Ujasiriamali Pdf

0 views
Skip to first unread message

Shane Rouse

unread,
Aug 3, 2024, 5:19:08 PM8/3/24
to ololubra

Ujasiriamali umekuwa gumzo kote ulimwenguni, lakini sio njia tu ya kuanzisha biashara mpya. Ujasiriamali unahusiana na uvumbuzi lakini pia tofauti. Kozi hii itawapa wanafunzi mawazo ya ujasiriamali kuhusiana na mawazo ya uvumbuzi ambayo yanaweza kutumika kufanya kazi katika kuanzisha, ndani ya shirika, kama sehemu ya ofisi ya umma serikalini, katika sekta ya kijamii (biashara ya kijamii) na pia, kwa panga kazi na maisha ya mtu.

Kozi hii itakusaidia kuelewa sifa zinazohitajika za wachezaji wenza, kutambua fursa, na kukufundisha zana na uwezo wa Nne waMapinduzi ya Viwanda unaohitajika ili kuanzisha na kuongeza biashara. Ujasiriamali na ujasiriamali ni ufundi unaohusishwa na uongozi na usimamizi na hutofautiana katika miktadha - jiografia, tamaduni, sekta, viwanda - ambazo zinabadilika kwa kasi katika ulimwengu wetu wa utandawazi.

Ujasiriamali ni juu ya kufanya na kujaribu, kujifunza kutokana na kutofaulu na kufaulu, kurudia na kidogo kuhusu dhana za kinadharia, kwa hivyo kozi hii itatoa zana na mawazo ya vitendo ili kukusaidia kufahamu jinsi ujuzi wako na mapenzi yako yanaweza kufaa katika mifumo ikolojia tofauti ya ujasiriamali. Kozi hii inalenga kuwafundisha wanafunzi jinsi ya kutambua kwa haraka na kujaribu mawazo mapya ya biashara na jinsi ya kuzindua mradi wao wa kwanza kwa mafanikio wanapokuwa wamepata wazo linalofaa kufuata au kuongeza zaidi walizo nazo.

Kozi hii itatoa mtazamo juu ya athari za kutumia lenzi ya ujasiriamali kwa jinsi unavyoona ulimwengu, changamoto zake na fursa zake, lakini pia tofauti ambazo zinaweza kupatikana katika vikundi vya kuanza kote ulimwenguni. Utasikia mitazamo kutoka kwa wafanyabiashara, wafanyabiashara na wavumbuzi ambao watatoa hadithi na ushauri kutoka kote ulimwenguni.

Kuanzisha biashara yenye mafanikio inahitaji zaidi ya mtaji, bidhaa za kuuza na dhamira ya kupata faida. Inahitaji sifa fulani na mikakati mahsusi iliyowahi kufikiwa na wajasiriamali waliotangulia miaka kwa miaka. Waandishi na wataalamu wa biashara wamekusanya taarifa na kuzipembua hadi kuwa kilele cha maarifa unayoweza kuyatumia kuanzisha au kuendeleza biashara yako uliyonayo kwa ngazi ya juu zaidi.

Stadi za Ujasiriamali:
Ni Kitabu kinachoeleza mikakati ya mafanikio kwenye soko lenye ushindani. Kimebeba mzigo huu wa maarifa katika lugha rahisi kueleweka iliyonogeshwa kwa vionjo vya mifano halisi.

Jifunze jinsi ya:
Kujitathmini mwenyewe ili kujua kama ujasiriamali ni fani sahihi kwako.
Kuchagua biashara sahihi na mfumo wa uendeshaji unaokufaa.
Kutambua na kuwekeza katika mawazo mazuri ya biashara.
Kuanzisha na kuendesha biashara yako kwa ufanisi.
Kuwatangulia washindani wako kupitia maarifa & teknolojia.
Kuepuka matumizi na gharama zisizo za lazima zinazodidimiza makampuni mengi.
Kutumia njia rahisi za kupata masoko kwa bidhaa zako.
Kufikiri kwa mapana na kuanza taratibu ukiweka akili yako yote kwenye biashara yako
Kuepuka makosa yaliyozoeleka yanayopelekea biashara kuporomoka.
Kuhusu Mwandishi
Murori Kiunga ni mjasiriamali, mkufunzi na mwandishi mahiri kutoka Nairobi, Kenya. Vitabu vyake maarufu vinajumuisha:

The Art of Entrepreneurship (ambacho hii ni tafsiri yake ya kiswahili)
The Winning Character: Succeeding Where Others Fail, The 7 Pillars of Financial Success, The Entrepreneurial Journey.
From Employmemnt to Business and Common Reasons why start-up Business Fail and what you can do about

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anawatangazia wahitimu wote wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeandaa mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Arusha, Unguja, Pemba, Kigoma, Kagera, Iringa na Lindi. Mafunzo haya yataanza mwezi Septemba hadi mwezi Oktoba mwaka 2023.

Kuwapatia vijana uelewa, taarifa, maarifa, ujuzi na uwezo wa kuainisha fursa zinazowazunguka na kuweza kuzitumia fursa hizo kuanzisha ajira/biashara kwa ajili yao na wenzao na hivyo kuboresha maisha ya jamii kwa ujumla.

Mafunzo haya yanawalenga vijana wahitimu wa Vyuo vya Elimu ya Juu kuanzia ngazi ya Diploma na kuendelea wenye nia ya kujiajiri. Pia vikundi vya vijana wajasiriamali waliosajiliwa katika ngazi ya manispaa kwa mikoa ya Lindi, Dar es Salaam na Iringa wanahamasishwa kutuma maombi. Sharti ni kwamba katika vikundi hivyo mwanachama mmoja au zaidi awe ni mhitimu wa chuo cha elimu ya juu.

Mafunzo ya ujasiriamali wa kutengeneza sabuni ya maji kwa vitendo yamefanyika tarehe 10 mwezi Machi 2023 katika Shule ya Sekondari ya Prince Claus (SSPC), yakiendeshwa na Bi. Ewaldina Paul kutoka Taasisi ya YPM, kwa lengo la kuhamasisha vijana wadogo kujihusisha na ujasiriamali.

Mwalimu Mkuu wa SSPC Richard Onai Shembwana amewashukuru YPM kwa kuwapatia fursa hii na ameahidi kutumia ujuzi huo kuwahafundisha wanafunzi utengenezaji wa sabuni hizo kwa ajili ya matumizi ya shule na nyumbani pia.

Entrepreneurship training on how to make liquid soap was held on March 10, 2023 at Prince Claus Secondary School (SSPC), conducted by Ms. Ewaldina Paul from the YPM Institute, with the aim of encouraging young people to get involved in entrepreneurship.

The Principal of SSPC Richard Onai Shembwana thanked YPM for giving them this opportunity and has promised to use that knowledge to teach the students how to make soaps for school and home use as well.

Takwimu zinaonyesha kuwa katika eneo la kijiji cha Mtae katika Milima ya Usambara nchini Tanzania, ni asilimia 14-20 tu ya watoto wanafaulu mitihani ya kumaliza elimu ya shule ya msingi. Watoto wengi (wenye umri wa miaka 13-14) hawamalizi shule na hawana taaluma yoyote ambayo ingewawezesha kujipatia kipato. Hali hii inawagusa hasa wasichana vijana, ambao hali yao ni ngumu zaidi.

Wakati katika eneo hilo ajira kama udereva wa pikipiki, uzaji wa duka na ukulima ni kazi mbazo kwa asilimia kubwa zinafanywa hasa na wanaume, ambapo mustakabali wa msichana wa kawaida unaendelea kuwa ndoa ya mapema (mara nyingi kabla ya kufika umri wa miaka 18) na uzazi - ambapo mara nyingi unahusisha ujauzito wa hatari kwa maisha na afya. Wanawake mara nyingi wanawategemea kifedha wanaume - isipokuwa mauzo madogo ya rejareja katika masoko - na hawana matarajio halisi ya kujiendeleza au kuwa huru.

Lengo kuu la warsha (kiwanda) ni kutoa aina ya ajira kwa wasichana na wanawake ambao hawajamaliza elimu ya shule ya msingi. Hivyo, warsha hiyo inakusudia kuwapatia nafasi ya kujiendeleza kibinafsi na kupata uhuru wa kifedha, lakini pia kuongeza fursa zao za kushiriki katika maendeleo ya kiuchumi la kanda. Aidha, uzalishaji na usambazaji wa mara kwa mara wa matunda unatoa pia fursa ya kipato kwa wanawake wanaouza matunda katika eneo la Mtae.

Jengo la kiwanda linapaswa kukamilika ifikapo mwisho wa mwaka huu, kwani kazi za ujenzi tayari zipo katika hatua za juu. Vifaa vinavyowezesha kuanza uzalishaji tayari vimenunuliwa, na, mipango ya kutoa mafunzo ya ujasiriamali, masoko na uhasibu kwa kikundi cha utawala yamefanywa. Mafunzo ya matumizi ya mashine ya kukausha matunda kwa washiriki wa mradi yatafuata karibuni. Uzalishaji utaanza chini ya usimamizi ya waratibu wa mradi pale ambapo matunda ya embe yatakapoonekana sokoni (mwanzoni mwa Desemba).

Eneo la mradi lilitembelewa na mwakilishi Ubalozi wa Jamhuri ya Poland, Bw. Wojciech Łysak ambaye alikutana na waratibu: Bi. Dagmara Ikiert na Bw. Abdulkadir Kaniki, pamoja na wasichana na wanawake kutoka Milima ya Usambara wanaofanya kazi kwenye mradi na wale wanaojitolea kutoka Poland. Aliwapongeza kwa kujitolea kwa kiwango kikubwa katika mradi huo.

Mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa yamezindua mwongozo wa sera mpya kwa nchi zinazohifadhi wakimbizi na wahamiaji, wadau wa maendeleo na washirika wa kibinadamu, utakaosaidia kujenga fursa za kiuchumi kwa wahamiaji na wakimbizi.

Mwongozo wa sera hiyo mpya unaoyahusisha shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji, IOM na kamati ya Umoja wa Mataifa ya maendeleo na biashara UNCTAD , umezinduliwa kwenye kongamano la la kimataifa la uwekezaji linalofanyika mjini Geneva Uswis.

Mashirika hayo yanasema moja ya fursa kubwa ya kufanikisha azma hiyo ni ujasiriamali ambao una uwezo wa kuweka mazingira ya faida kwa pande zote, yaani kwa wakimbizi na wahamiaji na nchi zinazowahifadhi.

Kwa mujibu wa mashirika hayo, sera hiyo mpya inatoa mwongozo kwa vitendo kwa nchi zinazohifadhi wahamiaji na wakimbizi , wadau wa maendeleo na wa misaada ya kibinadamu, wa jinsi gani ya kuhakikisha kwamba wakimbizi na wahamiaji wanatumia ujuzi na uwezo walionao kujenga maisha yao na wakati huohuo kuchangia katika jamii zinazowahifandi na uchumi.

Mashirika hayo matatu yakizichagiza nchi kushikamana nao katika mkakati huu mpya yamesema ujasiriliamali unaweza pia kuwa suluhu ya kudumu inayohitajika kushughulikia changamoto za wimbi kubwa la watu wanaolazimika kukimbia makwao, ukienda sanjari na hatua zingine muhimu ambazo tayari zimeshawekwa kushughulikia athari za mgogoro wa kibinadamu unaotokana na wimbi la wahamiaji na wakimbizi.

Hakuna awezaye kushindana na athari za maendeleo. Wakati mwingine ni lazima maendeleo yasindikizwe na vyombo vya usalama viongoze mtiti wa kuwashurutisha wananchi kuyapokea. Utaona katika ujenzi wa miradi ya maendeleo inabidi kutokee upotevu wa makazi na mashamba ya watu wanayoyategemea kwenye maisha yao ya kila siku. Lakini hakuna jinsi, watu hao hao ndio wanaoyataka maendeleo.

Hivi sasa kama tunavyojua, ulimwengu mzima umehamia kwenye teknolojia. Yale makabrasha yaliyokuwa yakibebwa kwapani sasa yamehamia kwenye mitandao kama njia rahisi ya kutafuta ajira na fursa. Rekodi za wagonjwa, miamala ya kibenki, masjala za kiofisi, maktaba za vitabu, mauzo na manunuzi, habari, elimu na mambo kede kede, sasa hayana budi kufanyika kimtandao.

Pamoja na faida nyingi za teknolojia, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu siku hadi siku. Duniani kote kumekuwa na ukatili kutoka kwa watoa huduma muhimu kwenda kwa wahitaji wa huduma hizo. Ni wazi kuwa wenye funguo za teknolojia wanafanya kama waliokosana na watumiaji wa huduma hii muhimu kwa jinsi wanavyowatoza gharama kubwa. Lakini kwa kuwa tunataka maendeleo, hatuna budi kufanya ya mtaka cha uvunguni.

c80f0f1006
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages