We Ntunaguzi ulishawahi kumaliza shule ukapewa marupurupu na pesa ya kubind lini? Hahaha acha kutumia hear say MA dear. Ukirejea bajeti ya wizara ya pesa ya research ipo wazi unapewa 1.5 kama wewe ukipata pungufy kadai ila hauna nyongeza.
Kalolo(MD,MMED)