Ni masikitiko yangu kuwataarifu kwamba mtoto wa Nicolaus Jackson Warioba anayeitwa Dorcas amefariki dunia.
Dorcas alikuwa na umri wa miaka 6. Amefariki jana (09-Jun-2013) Jumapili jioni. Alikuwa anaumwa malaria tokea Jumamosi (08-Jun-2013) mchana.
Msiba upo Tabata nyumbani kwa Nico.
Namba ya Nico ni 0754-586909/0653-579770.
Mazishi yanafanyika kesho makaburi ya Sinza Jumanne (11-Jun-2013).
Thanks
William