Amani kwenu nyote!!!
Ni vyema na sisi ambao hatuwezi kupata nafasi ya kuhudhuria vitu
maalum na muhimu kama hivi, tufikirie namna nyingine sahihi ya
kushirki.
Naishi kanda ya ziwa mkoa wa Mwanza, na ninafanya kazi ktk mgodi wa
Barrick wa North Mara-Tarime. Kwa yeyote ambaye anaishi maeneo ya huku
basi atoe maoni yake ni kwa jinsi gani tunaweza kushiriki jambo km
hili.
Nakaribisha idea zenu.
Asanteni,
Mary.C. Kimario
> -----Original Message-----
> From:
chri...@gmail.com
> Sender:
pcasf...@googlegroups.com
> Date: Fri, 6 Dec 2013 23:21:42
> To: <
pcasf...@googlegroups.com>
> Reply-To:
pcasf...@googlegroups.com
> Subject: Re: [Pcasf-Alumni] AGM attendance confirmation
>
> Dear Moses, AGM- Annual General Meeting, ni Mkutano mkuu unao wakutanisha
> Members wote wa PECAFA mara moja kwa Mwaka, ukiwa na Lengo la Wajumbe kupata
> Maendeleo ya Association, kupokea wajumbe wapya na kuweza kupitisha Mipango
> ya Mwaka unaofuata! Ni katika Mkutano huu pia Mabadiliko ya Katiba/Miongozo
> ya Jumuia inapopitishwa! Zaidi ya hapo ni wakati wa Wajumbe wote kutoka kona
> zote za Tz na nje ya Tz kukutana kufahamiana na kuwa na wakati mzuri wa
> kubadilishana mawazo. Kwa Ufupi hiyo ndio maana ya mkutano huu! Kwa mwaka
> huu 2014 imepangwa kufanyika Disemba 14 katika Mkoa wa Arusha!
> Barikiwa sana!!
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
"God's time is the best"