Kiarie Wa'Njogu
unread,Jan 23, 2014, 6:59:56 PM1/23/14Sign in to reply to author
Sign in to forward
You do not have permission to delete messages in this group
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to Swahili, startalk...@googlegroups.com, startalk-s...@googlegroups.com, startalk-s...@googlegroups.com, startalk-s...@googlegroups.com, startalk-s...@googlegroups.com
Hamjambo,
Wale ambao wangetaka kuwashirikisha wanafunzi wao katika programu zetu
za msimu wa Kiangazi wanaweza kupata taarifa kwa kubonyeza hapa:
http://summer.yale.edu/studyabroad/facultyled
Samahani wale ambao watapokea ujumbe huu zaidi ya mara mora.
Ukihitaji habari zaidi niandikie moja kwa moja au unipigie simu masaa ya
kazi.
Kiarie