Mlipuko Jumatatu ya Pasaka (24-March-2008)

20 views
Skip to first unread message

William Kaijage

unread,
Mar 11, 2008, 5:29:12 AM3/11/08
to muga...@googlegroups.com
Mazee mwaka unakaribia kumaliza robo yake ya kwanza.
We are on the verge of the first quarter.
Imeshauriwa wana Mugabe-89 tujilipue Jumatatu ya Pasaka tarehe 24-March kwa sababu wengi wetu tutakuwa tumejimuvuzisha mjini na tarehe hiyo sio rahisi kuingiliana na schedule za vikao vingine vya kijamii.Kuna uwezekano Alhamis tarehe 20 ikawa Maulid kwa hiyo ikawa long holiday ambazo half ya pili ya mwaka huwa zinaadimika sana.
Naomba tupendekeza kumbi ili tuweze kujumuika pamoja (wiki mbili zijazo) katika kusherehekea kufufuka kwake Yesu Mwana Nzambe na kati ya Nazareti.
Where is the destination this time, 1.Makumbusho Village, 2.Cine Club, 3.Lion Hotel, 4.Mzalendo Pub tena, 5.Vatican Hotel au.
 
Thanks
 
William Kaijage
 

Rachel Nyambuly

unread,
Mar 11, 2008, 5:52:27 AM3/11/08
to muga...@googlegroups.com

Nimekusoma mzee wa ngwasuma, mi napendekeza sine club.

 

Mbona hamleti members fees?

 

Halima alifiwa na bibi yake msiba ulikuwa nyumbani kwake magorofani block D, walipeleka msiba Iringa na wamesharudi.

 

Siku njema  members wote.

Dennis Francis

unread,
Mar 11, 2008, 9:14:15 AM3/11/08
to muga...@googlegroups.com
Hiyo imetulia mwana!!
 
Poleni na pilika za kimaisha, nimerudi tena nilibanwa kidogo na kazi za watu nikawa siko hewani kwa muda lakini nimerudi.
 
  1. Naomba Chairperson mtu aliyechukua minutes siku ya kikao cha pili cha Task Force aziwasilishe kwangu kwa sababu ni muhimu katika kuandaa taarifa ya kupeleka kwenye mkutano mkuu.
  2. Namshukuru M/hazina kwa kukumbushia hilo binafsi nitalitekeleza kabla ya sikukuu.
  3. Huo mlipuko ni vema tukabadilisha sehemu pale Mzalendo sio pabaya ila mpaka jua lizame sasa sisi wengine ni wana familia mambo ya kusubiri usiku tulishasahau tunaambiwa usiku umeshaingia kaangalie familia, sasa mapededgee kama chairperson na wengine wao muda umefika. Mimi pendekezo langu ni CINE CLUB!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Rachel Nyambuly <rac...@icbank-tz.com> wrote:

Looking for last minute shopping deals? Find them fast with Yahoo! Search.

leticia likongo

unread,
Mar 13, 2008, 1:34:22 AM3/13/08
to muga...@googlegroups.com
kwanza kabisa Halima pole sana kwakufiwa na bibi, nikumuombea tuu mungu amlaze pema peponi. vilevile niliona kwenye taharifa ya habari ya star tv kwamba Ludao karia kafariki. kwahiyo nakumbuka ni mdogo wake Karigo. pole sana karigo sote tu safari moja ila mwenzetu katutangulia mungu amlaze mahali pema peponi amina.
 
rachel kuhusu fees nitakuja dar tar 20 march, kwahiyo nitarekebisha kila kitu
 
regards
         Leticia Erasmus

Rachel Nyambuly <rac...@icbank-tz.com> wrote:

Be a better friend, newshound, and know-it-all with Yahoo! Mobile. Try it now.

Dennis Francis

unread,
Mar 13, 2008, 2:10:57 AM3/13/08
to muga...@googlegroups.com
Mimi pia nilikuwa nasikia tangu jana RFA wakitangaza tangu juzi, but I didnt know that the late she is a sister of KARIGO.
 
Pole HALIMA pole KARIGO, may the almigthy GOD rest these souls in eternal peace AMEN.

leticia likongo <leticia...@yahoo.com> wrote:

William Kaijage

unread,
Mar 13, 2008, 3:50:35 AM3/13/08
to muga...@googlegroups.com
 
Halima alikuwa amefiwa na bibi mzaa mama ambaye alikuwa anaishi naye Dar-es-Salaam. Wamemzika Dar-es-Salaam na baadaye wakasafiri kwenda Iringa kumalizia mambo ya msiba.
Jana Jumatano ndio amerudi kutoka Iringa.
 
Karigo Karia anatarajiwa kufika leo Alhamis. Brother wake Juma, kama mnamkumbuka, amerudi kutoka Ufaransa jana. Mara baada ya kufika na mara baada ya kuweza kuwasiliana naye kupitia ndugu yake mmoja anaitwa Salum nitawapa taarifa zaidi.
 
Thanks
 
Mungu awalaze mahali pema peponi.
 
Willie

 

john isaac

unread,
Mar 13, 2008, 8:13:24 AM3/13/08
to muga...@googlegroups.com
heloo wanaalumni?
natamamani kuwa pamoj ananyi huko cine club kujivinjari lakini hata hivyo niyawabonyezea ............... kwa kilongalonga nipate hisia za mlupuko wa easter wanawane.
tupo tanganyika tunaigika kiana no time to have fun like Uuuuuuuuuuuuu.
Bro. John

William Kaijage <kai...@gmail.com> wrote:

john isaac

unread,
Mar 13, 2008, 8:17:15 AM3/13/08
to muga...@googlegroups.com
Hello friends
Nawapa pole sana wafiwa kwa misiba iliyowakuta sisi wote niwapitaji tu, Bwana aliumba Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele na milele.
Bro.John

leticia likongo <leticia...@yahoo.com> wrote:

William Kaijage

unread,
Mar 14, 2008, 3:14:06 AM3/14/08
to muga...@googlegroups.com
Mazishi ya Ludao Karia, dada na mdogo wake Karigo Karia, ambaye alikuwa mfanyakazi wa Star TV/RFA yalifanyika jana Alhamis, 13-March-2008 katika makaburi ya Mabibo Jeshini.
 
Marehemu, kwa wanaokumbuka, tulisoma naye Mugabe akiwa madarasa mawili au matatu nyuma. Amefariki kwa ugonjwa wa moyo.
 
Mugabe89 iliwakilishwa na Pastor Dennis Francis Rwegoshora mzee wa RUBADA pamoja na Le Grand Mopao Coco Madimba.
 
Vilevile alikuwepo mwalimu Chale.
 
Pia walikuwepo school mate watatu waliokuwa mwaka mmoja mbele yetu waliokuwa classmate wa Ali Karia yaani Saidi Zungiza (mdogo wake Mwalimu Zungiza), Mohammed Seleman na Salum Kalumanyile.
 
Wasalaam.
 
William Kaijage

Benson Kidenya

unread,
Mar 15, 2008, 6:39:32 AM3/15/08
to muga...@googlegroups.com
Nilipokea kwa masikitiko makubwa msiba huu wa Rudao Karia Dada yake na Karigo Karia!
 
Rudao Karia ni jirani yangu kule Mwanza na tulikuwa tunakaa karibu sana kule mitaa ya mlima wa Bugando!
 
Rudao alikuwa ameolewa na Mshikaji wangu na Shemeji yetu aitwaye Emmanuel Nyenyembe ('aka' Mzee wa Volleyball) ambaye alisoma Mashujaa Shule ya Msingi akiwa ametutangulia madarasa machache mbele!
 
Kwa hiyo kwa kule Mwanza tulikuwa tume-form kijiji fulani cha wana-Sinza ndani ya Bugando!
 
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi na aifariji familia ya Karia na  wafiwa wote kwa ujumla wapone haraka!
 
BWANA ametoa na BWANA ametwaa! Jina la BWANA libarikiwe!
 
Stay Blessed!
 
Baba Prosper

Benson Kidenya

unread,
Mar 15, 2008, 7:01:50 AM3/15/08
to muga...@googlegroups.com
Dada yangu Halima Peter Kadinde ("aka Mama Gabriel") pole sana na kufiwa na Bibi yetu Mzaa Mama!
 
Bibi ametangulia tu na tumshukuru Mungu maana bibi amedumu kishenzi, hili ni jambo bora sana mtu ukiweza kuishi miaka mingi kama ya huyu bibi yetu!
 
Na hii Style yetu ya huu msiba wa Bibi nimeipenda sana nanukuu (na-copy and paste) maneno ya mesage toka kwa Kaijage...(seeLink)....!
 
"Wamemzika Dar-es-Salaam na baadaye wakasafiri kwenda Iringa kumalizia mambo ya msiba. Jana Jumatano ndio wamerudi kutoka Iringa...........!
 
Si Mchezo......!  This is Cost Effective......!
 
Stay Blessed!
 
Baba Prosper!
 
 
 


Never miss a thing. Make Yahoo your homepage.

kariago karia

unread,
Mar 19, 2008, 6:09:47 AM3/19/08
to muga...@googlegroups.com
shukrani sna ndugu zangu wote na wale waliofiwa nao poleni sana(HALIMA).ijapokuwa inauma sana lakini,ni kazi ya mungu hiyo haina makosa.
 
Tunashukuru sana wanamugabe89.kwa umoja huu,WILLIAM,DENIS NAWASHUKURUNI KUWEPO KWENU NYUMBANI KWETU,SIKU YA MSIBA .
NATUMAINI MMEWAKILISHA WANACHAMA WOTE.
 
MWISHO NAWATAKIA MAISHA MEMA SANA WOTE NA FAMILIA ZENU.MUNGU AWABARIKI SANA .EMEN.
 
KARIGO KARIA


Rise to the challenge for Sport Relief with Yahoo! for Good
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages