Fw: Re: Maisha Ndivyo yalivyo

23 views
Skip to first unread message

Godwin Liamba

unread,
Jun 8, 2010, 6:17:16 PM6/8/10
to benki...@yahoo.com, muga...@googlegroups.com

----Forwarded Message----
From: g_lia...@yahoo.co.uk
To: mally...@gmail.com, mwany...@yahoo.com, mwany...@yahoo.co, g_lia...@yahoo.co.uk, gmsu...@yahoo.co.uk, mary....@Sumatra.or.tz
Sent: Thu, 18 Feb 2010 18:37 GMT
Subject: Fw: Re: Maisha Ndivyo yalivyo


----- Original Message -----
Subject: Fw: Re: Maisha Ndivyo yalivyo
Date: Mon, 15 Feb 2010 7:41:40
From: Ismail Mbwana <als...@yahoo.com>
To: Adelphine Mbuya <nmb...@yahoo.co.uk>,Aderick Kagenzi <kag...@yahoo.com>,Agnes Kapeleula <nancy...@yahoo.com>,Alex Gideon Ndembeka <alexgid...@yahoo.com>,Alphonce Mwingira <alphonce...@yahoo.com>,Apolinia Mwangosi <apolonia...@yahoo.com>,Baraka Ndondore <bara...@yahoo.com>,Bernard Liamba <banl...@yahoo.com>,Biseko Chiganga <chi...@yahoo.com>,Bonafance Kyaruzi <bkyaru...@hotmail.com>,Cassim Ramadhani <cass...@yahoo.com>,David Mpangile <dmpa...@yahoo.co.uk>,Denis Mhaluka <dmha...@attt.co.tz>,Deogratius Kassinda <dkass...@yahoo.com>,Deus Kitakwa <dchi...@hotmail.com>,Dionis Kishiwa <dkis...@yahoo.co.uk>,Dorosela Lugaiyamu <doro...@yahoo.com>,Edwin Singine <singin...@yahoo.com>,Emmy Evarest <emmye...@yahoo.com>,Fadhili Machela <fmac...@gmail.com>,Flora Mataba <fma...@gmail.com>,Grace Rucibamayila <cagraz...@yahoo.com>,Gregory Kitakwa <gma...@yahoo.com>,Hadija Joseph <salo...@yahoo.com>,Hamida Khamis
<hamida...@yahoo.com>,irene joshua Mbowe <irene...@yahoo.com>,jamil Mwanga <Jamil_...@yahoo.com>,Jarome Dukuduku <jero...@yahoo.co.uk>,John Njawa <jnj...@tcaa.go.tz>,Kirenga R. Ndemino <kirenga...@yahoo.com>,Kwame Polisya <kwame_...@yahoo.com>,Marwa Petro <marwa...@gmail.com>,maryam zavalla <maryam...@hotmail.com>,Maryam Kitua <mki...@yahoo.com>,Massa Kitakwa <massak...@yahoo.com>,Massa Kitakwa <massak...@hotmail.com>,Mathayo Ntandu <nmat...@tcaa.go.tz>,Matovolwa <mato...@hotmail.com>,Michael Deleli <smde...@yaoo.com>,michael polycarp <sak...@yahoo.com>,Ms Waride Bakari Jabu <warid...@yahoo.com>,Mwanaidi Kieo <mwanaid...@yahoo.co.uk>,Mwanamkuu Mwanyika <mwan...@yahoo.com>,Nackie Morogoro <nack...@yahoo.com>,Nicholas Chonya <cnich...@hotmail.com>,Njeri Kitakwa <theddy...@hotmail.com>,Njeri Kitakwa <theddy...@yahoo.com>,Oscar Nazareno <oscar....@planinternational.org>,Peter Kalasa
<nika...@yahoo.com>,Peter Philip <pmwasa...@yahoo.co.uk>,R.A Mushi <regina...@yahoo.co.uk>,Rahma M SAID <jrnm...@yahoo.com>,Rajabu Mohammed Mwinyumbu <raj...@yahoo.com>,Ramadhani Maleta <rma...@airports.go.tz>,Raymond Machary <rmac...@yahoo.com>,Rehema Godbless <rehemag...@yahoo.com>,Sabina George <sabb...@hotmail.com>,Said Onga <so...@tcaa.go.tz>,Siwajibu Ramdhani <siw...@hotmail.com>,Susan Igogo <sus...@yahoo.com>,Sweet Linar <sweety...@yahoo.com>,veronica najima <vna...@yahoo.com>,Zakayo Majura <z_ma...@yahoo.com>,Zakayo Nyange <zkny...@yahoo.com>

--- On Mon, 2/15/10, Mr. Jovin, J. R.,The Treasury, D'Salaam <johann...@gmail.com> wrote: From: Mr. Jovin, J. R.,The Treasury, D'Salaam <johann...@gmail.com> Subject: Re: Maisha Ndivyo yalivyo To: "Flora Mataba" <fma...@gmail.com> Cc: "bmwasaga" <bmwa...@gmail.com>, "alsi_54" <als...@yahoo.com>, "Criss Paul" <criss...@yahoo.com>, "chacha mike" <chac...@yahoo.com>, "john mkombachepa" <johnmko...@googlemail.com> Date: Monday, February 15, 2010, 10:04 AM gooood morning!
 
i am ok, and you?
 
Jovin
2010/2/13 Flora Mataba < fma...@gmail.com >

Malaika wawili watembeaji walisimama usiku mmoja katika nyumba ya Familia ya Kitajiri..     > >  Familia ile ilikuwa JEURI na walikataa kuwaruhusu wale malaika kulala kwenye chumba chao cha wageni.

>   > Badala yake wale Malaika walipewa kasehemu kadogo kauchochoroni chenye baridi chini ya Nyumba ya wale Matajiri. > > Wakati wanajiandaa kutandika kwenye sakafu ngumu kujiandaa kulala,Malaika Mkubwa aliona kuna tundu ukutani wa sehemu ile na kaliziba.

> > Malaika mdogo akauliza kwa nini umeliziba tundu hilo wakati familia hiyo ni ya watu jeuri? Malaika mkubwa akajibu: >       > "Mambo siku zote hayawi kama tunavyo dhania"

> > Usiku ya Pili wale Malaika walikwenda kupumzika kwenye Nyumba ya Mtu masikini sana,lakini ni Mkulima mwenye huruma sana > yeye na Mkewe. >   > Baada ya kushirikiana chakula kidogo walichonacho,wale masikini waliwakaribisha chumbani kwao wale Malaika ili wapate kupumzika vizuri usiku ule.

>   > Wakati Jua lilipochomoza asubuhi ya pili yake,wale Malaika walimuona yule Mkulima masikini na Mkewe wanatokwa machozi.. Walipowauliza kulikoni? Wakajibu: "Ng'ombe wetu mmoja tu tulienae ambae maziwa yake ndio kipato pekee tunachokitegemea  tumemkuta amekufa Shambani."

> > Yule Malaika mdogo alikasirika na akamuuliza Malaika mkubwa: "inakuwaje umeacha jambo hili litokee" ? >   > Yule jamaa wa kwanza tulielala kwake alikuwa na kila kitu,hata hivyo ulimsaidia kuziba tundu kwenye nyumba yake,alilaumu Malaika mdogo.

>       > Huyu jamaa wa Pili alikuwa anakitu kidogo sana lakini alikubali kushirikiana na sisi kila kitu lakini umemuachia Ng'ombe wake afe,inakuwaje ? >   > Malaika Mkubwa akajibu: "Mambo siku zote hayawi kama tunavyo dhania".

>     > "Tulipokaa chini kwenye Nyumba ya yule Tajiri,niliona kupitia kwenye lile tundu kuna DHAHABU nyingi sana chini ya Jumba lile". >   > Lakini kwa kuwa yule Tajiri alikuwa Jeuri na Kiburi sana na alikuwa hataki kushirikiana na wenzake na kutoa missada,NILILIZIBA LILE TUNDU ili asije kuiona ile Dhahabu."

> > "Usiku uliopita tulilala kwenye Nyumba ya Masikini tena kwenye Kitanda chake.Usiku ule Malaika wa MAUTI alikuja kutaka kuchukua ROHO ya Mke wa yule Masikini.Nikaamua kutoa msaada kwa kumtoa yule Ng'ombe badala ya Mke wa masikini".

> >"Mambo siku zote hayawi kama tunavyo dhania." Wakati mwingine haya ndio mambo haswa yanvyotokea kinyume na vile tulivyo tarajia.Kama UNAIMANI YA MUNGU basi unahitajiwa kuamini kuwa matokeo yoyote yale ni faida kwako.Huwezi kujua hayo mpaka hapo baadae....                

>     > Oooo > >       > Kuna Watu wanakuja katika maisha yetu baadae huondoka > > oooO > > Kuna Watu wanakuwa marafiki zetu kwa muda tu baadae hutoweka  huku wakiacha makovu kwenye nyoyo zetu na wote hatupo sawasawa katika kufaulu kupata marafiki wazuri  !!!

> > Ya Jana ni Historia. >       > Ya Kesho ni Miujiza. >       > Ya Leo ni Zawadi kutoka kwa Mungu. >      

> Tunapaswa kushukuru kwa zawadi hii pekee. > HUYU > NI MALAIKA AMEKUTEMBELEA,TUMA > UJUMBE HUU KWA WATU 5 > NA UOMBE MUNGU AKUSAIDIE KATIKA SHIDA > ZAKO >       > Usifute

> Message hii kwa sababu inatoka kwa Malaika maalum kwa >   >   > >     > ajili yako. > >   > >     HUWEZI > JUA HIVI > SASA: > -
>  
> >   > > >       > -kuna > mtu anakufikiria wewe, >       > -kuna > mtu anakujali wewe, > >       > -kuna > mtu anakukosa wewe,

>       > -kuna > mtu anahitaji kuongea na wewe,   > >       > -kuna > mtu anataka kuwa na wewe, > >       > -kuna > mtu anatarajia haupo kwenye matatizo,

> >       > -kuna > mtu anataka kuushika mkono wako, >       >   > -kuna > mtu anakuombea mambo > yako yote yawe mazuri, >       > -kuna > mtu anataka uwe kwenye furaha wakati wote,

>       >   > -kuna > mtu anahitaji umtafute, > >       > -kuna > mtu anashangilia mafanikio yako, > >       > -kuna > mtu anataka kukupa zawadi,

> >       > -kuna > mtu anakufikiria wewe ni zawadi kwake kutoka kwa > MOLA, >   > >       > -KUNA > MTU ANAKUPENDA, > >       > -kuna

> mtu anavutiwa na haiba na Nguvu zako, > >       > -kuna > mtu anafikiria TABASAMU > lako, > >       > -kuna > mtu anatamani muwe bega kwa bega katika kila kitu

  -- Johannes Jovin RUGEMALIRA, MSc Senior Economist Ministry of Finance and Economic Affairs Madaraka Avenue P. O. Box 9111 Dar es Salaam The United Republic of Tanzania

Fax No. +255 22 2123924 Cell:       +255 754 434540


Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages