Kila mwenye moyo wa Upendo huwa anashukuru,,Dada yetu Martha anatusaidia sana,,
Be blessed as giving is better than receiving,
Dr Kalolo
Kila mwenye moyo wa Upendo huwa anashukuru,,Dada yetu Martha anatusaidia sana,,
Be blessed as giving is better than receiving,
Dr Kalolo
[21/08/2015 14:44] Dr Amon Selupfu: Mimi ilibidi niende mwenyewe NMB leo asbh maana shida zangu zimezidi,nikauliza pale kukawa hamna cha check wala nini!nikaenda kule kwa bursa ndio wakasema eti zilienda nusu zingine bado,ikabidi nikae nisubirie hapo mpaka nikahakikisha kwenye mlolongo kuna jina langu na check zikaenda bank,nikarudi tena NMB nikahakiki zimefika,ila wakasema mpaka saa 10 ndio zinaweza kuwa kwenye accnt,nikamuomba manager akasema not early tha 2 pm.nimeangalia sasa hivi hado!tuwe wapole bora zimeshafika bank.
[21/08/2015 14:45] Dr Amon Selupfu: Ila majina yalioenda leo NMB ni 27 tu,na wakasema kwa sababu ni wachache watashughulikia wao hapo branch!ingekuwa wengi siku hizi wanapeleka head office NMB.
[21/08/2015 14:46] Dr Amon Selupfu: Nimefoward kama mdau 1 alivyo post taarifa hizi zina ukweli?
Hili boom ni kwa ajili ya NMB tu au? Maana sielewi elewi hapa,almost a week sasa watu wa benki nyingine hatujapata pesa. Tunamaliza karatasi za atm kwa kuangalia salio kila tds!
Hatua gani tuchukue?
Naomba mwongozo.
Kitambo ya lini kaka? Some from NBC hawajapata. CRDB ndo kabisaa