On Thursday, June 7, 2012 6:54:55 PM UTC+3, rwamuyagaza seneta wrote:
> Je Tanzania iweke mfumo upi ili kuondoa au kupunguza Rushwa? ili siku moja umasikini uwe ndoto kwa Watanzania wa kesho? TAFADHALI JADILI KWA KINA
Umasikini hautakuwa ndoto kwa watanzia hata mataifa jiri bado yana watu ambao ni masikini.Taifa lina paswa kuwa na dira inayotekeleza na kuwa na miiko itakayofuatwa na watanzani katika ngazi zote.Miiko iliyopo kwenye azimio la Arusha irudiwe na umimi uachwe.