Edgar Chibura Makongoro (au Makorongo) aka "Feremu".
Kuna wakati tunakutana kama meeting (kikao). Kuna wakati tunakutana
kwa ajili ya family get-together for the purpose of kula bata.
Sio kila wakati ni agendas kama uendeshaji wa Abajalo, Yanga au CHADEMA.
Ila kama kuna kimeo ungependa kukisimamia ingekuwa fresh zaidi.
Tutakupa support yote na platform. Ni kama CEO anavyokuwa na
ma-directors chini yake.
Nadhani unanipata.
Willie
On 1/13/13, edgar Chibura <
chibu...@yahoo.com> wrote:
> Habarizenu WANAMGABE, jamani tumekuwa kimya mno mwenyekiti vipi tupe ratiba
> ya madhimio kusanyiko {mkutano} lililopita yaani utekelezaji wake.
>
> --
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mugabe89" group.
> To post to this group, send email to
muga...@googlegroups.com.
> To unsubscribe from this group, send email to
>
mugabe89+u...@googlegroups.com.
> For more options, visit this group at
>
http://groups.google.com/group/mugabe89?hl=en.
>
>