Duh, Edgar unabadili sana subjects of emails from "Enjoy!" to "Zawadi
Wanamugabe!" to "CCM" kitu ambacho kinaondoa consistence.
Najua wewe ni mwana CHADEMA (sijui mtandao wa Mbowe au Zitto) na
ulijaribu kugombea ubunge wa Afrika Mashariki.
Tumekula bata karibu na Christmas na wengi ndio juzi juzi tunarudi
kutoka kwenye libeneke la mwaka mpya. Focus zetu zilikuwa zaidi katika
ukaribu na familia zetu na kurudisha energy zetu za body, mind and
soul for the year ahead. Kuna wakati (kutokana na priority tofauti)
focus inakuwa sio kwa Mwalimu Rashid tu.
Binafsi (nashukuru Mungu) nimepata muda wa kutosha wa kula bata na
wana-Mugabe. Pia nikapata muda wa kufanya get-together ya nguvu na
familia yetu ya Dr Balandya. Mwanzoni mwa mwaka kwa mara ya kwanza
nimeweza pia kufanya reunion ya wana Tambaza High School (1994 to
1996).
Let me revisit my resolutions for 2013, goals and their deadline
before strategizing.
Lavie ezali kitoko elengi.
Ahaha. Hivi Edgar umeoa? Maana sijawahi kusikia ukizungumzia hili
jambo. Sisi ndio wanajamii wenzako. Halafu wewe ni kama shemeji yangu.
Amang'ana Thatha Mura!
> --
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mugabe89" group.
> To post to this group, send email to
muga...@googlegroups.com.
> To unsubscribe from this group, send email to
>
mugabe89+u...@googlegroups.com.
> For more options, visit this group at
>
http://groups.google.com/group/mugabe89?hl=en.
>
>