Ndugu mpendwa, nakusalimu sana katika jina la Bwana Yesu.
Are you ready to put your business idea to the test? pls do if you have one if not recall that one you once thought of.
Register now and participate in the smart Business Plan Competition @ Nelson Mandela African Institute of Science and Technology.
Kama utafanikiwa kutuandikia na kukidhi hitaji la deadline 15/12/2017 itapendeza!
Tarehe 22, tutakujulisha kama wazo lako limefanikiwa kuingia 15 bora ili tukupe muongozo wa kutuandikia a little bit detailed business plan na kuwa tayari kupresent idea yako na kama itafanikiwa you have the possibility to win 1000 USD kama boost ya mtaji wako na kisha tutakusaidia with all required knowledge to make your business idea real (Incubation).
Inawezekana siyo wewe lakini waweza nisaidia fikisha wazo hili kwa rafiki, ndugu au jamaa.
Tujijenge, Tujikwamue na Kutoka.
Rejea viambatanisho hapo chini.....kuna flier na form ya maombi. fuata maelekezo na waweza kuandika hata nusu ukurasa kurespond kwenye haya malekezo kisha baada ya hapo ndipo tutaandika business plan baada ya kulikubali wazo lako.
Asante sana kwa kunielewa na kwa maelezo zaidi waweza kunipigia.
Regards
Paul Patrick (MBA, BPM - IT)
Skype: paul.patrick2
Arusha Tanzania
---------------------------------------------------------