---------- Forwarded message ----------
From:
VICTOR KASSIAN <victor...@gmail.com>Date: 2015-05-12 12:10 GMT+03:00
Subject: Fwd: Taarifa ya kikosi kazi
To: NUMET <
nu...@numet.co.tz>, "
juma....@numet.co.tz" <
juma....@numet.co.tz>, "
ebbah...@numet.co.tz" <
ebbah...@numet.co.tz>, "
joram....@numet.co.tz" <
joram....@numet.co.tz>, "
alhajim...@numet.co.tz" <
alhajim...@numet.co.tz>, Numet Tanzania <
numet...@gmail.com>, "Msenga, Simon (North Mara )" <
SMs...@acaciamining.com>, Alleyson Patali <
ampa...@gmail.com>, Anne Ngondo <
annen...@yahoo.com>, "Sultan, Isaac (North Mara)" <
isu...@acaciamining.com>, Mwita Bhoke <
mbhoke...@numet.co.tz>, "Sultan, Isaac (North Mara)" <
isu...@africanbarrickgold.com>, Jabir Mchomvu <
JA...@statoil.com>, Nuru Changarawe <
N...@statoil.com>, Yusuph Kalyango <
kalyang...@numet.co.tz>, Yusuph Kalyango <
kalya...@gmail.com>, "
comrs...@gmail.com" <
comrs...@gmail.com>, Pontian Mutashubirwa <
big2...@gmail.com>, "
plann...@caspiantz.com" <
plann...@caspiantz.com>, salum waziri <
SALUM...@hotmail.co.uk>, "
salum...@yahoo.co.uk" <
salum...@yahoo.co.uk>, Godfrey Katakweba <
GODFREYKA...@gmail.com>, GODFREY KATAKWEBA <
Godfreyk...@gmail.com>
Cc: sabas mhina <
sabas...@yahoo.com>
Ndugu Wadau,
Ijumaa tarehe 8/5/2015 Wizara ya Kazi iliitusha kikao ikiwashirikisha wadau kuhusu kupokea mapendekezo ya jinsi ya kupanga kima cha chini cha mishahara.
Kikozi Kazi kilichofanya utafiti kiliibuka na mapendezo makuu mawili;
- Kuwepo kwa kima cha chini kitaifa kwa ajili ya sekta zote
- kuwepo kwa kima cha chini kwa ajili ya kila sekta.
Majadiliano yalibaini tofauti mbili:
Ilionekana haja ya wazi ya kuwashirikisha wadau zaidi ili kupata kinachofaa. Hivyo ikaagizwa kuwa Document hiyo isambazwe kwa wadu ili waipitia na kutoa maoni yao.
Emaili hii nimeipokea leo baada ya jana kufika Wizarani kuifutilia document iliyoambatanishwa.
OMBI:
- Naomba muipitie na kunitumia mapendekezo yako. Ukiona vyema wawezapia kupiga tukajadiliana. Namba zangu zipo hapa chini.
- Isambaze kwa wenzako wote ili pia upate maoni na mapendekezo yao.
Angalizo:
- Tafadhali nitumie kabla ya tarehe 15.5.2015 ili nami niweze kuyaunganisha na kuwasilisha tarehe 15.5.2015. Nayo Wizara itayarataribu kwa ajili ya kuyawasilisha tarehe 20.5..2015.
- Hayo yatakuwa ndiyo mapendekezo ya Wafanyakazi kuhusu hoja ya kima cha chini
- Ili kujitosheleza google; http://www.ilo.org/dyn/normlex/en/f?p=NORMLEXPUB:12100:0::NO:12100:P12100_INSTRUMENT_ID:312276:NO.
Kazi njema,
--
Victor Kassian,
Ag. Deputy General Secretary,
National Union of Mine & Energy Workers of Tanzania - NUMET,
P.O.Box 7733,
Mwanza - Tanzania.
And P. O. Box 3153
Sub - Office Dar es Salaam.
Mob:
+255786038941 &
+255715038941