Kwa hiyo, ndugu zangu nawasihi kwa rehema zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu na inayompendeza Mungu, hii ndiyo ibada yenu yenye maana. Msifuatishe tena mfano wa ulimwengu huu, bali mgeuze kwa kufanya mpya nia zenu. Ndipo mtaweza kuonja na kuhakikisha ni nini mapenzi ya Mungu yaliyo mema, yanayopendeza machoni pake na ukamilifu.
Basi natamatisha kutoka kwa haya na sehemu zingine nyingi ya Bibilia kuwa kuna njia ya kuongea juu ya mapenzi ya mungu. Yote ni kweli, na ya muhimu kuelewa na kuyaamini. Moja tunaita mapenzi ya Mungu kukiri (ama mapenzi yake ya ukuu) na nyingine tunaita Mapenzi ya Mungu ya kuamrisha. Mapenzi yake ya kukiri yanakuja kutimia ama tusipoamini. Mapenzi yake ya kuamrisha yanaweza kuharibiwa na hukubaliwa kila siku.
Kabla nilinganishe hii na Warumi 12:2 wacha nitaje juu ya vile ukweli hii miwili ni ya thamani. Yote yanalingana na hitaji ya ndani tulio nalo sisi sote wakati tumejeruhiwa kwa ndani ama wakati tumekumbwa na hasara kuu. Kwa njia moja, tunahitaji hakikisho kwamba Mungu yu ushukani na hivyo basi anaweza kufanya uchungu wangu wote na kupoteza kwangu kwa pamoja kwa ajili ya wema wangu na kwa wema wa wale wanaompenda. Kwa njia nyingine, yafaa tujue kuwa Mungu anasikia yale tunayosikia pamoja nasi na hafurahii katika dhambi na machungu kati na kwao wenyewe. Haya mahitaji mawili yanalingana na mapenzi ya Mungu ya kukiri na kuamrisha.
Na yanayoambatana na mapenzi haya mawili ni mambo mawili unayohitaji katika hali hii. Moja ni Mungu mwenye nguvu na makuu ya kutosha kuubadilisha kwa wema; na nyingine ni Mungu aliye na uwezo ya kuhisi vile unavyohisi. Kwa upande mwingine, Kristo ni Mfalme mkuu, na hakuna kinachofanyika ila tu mapenzi yake (Mathayo 28:18) Tena, Kristo ni kuhani mkuu mwenye rehema anayeweza kuchukuliana na sisi katika udhaifu na uchungu wetu (Waebrania 4:15). Roho mtakatifu hututawala na kushinda dhambi zetu anapopenda (Yohana 1:13; Warumi 9:15-16), na akijiruhusu kuzimwa na akahuzunishwa na kukasirishwa alipopenda (Waefeso 4:30; 1 Wathesolanika 5:19). Mapenzi yake ya ukuu hauna pingamizi, na mapenzi yake ya kuamrisha yaweza kuharibiwa vibaya.
Kuna hatua tatu ya kujua kufanya mapenzi ya Mungu yaliyofunuliwa, hiyo ni kusema, mapenzi yake ya kuamrisha; na hayo yote yanahitaji moyo uliofanywa upya ulio na upambanuzi uliopeanwa na Roho mtakatifu tulio ongea juu yake wakati uliopita.
Hatua ya pili ya mapenzi ya Mungu ya kuamarisha ni vile tunautumia ukweli wa Bibilia katika hali mbaya ambayo yaweza kuwa yameelezwa kinaga ubaga ama kutoelezwa katika Bibilia. Bibilia haikuambii ni mtu wa aina gani inafaa uoe, ama ni gari gani unastahili kuliendesha, ama kama unaweza kumiliki nyumba, pahali pa kujistarehesha, aina ya huduma ya simu ya rununu ya kununua, ama aina ya maji ya machungwa ya kunywa. Ama aina ya hatua ya kuchukua.
Kile cha muhimu ni kuwa tuwe na moyo uliofanywa upya, ambao umetengenezwa na kudhibitiwa na mapenzi ya Mungu yaliyofunuliwa katika Bibilia, ili tuweze kuona na kupekua hali yote yanayofaa na moyo wa Kristo na kupambanua yale Mungu anatuita tukayafanye. Hii ni tofauti sana na kujaribu kila mara kusikia sauti ya Mungu akisema fanya hiki ama kile. Watu wanaojaribu kuishi maisha yao kwa kusikia sauti zisizoambatana na Warumi 12:2.
Hili ni PDF file lenye orodha ya tovuti miongoni mwa tovuti na blogu za kitaaluma. Ambazo... ni muhimu na saidizi sana kwa wanafunzi na wanachuo pia. USIPANGE KUKIKOSA TAFADHALI! Ni sekunde kadhaa tuu kuweza kukidownload.
Mapenzi bora ni utenzi ulioandikwa na Shaaban Robert mwaka 1958.Utenzi huu una beti 700 ,ambazo lengo lake ni kuiadilia jamii juu ya maana,sifa,faida na hasara za kukosa mapenzi bora. Mwandishi wa kitabu hiki anasema,kusudi ni kuandalia mahitaji ya watu waliofikia fahamu ya kuwaza na kuhoji neno au kitu au tendo kwa akili ingawa haitakuwa vibaya kikisomwa na watu wowote ambao hawajafikia upeo kama huo wa kupenda, kujiweka tayari kwa zamu yao.Pia ni kwa watu ambao wana dhana kwamba,mapenzi si kitu cha maana, wanaonywa kuwa wanapata hasara kubwa kwa kupitwa bila kujua uzuri na fahari, heshima na utukufu ambao hustahili wao wenyewe. Ni kwamba wanamiliki majohari wasiyojua thamani yake. Pia anawaandikia watu wanaodai kuwa,mapenzi karaha kuzungumzwa. Anadai wanachekesha si kidogo. Mwisho anasisitiza kuwa mapenzi ni jambo moja katika mambo yaliyo muhimu katika wajibu wa mwanadamu.
Mwandishi Shaaban Robert anaamini kuwa mapenzi bora,yaani mapenzi ya kupendana wanajamii wote bila kujali tofauti zetu za rangi,dini,kabila na tofauti nyingine pamoja na kumpenda Mwenyezi Mungu yataifanya dunia iwe mahala pazuri sana pa kuishi na pia Mwenyezi Mungu atatupatia thawabu.
Kiyakinifu mwandishi ameonesha kwamba mapenzi ya kweli ni muhimu kwa maendeleo ya nyanja zote za maisha ya binadamu. Hii ni kutokana na jinsi alivyolizungumzia suala la mapenzi ya kweli na nafasi yake katika kuleta maendeleo,amani,kuondoa matabaka,ubaguzi na kupambana na tuhuma na fitina kwa wanajamii.
Katika diwani hii mtunzi ametumia mtindo wa usahiri wa monolojia, kwani utenzi huwa ni simulio juu ya jambo fulani lakini kwa lengo la kuiadilisha jamii, aidha mtunzi ameandika beti 700 akifafanua kiundani suala la mapenzi bora.
Jina la kitabu linasadifu/linaendana kabisa na yaliyomo katika kitabu kitabu hiki kwani toka mwanzo hadi mwisho wa kitabu mwandishi anajadili na kuonesha maana ya mapenzi bora, sifa za mapenzi bora, faida na hasara za kukosekana kwa mapenzi bora katika jamii yoyote.
eebf2c3492