Leotunaanza ibara ya mwisho ya waraka kuu zaidi kuwahi kuandikwa, barua ya Paulo kwa warumi. Baadhi yenu watauliza swali: Je! Tumemalizana na kitabucha warumi kabisa? Wengi wenu hawakuapo tulipoanza kitabu hiki Aprili 26, 1998, Miaka saba na nusu iliyopita. Wengi wataja tarehezao kwa kufika Bethlehemu na sura ya Warumi walipowasili. Sasa mwisho umekaribia. Kuondoa wasiwasi na kukuandaa kwa mabadiliko, nitakueleza mpango
Ayah ii ya mwisho (Warumi 16:25-27) inaibua kwa pamoja mada muhimu kwa barua hii kuwa inaanda njia mzuri kwa kutua polep ole tena taratibu. Miaka yetu saba katika kupaa pamoja hakutakoma ghafla. Ni jeti kubwa na haianguki tu kutoka angani kama kilabu ya Piper (kucheza tunduni). Nini mpango wa kutumia wikitano kwa mistari hii, kumaanisha natarajia kukamilisha kitabu cha Warumi Jumapili, Desemba 24 mkesha wa krismasi. Mkesha wa krismasikuwa kilele. Nawasihi muombe namiiuli Mungu afanye Jumapili hizi za maandfalizi ya Krismasi (kuanzia wiki ijayo) kuwa msimu wenye nguvu kuwahi kuwa nayo kumhimidi Kristo na kuona watu wabadlishwa kwa imani na kujengwa ndani yake.
Mistari tatu ya mwisho kwenye kitabu cha Warumi ndiyo mara nyingi tunaita Mfumo wa sifa. Neno Mfumo wa sifa yatoka kwenye neno la kigiriki doxa linalomaanisha Utukufu na logos ambalo ni neno. Mfumo wa sifa linafafanua utukufu wa Mungu. Hukumu uliopo katika agano jipya kwa mfumo wa sifa ni kuwa kila kitu kilichoko na kinachotendeka huvutia kwa utukufu wa Mungu.
Basi unaposikia mfumo wa sifa ukikaririwa na kuimbwa, ujue kuwa ni kulingana na Bibilia njia ya kuongea kwa mitume ambayo shina yake ni umuhimu wote na kushikilia ukweli kuwa kila kitu kiko kuvutia kwa utukufu wa Mungu.
Hiyo ndiyo twashughulikia katika wiki tano za mwisho. (kitatu cha Warumi). Ni pana zaidi katika mfumo wa sifa na kina uzito kwenye ukweli kuhusu Mungu na Injili. Unaweza kuwa na uhakika kuwa Paulo anatamatisha kilichokuwa kwake barua ndefuna kuu zaidi ambayo amewahi kuandika, hangetumia maneno yasiyo na uzima wowote. Maneno yote yana maana. Haya ni maneno yake ya mwisho kwaWarumi. Paidha yanawezaya mwisho kwako. Natumaini mtasikiza kwa makini na mtarejea kwenye wiki hizi za mwisho wa mwaka, ili kuona malaika watano katika mfumo huu wa sifa.
Si nguvu ulimwengu unafahamu wala kupeana. Wanawake, vigoi mnafikiria nini mkiwa mnatafakari kuwa mama mwenye nguvu? Au msichana mdogo unapofikiria kukua mzima mama mwenye nguvu unaota vipi? Kupata ubayana ni muhimu kwa kuwa Mungu anakutaka kuwa na nguvu na zote mbili kibibilia na kiujuzi zinakueleza kwamba kwa hisia moja kuwa wewe ni chombo kidhaifu (1 Petero 3:7) asilimia tisini na tano ya mwanaume aliyekomaa ulimwenguni wa nguvu zaidi kuliko asilimia tisini na tano ya wanawake waliokomaa. Unapoota kuwa mwanamke mwenye nguvu inafaa uotaje.
Hapana! Hasha! Wapumbavu ndio watakao nguvu zinazofifia, nguvu za kupeana wakati tu unapohitaji zaidi. Nitakueleza aina ya nguvu Mungu ana uwezo wa kukupatia kwa njia ya injili. Ni nguvu za kuongoza mke wako na familia katika kuabudu: nguvu za kusema maneno rahisi ya ukweli kama hata umeilimika zaidi kwa mambo ya kiulimwengu, au mwenye daraja ya juu. Nguvu za kusimama imara na kusema hapana kwa tabia za dhambi hata kama unaitwa dhaifu. Nguvu za kupenya na kuendelea dhidi ya kila vikwazo ili kuleta haki, huruma na ukweli ukihisia kuwa hakuna tena himizo.
Kiini cha injili ni kuwa Yesu Kristo, mwenye haki alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na akafufuka tena akawa na ushindi wa milele dhidi ya adui zake, ili kwamba sasa hakuna hukumu bali furaha ya milele kwa wale wanaomtumaini. Sasa basi kamwe usiibue mahitaji kwa injili hii. Usianze mwendo wa ukristo hivi halafubaadaye uiache nyuma na kujengeka katika jambo jingine. Mungu hutafanya imara kwa injili hadi siku ya kufa.
Nitawapa kielelezo bayana kutokana na maisha yangu, na wengi wana hadithi kubwa kubwa ya kusimulia kuliko mimi kwa kuwa nguvu zenu zimejaribiwa kwa undani zaidi. Bali nitawakumbusha kwa kile Mungu alinitendea hapo nyuma Febuari wakati utafiti wa saratani ulipoletwa. Mungu alinitia nguvu kupita injili. Unaweza kuyambuka maandiko ambayo aliyatumia. Hakuna yaliyokuwa ya muhimu kwangu. 1 Wathesolonia 5:9-10, Kwa kuwa Mungu hakutuweka kwa hasira yake, bali tupate wokovu, kwa bwana wetu Yesu Kristo ambaye alikufa kwa ajili yetu ili tuishi pamoja naye, kwamba twakesha au kwamba twalala.
Mungu wetu ametenda kazi katika historia kushinda dhambi na Shetani, jehanamu na mauti. Alifanya haya kupitiaInjili ya Yesu Kristo kumbatia Injili hii kama hazina kuu katika maisha yako. Mungu atadhihirisha utukufu wake kwa kukufanya Imara.
III. BINADAMU KATIKA MPANGO WA UPENDO WA MUNGU
a. Upendo wa Utatu Mtakatifu, Asili na Lengo la Binadamu
b. Wokovu wa Kikristo ni kwa Watu Wote na kwa Mtu Kamili
c. Wanafunzi wa Kristo kama Uumbaji Mpya
d. Wokovu Hupita Ufahamu wa Binadamu na Uhuru wa Mambo ya Dunia
IV. MPANGO WA MUNGU NA UTUME WA KANISA
a. Kanisa, Alama na Mlinzi wa Ufahamu Ulio Juu Kabisa ya Uwezo wa Binadamu
b. Kanisa, Ufalme wa Mungu na Kufanya Upya Mahusiano ya Kijamii
c. Mbingu Mpya na Dunia Mpya
d. Maria na 'Ndiyo' yake Katika Kuitikia Mpango wa Upendo wa Mungu
I. UINJILISHAJI NA MAFUNDISHO YA KIJAMII
a. Kanisa, Makao ya Mungu Pamoja na Wanaume na Wanawake
b. Injili Hupenya na Kutajirisha Jamii
c. Mafundisho ya Jamii, Uinjilishaji na Kumuenzi Binadamu
d. Haki na Majukumu ya Kanisa
II. ASILI YA MAFUNDISHO YA KANISA KUHUSU JAMII
a. Ufahamu ulioangaziwa na Imani
b. Katika Dialogia ya Kirafiki na Matawi yote ya Ufahamu
c. Ufafanuzi wa Utume wa Kanisa katika Kufundisha
d. Jamii Hupatanishwa Katika Haki na Upendo
e. Ujumbe kwa Wanangu na Mabinti wa Kanisa na kwa Ajili ya Binadamu
f. Katika Ishara Endelevu na Kufanya Upya
VI. KANUNI YA MSHIKAMANO
a. Maana na Thamani
b. Mshikamano kama Kanuni ya Jamii na Fadhila ya Maadili
c. Mshikamano na Ukuaji wa Kawaida wa Binadamu
d. Mshikamano katika Maisha na Ujumbe wa Yesu Kristo
III. UDHAHANIA WA DHANA YA KIJAMII JUU YA FAMILIA
a. Upendo na Malezi ya Jumuiya ya Watu
b. Familia ni Mahali Pa Kutakatifuza Maisha
c. Jukumu la Kuelimisha
d. Utu na Haki za Watoto
III HESHIMA YA KAZI
a. Sehemu ya Ubinadamu Katika Kazi na Matokeo ya Kazi ya Binadamu
b. Uhusiano Kati ya Nguvu Kazi na Mtaji
c. Kazi, na Haki ya Kushiriki Kazi
d. Uhusiano Kati ya Kazi na Umiliki wa Mali Binafsi
e. Kupumzika Kazi
IV. HAKI YA KUFANYA KAZI
a. Kazi ni Jambo la Lazima
b. Jukumu la Serikali na Vikundi vya Kijamii Katika Kukuza Haki ya Kufanya Kazi
c. Familia na Kazi
d. Wanawake na Haki ya Kufanya Kazi
e. Ajira kwa Watoto
f. Tatizo la Uhamiaji na Kazi
g. Ulimwengu wa Kilimo na Haki ya Kufanya Kazi
II. MSINGI NA MADHUMUNI YA JUMUIYA YA KISIASA
a. Jumuiya ya Kisiasa, Mtu Nafsi na Jamii
b. Kutetea na Kuhamasisha Haki za Binadamu
c. Maisha ya Kijamii Katika Msingi wa Urafiki wa Kiraia
IV. MFUMO WA KIDEMOKRASI
a. Tunu na Demokrasia
b. Taasisi na Demokrasia
c. Vipengele vya Uadilifu Katika Uwakilishi wa Kisiasa
d. Vyombo vya Kushiriki katika Siasa
e. Habari na Demokrasia
IV. UWAJIBIKAJI WA WOTE
a. Mazingira ni ya Manufaa Kwa Watu Wote
b. Matumizi ya Bioteknolojia
c. Mazingira na Mgawanyo wa Kushirikishana Rasilimali
d. Mitindo Mipya ya Namna ya Kuishi
I. KAZI YA KICHUNGAJI KATIKA NYANJA YA KIJAMII
a. Mafundisho kuhusu Jamii na Utamadunisho wa Imani
b. Mafundisho Kuhusu Jamii na Kazi ya Kichungaji ya Kijamii
c. Mafundisho Kuhusu Jamii na Malezi
d. Kustawisha Dialogia
e. Wenye Kuhusika na Uendeshaji wa Kazi ya Kichungaji ya Kijamii
II. MAFUNDISHO KUHUSU JAMII NA UWAJIBIKAJI WA WALEI
a. Waamini Walei
b. Maisha ya Kiroho ya Waamini Walei
c. Kutenda kwa Busara
d. Mafundisho kuhusu Jamii na Vyama vya Walei
e. Huduma Katika Sekta Mbalimbali za Maisha ya Kijamii
1. Ilitegemewa, kwa hiyo, kuwa yote yaliyokusanywa baada ya juhudi hizo zote yawekwe pamoja kwa mpangilio mzuri unaoonesha misingi ya mafundisho ya Kikatoliki kuhusu jamii. Ni jambo la kutia moyo sana kuwa katika miaka ya hivi karibuni, Baraza la Kipapa linaloshughulika na masuala ya Haki na Amani limepania kuichukua na kuiendeleza kazi hii.
2. Kazi hii inaonesha pia jinsi manufaa ya mafundisho ya Kanisa Katoliki kuhusu jamii yanavyofanya kazi ya uinjilishaji (taz. Centesimus Annus, 54) kwa kuwa inaweka mahusiano ya binadamu na ya jamii katika mwanga wa Injili. Kanuni za mafundisho ya Kanisa kuhusu jamii yanayotokana na sheria za asili yanaonekana kuimarishwa na kukomazwa katika imani ya Kanisa kwa njia ya Injili ya Kristo.
Kwa maana hiyo, watu wote, wanaume kwa wanawake, wanaalikwa wajisikie na wajione wenyewe kuwa viumbe wenye uwezo zaidi ya ule wa kibinadamu katika nyanja zote za maisha yao pamoja na zile zinazohusisha masuala ya kijamii, kiuchumi na kisiasa. Imani inakamilisha umaana wa familia inayotokana na ndoa ya mume mmoja na mke mmoja, familia ambayo inaunda kiini cha kwanza na cha muhimu sana cha jamii. Aidha, imani inatoa mwanga unaohusiana na heshima ya kazi ambayo, kama shughuli ya kibinadamu iliyokusudiwa kwa kumkamilisha binadamu ina umuhimu wa juu zaidi ya mtaji, na inaimarisha madai yao halali ya kushiriki katika kufurahia matunda yatokanayo na kazi.
3. Katika maandishi haya tunaweza kuona umuhimu wa tunu za kimaadili zitokanazo na sheria ya asili iliyoandikwa ndani ya dhamiri ya kila binadamu, na inalazimika kuitambua na kuiheshimu sheria hiyo. Ubinadamu leo unahitaji utendaji wa haki zaidi katika kuyashughulikia matukio mengi na makubwa ya utandawazi; unajishughulisha sana na ikolojia pamoja na mbinu sahihi za usimamizi wa masuala ya dhamiri za kitaifa bila hata hivyo, kusahau utaratibu wa sheria na utambuzi wa uwepo wa familia ya binadamu. Ulimwengu uliokuwa na kazi, ambao sasa umebadilishwa kabisa na teknolojia mpya unaonesha viwango vya ubora wa pekee wa vitu. Lakini kwa bahati mbaya, teknolojia hiyo mpya lazima pia ikubali kuwa imeleta aina mpya ya hali ya kuyumbayumba na kutotengamaa kwa maisha ya watu, unyonyaji na hata hali ya utumwa katika jamii hizohizo ambazo zinadhaniwa kuwa zimefaidika na hiyo teknolojia mpya na kupata utajiri. Katika sehemu mbalimbali duniani, kiwango cha ustawi kinazidi kuongezeka, lakini pia kuna hatari ya ongezeko la idadi ya watu kuwa maskini, na kwa sababu mbalimbali tofauti kati ya nchi maskini na tajiri inazidi kuongezeka. Soko huria, mchakato wa kiuchumi na mtazamo chanya vinaonesha mipaka ya ukomo wake. Kwa upande mwingine lile chaguo la Kanisa la kuzipendelea nchi maskini ni chaguo la kimsingi kabisa, na hata kwa hiyo, Kanisa linawashauri watu wengine wote wenye mapenzi mema kufanya hivyo.
3a8082e126