You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to prosiralclov
Wachapajiwanaziombea nyimbo hizi kwamba zitakapoimbwa ziwe za kumsifu Mungu wetu anayestahili kusifiwa; tena ziwe nuru ya kuonyesha njia ya Yesu Kristo kwa wote watafutao. Tuimbe sote kwa kuitafakari maana ya maneno , huku tukimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwetu.