--- On Fri, 4/20/12, beatrice mwilike <beatric...@yahoo.com> wrote:
From: beatrice mwilike <beatric...@yahoo.com> Subject: Fw: Fw: Fwd: Fw: NOVENA YA AJABU To: "JEREMIAH m AKULA" <makulaje...@yahoo.com>, "Sumaye Jude" <joju...@yahoo.com>, "Sally Ratemo" <sally...@yahoo.com>, "sjma...@yahoo.com" <sjma...@yahoo.com>, "AGNES MASAWE" <agy...@yahoo.com>, "Kautipe Changamike" <ktpcha...@yahoo.co.uk>, "emwi...@yahoo.com" <emwi...@yahoo.com>, "lameck...@yahoo.co.uk" <lameck...@yahoo.co.uk>, "uma...@diamondtrust.co.tz"
<uma...@diamondtrust.co.tz> Date: Friday, April 20, 2012, 3:37 PM
thank you dr. Kundi
--- On Wed, 4/18/12, Joseph Kundy <jku...@URC-CHS.COM> wrote:
From: Joseph Kundy <jku...@URC-CHS.COM> Subject: RE: Fw: Fwd: Fw: NOVENA YA AJABU To: "Lulu Gumbo" <lulu...@gmail.com>, "asla...@gmail.com" <asla...@gmail.com>, "aika...@yahoo.com" <aika...@yahoo.com>, "franklyn charles" <charles....@gmail.com>, "Richard Christopher" <rich_...@hotmail.com>, "charle...@yahoo.com" <charle...@yahoo.com>, "candy...@yahoo.com" <candy...@yahoo.com>, "dau...@yahoo.com" <dau...@yahoo.com>, "fainidiana" <faini...@gmail.com>, "ges...@yahoo.com" <ges...@yahoo.com>, "katet...@yahoo.com" <katet...@yahoo.com>, "mtui.e...@gmail.com" <mtui.e...@gmail.com>, "mtis...@yahoo.com" <mtis...@yahoo.com>, "massa...@gmail.com" <massa...@gmail.com>,
"pfran...@yahoo.com" <pfran...@yahoo.com>,
"rose_...@yahoo.com" <rose_...@yahoo.com>, "smwas...@yahoo.com" <smwas...@yahoo.com> Date: Wednesday, April 18, 2012, 3:25 AM
Mara upatapo nakala hii, sema sala ifuatayo kwa dhati, kwa muda wa siku TISA mfululizo bila kukatiza:Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe ufalme wako ufike, Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni, utupe leo mkate wetu wa kila siku, utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe na sisi
waliotukosea, usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni, kwa kuwa ufalme ni wako na nguvu na utukufu hata milele, Amina.
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu kama mwanzo na sasa na siku zote na milele amina. Bikira maria mama mwenye heri na neema uniombee kwa mwanao Bwana wetu Yesu kristu ili kwa mapenzi yake nipate kwa
Mungu kile ninachomwomba Amina.
Ukishaisali, tuma nakala angalau tisa kwa watu tofauti tofauti
.Kisha,subiri utaona maajabu baada ya siku TISA . Baba yetu ni NOVENA.Sala hii ilianzishwa na Mama Thereza wa Calcutta mwaka 1952 na haijawahi kukatizwa.Tafadhali itume kwa ndugu na marafiki zako.Hii ni novena yenye nguvu.Haikugharimu kusali,na tafadhali usiikatize! Isali ukiwa peke yako, au na ndugu zako, au na marafiki zako au hata na familia yako
USHUHUDA
Ni kweli, ni novena ya ajabu.Niliipata nikaisali kwa siku tisa, mara nilipoimaliza nilipata simu ya kuitwa kwenye usaili, baadaye nilipata kazi ambayo nalipwa shilingi milioni 1.5 kwa mwezi
Alta Precisionair, Arusha.
Masomo ya sekondari yalikuwa yakinipa shida sana.Kila nilipo jitahidi kusoma nilikuwa napata alama ambazo haziniridhishi.Nilipata nakala yasala hii nikiwa najiandaa na mtihani wangu wa mwisho (kidato cha sita), nikaisali, kisha nikaitoa fotokopi nikaituma kwa marafiki zangu kumi. Matokeo ya mtihaniyalipotoka,kila mtu alishangaa kuona nina daraja la kwanza!
P.Kemunge, Air Wing Dar es Salaam
Waziri Mkuu wa Somalia alipata sala hii mwaka 1998,akaidharau,akaichana-chana nakuichoma moto.Baada ya miezi sita,wasaidizi wake na jeshi waliasi,yakatokea machafuko makubwa mjini Mogadishu ,na serikali yake ilipinduliwa.Tangu muda ule vita vilianza,na hadi leo, Somalia ndiyo nchi pekee duniani isiyokuwa na Serikali!
BBC, Mogadishu
.
Nilipata sala hii nikaisali huku nikimwomba Mungu anijalie mchumba mwema.Nilipomaliza siku tisa, nilimwota msichana wa ndoto zangu.Baadaye, alikuja kuwa mchumba wangu!
Asiyetaja jina, Moshi.
Nilipata sala hii nikiwa nafanya kazi TPC Moshi, nikaitunza kabatini.Baadaye ulitokea mzozo na mwajiri wetu tukafukuzwa kazi.Nilipoikumbuka, nikaitafuta, nikaipata nikaisali na familia yangu.Wiki iliyofuata nilirudishwa kazini nakupandishwa cheo, na mshahara uliongezeka maradufu.
Mushi Eusebio, Kilimanjaro.
Natumaini ushuhuda huu umekufanya uamue.Ukisali ukafanikiwa, usikose kutoa ushuhuda wako.Kila utakachokiomba, utakipata mapema kadiri ya idadi ya watu utakao watumia sala hii ila mara baada yakuisali kwa siku tisa (9) mfululizo yaweza kukukinga na ajali mbaya au balaa iliyokuwa ikupate!
Ukiituma kwa mtu mmoja….ulichoomba utakipata baada ya mwaka mmoja
Ukituma kwa watu watatu….miezi 6
Watu 8….wiki 1
Watu 9….siku 5
Watu 10….siku 3
Watu 15….siku 1
Watu 20….masaa
3.
Ni
vema ukamjaribu Mungu kwa mema, kuliko kukaa bure, ukajikosesha baraka za Bwana! | | | | | |
|
|