Naomba nitoe maamuzi magumu (kama kwenye kesi ya Papii Kocha)
INTRODUCTION
Nimepokea kura halali au maoni kutoka 16 (na ya kwangu ya 17). Maamuzi yanafikiwa kama ifuatavyo;
MAAMUZI
•Siku ya Shughuli ni: Tarehe 15-December-2012 (Jumamosi)
•Makutano yetu yatakuwa katika Ukumbi wa: Mawela Bar (au Ten Star) Sinza (Karibu na Vatican au Shule ya Sinza Mihogoni).
Maamuzi ya Tarehe yamezingatia mambo yafuatayo
•Tarehe ilipendekezwa na wengi
•Watu wengi baada ya tarehe hii watakuwa katika mikiki mikiki ya Christmas na Mwaka Mpya na wengi wangependa kuwa mikoani
MAELEZO
Maamuzi ya Ukumbi
•Watu wengi wamependelea Sinza.
•Watu wengi wasingependa kwenda mbali sana na sehemu wanazoishi kutokana na changamoto za usafiri.
MENGINEYO
•Kumbi nyingine zilizotaja zitafikiriwa katika mujumuiko mengine.
•Kila mtu mwenye agenda yake, hii fursa adimu ya kupata platform ya kuzungumza unachopenda kukipendekeza au unachopenda kujulikana kwa wenzako.
•Kila mtu anakaribishwa kuwasilisha mada yake ambayo angependa kuiongolea siku hiyo.
•Watu wawili hawakujibu maswali kama yalivyoulizwa. Hizi ni kura ziliharibika (spoilt votes).
S/N |
Name |
|
1 |
Adam Mikidadi |
|
2 |
Alphonce Temba |
Popote Sinza 05-Dec |
3 |
Alphonce Msalilwa |
|
4 |
Amani Mchome |
|
5 |
Amina Masenga |
Popote (DSM) |
6 |
Angela Kilewo |
Atakuwa kazini Mtwara |
7 |
Asteria Isdori |
|
8 |
Athuman Hamis Ligagiti |
|
9 |
Avia Lupembe |
|
10 |
Bahati (Japhet) Kalewe (Stephen) |
15th or 22nd Dec (or Ealy Jan) Ten Star (Mawela) Denfrance |
11 |
Beatrice Kalokola |
|
12 |
Benson Kidenya (Dr.) |
|
13 |
Denis Francis Rwegoshora |
15/12/2012. T-Garden |
14 |
Dickson Pascal (Japhet Malaba) |
22-Dec |
15 |
Domitila Kwelukila |
0655-011438 01-Jan Rose Garden |
16 |
Donatila Kwelukila |
|
17 |
Elias Mchaki |
|
18 |
Ernest Haule |
|
19 |
Evelin Jane Makoye |
|
20 |
Geofrey |
|
21 |
George Mbelwa |
|
22 |
Godwin Lyamba |
Siku yoyote |
23 |
Hafidh Mohammed |
|
24 |
Halima Peter Kadinde |
O653-926464 15-Dec Rose Garden |
25 |
Henry (Vicent) Msoffe |
15-Dec Mbalamwezi |
26 |
Hussein (Robert) Nkalami |
|
27 |
John Isaac Mgallah |
15-Dec Rose Garden |
28 |
Juma Seleman |
|
29 |
Justina Kikuli |
|
30 |
Karigo Karia |
|
31 |
Kisali Nnyari |
15th or 22nd Dec 2012. |
32 |
Langeni Mpokera |
|
33 |
Leticia Erasmos Likongo |
|
34 |
Lucy Lawrence |
|
35 |
Magnus Renatus Kibonde |
|
36 |
Makorongo (Edgar) Chibura |
|
37 |
Mongi Abdu |
|
38 |
Moses Maxmillian Hella |
|
39 |
Mwamsiba (Vivian) Ramadhan |
22-Dec (au Kabla) Sinza Garden |
40 |
Namundi Simwanza |
|
41 |
Nerusigwa Mwalugaja |
|
42 |
Nicodemus Jackson (Warioba) |
|
43 |
Nyarukanda Nyega |
|
44 |
Oliver Ernest |
0715-223375 Mbalamwezi 29-Dec |
45 |
Raymond Simeon |
O1-Jan |
46 |
Rockus Kahanda (Yusuph Ngalela) |
|
47 |
Rose Kiasi |
|
48 |
Simeon Mapuli |
|
49 |
Tuvilage Lupembe |
|
50 |
William Kaijage |
|
51 |
Hashim |
|
52 |
George Mtui |
0686-299303 15-Dec Mbalamwezi |
ACHA HIZO CHIBU,OMBA LIKIZO FUPI --- On Mon, 11/26/12, edgar Chibura <chibu...@yahoo.com> wrote: |