Hizi ni habari njema sana...Asante kwa kutushirikisha..Mungu atukuzwe
kwa kazi hii nzuri na azidi kuwabariki na kuwainua katika viwango
vingine.
On 3/26/14, Kombe Chris <
chri...@gmail.com> wrote:
> Salaam katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
> Kanisa la *Tanzania Assemblies Of God: World Outreach Mission*, Linapenda
> kukualika Mpendwa Mtumishi wa Mungu katika sherehe ya maadhimisho ya
> miaka *kumi
> (10)* ya kanisa tangu kuanzishwa kwake. Sherehe itafanyika hapa hapa
> kanisani Jumapili ya Tarehe *30 Machi*kuanzia saa *8:00 mchana* mpaka
> saa *12:00
> jion*, ikitanguliwa na ibada ya shukrani itakayofanyika kuanzia saa *3:00
> asubuhi* mpaka saa *6:00 mchana*. Mgeni rasmi katika sherehe hizi atakuwa
> Askofu wa TAG Jimbo la Arusha Mashariki *Mchungaji Oral Sossy*.
> Karibu tumshukuru Mungu pamoja kwa hatua hii aliyotufikisha.
>
> Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kushiriki pamoja nasi katika siku
> hii ya muhimu na ya kipekee sana kwa kanisa letu.
>
> KATIBU WA KANISA-WOM
>
> Chris Kombe
> 0713 647704
>
--
"God's time is the best"