Kwa mbali Magnus Renatus Kibonde na mimi Mukulukulu Moto Pamba nikiwa nimevaa jezi za “Pipoozzz” huku Dickson Pascal (Jefta Malaba) aka “Sangara” akiwa na nondo za Bodaboda.
Mganga hajigangi. Picha hizi ni kwa hisani ya Moses Maximilian Hella ambaye hajatokea kwenye hizi picha. Kuna picha nyingine nitakazotuma ambazo atatokea.
Tuvilage Lupembe na Halima Peter Kadinda (kabla hajaja Avia Lupembe na Flora Mtani).
Anayeonekana nusu ni Godwin Lyamba. Wengine ni Bahati Kalewe (Japhet Stephen) akichukua namba ya simu, Tuvilage Lupembe, Halima Peter Kadinde akimpigia simu Flora aje haraka, John Isaack Mgallah aka “Mchina”, Goerge Mtui, Magnus Renatus Kibonde na mimi mwenyewe Suverain.
Picha hii ilipigwa wakati Dickson alikuwa ameshaondoka.
George Mtui, Magnus Tenatus Kibonde, William Kaijage, Godwin Lyamba, Bahati Kalewe (Japhet Stephen) na Tuvilage Lupembe tukiwa tunakula Monde.
Watu wengi waliohamia Mugabe baada ya 1987 hawamfahamu Tuvilage. Alihama wakati tupo darasa la 5. Alikuja kwenye mlipuko na watoto wake wawili.
Japhet Stephen, Magnus Renatus Kibonde, William Kaijage na mkono unaouona ni wa Godwin Lyamba.
Hakuna siku tuliyokula bata kama siku hii. Hapa nikimuita muhudumu aongeze kachumbari. Dickson ulivyoondoka ulikosa mengi sana.