Halo napenda kuwataarifu kuwa boom toka Jana check ulienda bank,,na leo watu wa NMB tayari pesa imeingia mnaweza kuangalia na account zenu,,,
Pia ninaombi moja tu kwenu nyie mnaobenefit na boom la wizara,,ni kwamba Dada Martha huyu secretary wa Director amfanya kazi kubwa sana ya kuhakikisha pesa inatoka in time ikiwa ni pamoja na kuwapigia simu students kuhahakiki accounts zao na kusign,, so naomba unaweza kumshukuru kwa hata vocha,,namba yake 0713243548
Thanx in advance
Dr Kalolo
Wale wa CRDB naombeni msaada. Hivi kuna ambaye ameshapata boom? Isijekuwa ni mimi tu nimechinjiwa baharini
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "MUHAS Postgraduate 2012" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to muhaspg12+...@googlegroups.com.
To post to this group, send email to muha...@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/muhaspg12.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Crdb me nmepata
Imeingia lini Peter? Maana nataka nikapatifue
Toka last week