Ombi langu Bwana nifike kwako (My prayer Lord, is to reach to You)
Ijapo njia zangu ni nyembamba (Though my paths be narrow)
Nitembee nawe Yesu Mwokozi wangu (To walk with You, Jesus my savior)
Dhoruba zijapo nitazishinda (I shall conquer the storms that come my way)
Ni OMBI LANGU kwa Bwana, taifa langu la Tanzania litambue uwepo wake, Kanisa lisimame na kuimarishwa, uhalisia wa Mungu udhihirike kwa watu wake. Ni ombi langu kwa Bwana Yesu, Mwaka Bwana akujibu OMBI LAKO Yesu, ajitukuze kwenye maisha yako, kila atayesikia amtukuze pamoja na wewe!
df19127ead