5/2/14
to strictl...@googlegroups.com
Mpendwa  Seleli, Bwana Yesu akubariki sana!

Mada hii ni ya maana kweli so, kila mtu akileta mcango wake ndi vyo biblia inaita kujengana. Ni muhimu sana ktk maisha yetu wakristo.
 
So mchango wangu tena ndiyo huu:
Tunapo soma yote Yesu aliyo yasema, hatujaona ni wapi yeye ana haja ya kujifunza lolote kwetu, baali anasema jifunzeni kwangu. ( Mat.11:29). Yeye ni Mwarimu (Rabi)
Tukisoma ktk Yohana sura za 13,14,15,16 na 17 tunaona vizuri maneno yake ya mwisho kwa wanafunzi kama kukamirisha, kuaga na kuwaombea pia na ripoti kwa Baba.

Kristo alijuwa yote ya watu na ya kiroho Yoh.2:25


2. Hakukuwa haja yoyote ya Yesu kufanya huduma myaka yote30 kuanzia utoto wake maana kama nilivyo andika juu, ilimubidi kufuatisha kanuni za watu iwe laisi kueleweka na kutimizi mupango wake.
Kwa hiyo kusingekuwa utafauti wowote wa kumjuwa maana yote ya lazima aliyafanya. Yohana 17 inaeleza vizuri.

3. Kweli Yesu kazi (mission) ameyimaliza maana ilikuwa ni kuuweka msingi na ndiyo maana alijishughurisha sana kuwafundisha watu wacace ambawo alijuwa watajenga juu ya msingi na kuendeleza kazi aliyo yianza. Baada ya kufufuka aliwambiya: ....KAMA BABA ALIVYO NITUMA NAMII HIVYI HIVYI NINAWATUMA...Yoh.20:21 kumbe sasa yake imekwisha yetu ndiyo inaendelea!!!!!

4.Wale wote waliyo kufa ktk ile myaka 30 ni sawa sawa na wale wote walio kufa kabla Yesu kuzaliwa.

Nina shukuru Bwana  wetu aliye tupa Roho wake Mtakatifu ili atuambiye mengi zayidi, tuzidi kusaidiyana na tuimarika.
Shalom, shalom!!!

Emmanuel Nshimirimana

unread,
May 6, 2014, 2:59:27 AM5/6/14
to strictl...@googlegroups.com
Amen et amen!!

Seleli Edwin

unread,
May 11, 2014, 5:30:50 PM5/11/14
to strictlygospel

Thobias Mosha,

 

Ubarikiwe kwa mchango wako ndugu.

 

Kuhusu kuchukua muda mrefu au mfupi, ulijibu jibu extremely very good Tanzanite stone sijawahi kusikia wala kuwaza  aisee dah! Glory to God,  ulisema..’’’ wito wako waweza kuwa hata nusu saa ila mapngo wa utekelezaji ukachukua miaka hata mia moja kumbuka yohana mbatizaji alifanya kazi miezi sita tu lakini ndiye nabii wa mwisho katika orodha ya manabii wa agano  la kale’’…oooh my God, this is powerful gold my brother Thobias, ungekua karibu hapa, ningepanda mbegu aisee babangu ee, Ubarikiwe sana, nimependa sana iyo nondo na nimepata kitu hapo

 

Mengine nisaidie tu ufafafanuzi na haya yafuatayo maana napenda sana kufanya mambo/uandishi kwa mpangilio-keeping the flow smooth and professional:

 

Ulisema ivi ktk majibu yako kua..’’’ Yesu alifanya kazi kwa ratiba na hakwenda nyuma ya ratiba ushahidi mmojawapo hakuna mahali yesu alikimbia ili kuwahi apointiment eneo lingine’’

 

Swali: Ulikua unajibu swali gani labda  kati ya kichwa cha somo na yale niliyouliza ktk body ya mada?

 

Pia  ulisema.. ‘’shetani huwa anavamia ndani ya mtu ila yesu anabisha hodi waliomfungulia ameingia ndani yao ndio maana alikuja kwa njia ambayo upande wa pili watu waelewe ujio wake kisha kwa ridhaa yao wamruhusu kumpokea kama ulivyofanya wewe’’

 

Swali: Hapa napo, Ulikua unajibu swali gani labda  kati ya kichwa cha somo na yale niliyouliza ktk body ya mada?

 

Press on,

Edwin Seleli

Seleli Edwin

unread,
May 11, 2014, 5:32:44 PM5/11/14
to strictlygospel

Magret Mkiwa,

 

Ubarikiwe kwa mchango wako.

 

Umesema kwamba..’’’kusudi kubwa ni kuwa na muda wa kutosha  kutumikia kilichokuwa kimepotea’’

 

Maswali:  Moja: Ulikua unajibu  nini hapo? Je ni kichwa cha somo hiki?..’’’ KWA NINI YESU ACHUKUE MUDA WOTE KUISHI MIAKA 30 HALAFU AFANYE HUDUMA miaka 3 na nusu tu? Kwa hiyo aliishi miaka 30 kama ulivyosema hivi..’’’ kua  na muda wa kutosha  kutumikia kilichokuwa kimepotea’? Pili:  Kwani miaka iyo 30 alikua anatumika?


Press on,


Edwin Seleli



2014-05-12 0:31 GMT+03:00 Seleli Edwin <selel...@gmail.com>:

Emmanuel Mdundwa,

 

Ubarikiwe kwa mchango ndugu,

 


Niliuliza maswali 2 baada ua kusoma mchango wako wa kwanza na umejibu kua ilibidi Yesu ajishushushe na kuwafundisha taratibu wamuelewe kuliko kama angeshuka na ukuu wake, wangemuelewa kwa amri tu na utiisho bila kuyaweka moyoni LAKINI pia ukajibu swali lingine kua hawakumulewa kwa sababu ya yaliyokua yamejazwa ndani yako na Mababu na pia walishupaza shingo

 

Maswali:

 

Moja: Sasa iyo njia ya upole, kujishusha, kuchangamana nao, ilisaidia nini hasa? Unaweza sema kitu hapa kwa swali hili na kubalance/ku-qualify point yako maana wengi tu hawakuamini wala kuokoka?

 

Mbili: Kwani mbona wapo wengine waliamini na kuachana na yale yaliyojazwa ndani yao na  mababu, ilishinikanaje kwa wale weingine wengi sana?

 

Tatu: Kwa hiyo njia zote zisingefanikiwa kiviile sana iwe ya kuja na utiisho wote au kuja kwa kujishusha, sawa si sawa?

Press on,

Edwin Seleli

Seleli Edwin

unread,
May 11, 2014, 5:31:59 PM5/11/14
to strictlygospel

Emmanuel Mdundwa,

 

Ubarikiwe kwa mchango ndugu,

 


Niliuliza maswali 2 baada ua kusoma mchango wako wa kwanza na umejibu kua ilibidi Yesu ajishushushe na kuwafundisha taratibu wamuelewe kuliko kama angeshuka na ukuu wake, wangemuelewa kwa amri tu na utiisho bila kuyaweka moyoni LAKINI pia ukajibu swali lingine kua hawakumulewa kwa sababu ya yaliyokua yamejazwa ndani yako na Mababu na pia walishupaza shingo

 

Maswali:

 

Moja: Sasa iyo njia ya upole, kujishusha, kuchangamana nao, ilisaidia nini hasa? Unaweza sema kitu hapa kwa swali hili na kubalance/ku-qualify point yako maana wengi tu hawakuamini wala kuokoka?

 

Mbili: Kwani mbona wapo wengine waliamini na kuachana na yale yaliyojazwa ndani yao na  mababu, ilishinikanaje kwa wale weingine wengi sana?

 

Tatu: Kwa hiyo njia zote zisingefanikiwa kiviile sana iwe ya kuja na utiisho wote au kuja kwa kujishusha, sawa si sawa?

Press on,

Edwin Seleli
2014-05-12 0:30 GMT+03:00 Seleli Edwin <selel...@gmail.com>:

Seleli Edwin

unread,
May 11, 2014, 6:18:24 PM5/11/14
to strictlygospel

Emmanuel Nshimirimana

 

Ubarikiwe kwa mchango wako rafiki.

Wow! Fantastic jinsi umejibu kwa mpangilio great Tanzanite stones answers, kwa kweli umeitendea haki Mada/Somo hili my friend, ni tamu sana majibu yako haya… nimechukua vipande tu ivi…

 

a.  Hakua na haja ya kujifunza maana Yeye mwenyewe alisema..’’’ jifunzeni kwangu. ( Mat.11:29). Yeye ni Mwarimu (Rabi)

b.      Kristo alijuwa yote ya watu na ya kiroho Yoh.2:2

c.  Hakukuwa haja yoyote ya Yesu kufanya huduma miaka yote30 kuanzia utoto wake maana ilimubidi kufuatisha kanuni za watu iwe laisi kueleweka na kutimizi mupango wake.

d.      Kwa hiyo kusingekuwa utafauti wowote wa kumjuwa maana yote ya lazima aliyafanya.

e.    Kweli Yesu kazi (mission) ameyimaliza maana ilikuwa ni kuuweka msingi na ndiyo maana alijishughurisha sana kuwafundisha watu wacace ambawo alijuwa watajenga juu ya msingi na kuendeleza kazi aliyo yianza.

f.       Wale wote waliyo kufa ktk ile myaka 30 ni sawa sawa na wale wote walio kufa kabla Yesu kuzaliwa.

 

Jibu la (e) na (f) nimeyapenda sana, ni ya Akili na Ufunuo Mkubwa sana, ubarikwe sana kabisa nasikia raha sana moyoni kwa kweli na akujengwa sana, nimecheka sana jibu la (f)- umetumia logic-reasoning yenye mafuta ya JUU tamu sana ya upako kumaliza swali langu kirahis kabisa na kwa uzuri ha ha ha ha ha , safi sana and glory to God my brother  E.Nshimirimana

Press on,

Edwin Seleli

Emmanuel Mdundwa

unread,
May 15, 2014, 3:53:00 AM5/15/14
to Emmanuel Mdundwa, strictl...@googlegroups.com
Edwin
Swali la kwanza najib kama ifuatavyo, njia ya kujishusha, kuchangamana ilisaidia sana kuwabadisha watu kuwatoa katika maisha hayo ya kidevil na kuokoka na kumrudia muumba wao, kusudio la Yesu sikumlazimisha mtu kuokoka bali ni mtu mwenyewe kumkubali kwa hiari yake kua bwana na mwokozi wa maisha yake ndio maana alikuja kwa kubisha hodi ili atakaye pendezwa nae mfungulie mlango na kumkubali kua bwana wa maisha yake ndio maana we ukafanya hvyo nawengne wakafanya hvyo ila wale ambao hawakumkubali waliendelea kuishi hivyo,

swali lako la pili ndugu Edwin hili linachangamana kidogo na hilo la kwanza, kitendo cha wale walioamua kuachana na yale waliyojazwa na mababu zao na wale wengne ilishindikanaje, hapa tunarudi na kusema kama nilivyokwisha kuzungumza hapo juu kua alibisha hodi ili watu wamfungulie waliomfungulia walim[okea na kuwafanya kuwa wana wa Mungu bali walioshupaza shngo na kushndwa kumfungulia walibaki hvyo hivyo hadi leo hii inadhihirisha kua kuna baadhi ya watu waliamua kuachana na mawazo na fikira potofu ambazo walibebeshwa na kumuelewa Yesu na kuamua kumfungulia bali wengne hawakuamini hivyo hivyo walibaki kwenye hali hiyo, ndipo alisema tujifunze kwake hivyo tulio na uelewa tulijifunza kwake bali wariorithi fikira potofu hawakutaka kujifunza kwake,

swali lako la tatu, kiukweli ndugu njia zote zisingefaana sawa ila ya kuja kwa kujishusha ndipo aliposema aliyemkubwa atakua mdogo kwenu na aliye kiongozi atakua mtumwa kwenu yeye alikubali kujishusha ili awe mdogo na alikubali kuwa mtumwa kwetu ingawaje yeye ndio mkubwa na ndio kiongozi kwetu ndio maana alitumika kwaajili yetu na aliteswa kwa ajili yetu na si sisi kwa ajili yake hivyo aliusibitisha ukuu wetu kua mdogo kwetu na kuwa mtumwa kwetu hivyo njia hii ilifanikiwa zaidi, swala la kwamba kwanini wengne hawakubadilika licha ya kwamba aliamua kujishuhsa hii ndugu yangu Edwin nafikir unafahamu kua kuna watu automtical wao hawabadiliki licha yakwamba wanaujua ukweli bado still wanabaki hivyo hili lilkuepo kipindi hicho na sasa pia bado lipo.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages