Usaidizi na app ya katiba

3 views
Skip to first unread message

Benson Muite

unread,
Apr 26, 2026, 2:53:59 PM (20 hours ago) Apr 26
to nairo...@googlegroups.com

Ninajaribu kutengeneza app ya Katiba kwa lugha ya Kiswahili. Kuna app
zingine:

https://github.com/jchiwaii/katiba
https://github.com/elijahondiek/katiba360-backend
https://github.com/Appsmata/Katiba
https://github.com/programmer-ke/katiba-chat
https://github.com/OndiekiFrank/kenya-constitution-ai-agent

lakini, ni moja tu iko na Kiswahili, na inaonekana Katiba ya Kiswahili
wanatumia si sahihi.

Ningetaka kujua kama kuna mtu anaweza pata faili ya:
a) picha ya bendera
b) picha ya nembo ya kitaifa
c) picha ya muhuri ya serikali
na leseni CC0. Kama unaweza pata picha bora, tafadhali nisadie hapa:
https://codeberg.org/bkmgit/Katiba-Kenya-2010

Naomba pia marekebisho.

Benson
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages