..::Mahudhurio: Mlipuko wa Mugabe89 Tarehe 15-Dec-2012, Mawela Bar, Sinza::..

2 views
Skip to first unread message

William Kaijage

unread,
Dec 18, 2012, 4:59:16 AM12/18/12
to muga...@googlegroups.com

Mahudhurio: Mlipuko wa Mugabe89 Tarehe 15-Dec-2012, Mawela Bar, Sinza

Mahudhurio
•01. Dickson Pascal (Jefta Malaba) aka “Sangara”
•02. Bahari Kalewe (Japhet Stephen)
•03. Adam Mikidadi aka “Ng’ombe”
•04. Moses Hella
•05. Avia Lupembe
•06. Godwin Lyamba
•07. Halima Kadinde
•08. Flora Mtani
•09. Tuvilage Lupembe
•10. John Isaack
•11. George Mtui aka  “Vi-brush”
•12. Magnus Renatus Kibonde
•13. William Kaijage

Udhuru (Walio Nje ya Dar-es-Salaam)
•Justina Kikuli (yupo Dodoma NMB) alipiga simu na akaongea na baadhi ya watu
• Eveline Makoye (Shinyanga)
•Angela Kileo (Mtwara)
• Edgar Chibura aka “Feremu” (India Masomoni)
•Rose Kiasi (Shinyanga)
•Domitila Kwelukila (Businesswoman Dodoma)
•Nyarukanda (Rachel) Nyega (Bunge Dodoma)
•Alphonce Temba (Arusha)
•Alphonce Msalilwa (Arusha)
•Athumani Ligagiti aka “Njagu/Mgambo” (Kilimanjaro Police)
•Ernest Haule (South Africa)
•Karigo Karia (UK)
•Simeon Mapuli (Portugal)
•Raymond Simeon (anafanya kazi Mediterranio. Yupo free Jumatatu tu)
•Nicodemus Jackson Warioba (alikuwa )
•Dennis Rwegoshora aka “Mwarabu” (alikuwa Rukwa to Mbeya to Dar)
•Kisali Nnyari (alikuwa Arusha).
•Hussein (Robert) Nkalami (Karatu Airtel)
•Leticia Erasmos Likongo (Mtibwa)
•Geofrey Mwaijonga (alikuwa Zambia akiendesha gari la mizigo)
•Others: Kuna baadhi ya watu ambao namba zao simu za zamani hazipatikani; Rockus Kahanda, George Mbelwa, Amina Masenga, Namundi Simwanza

ANY OTHER BUSINESS (AOB)
•Mwitikio ni mkubwa. Ndio tukio la kwanza kuhudhuriwa na George Mtui, Flora Mtani na Avia Lupembe.
•Watu wengi mlipuko urudiwe tena mwanzoni mwa mwaka watu wengi watakapokuwa wamerudi Dar-es-Salaam kwa ajili ya likizo.
•Imeshauriwa kuandaa shughuli ya kumtembelea mama Nyagawa siku akiwa Dar-es-Salaam. Kujua pia wanapopatikana walimu wengine (na contact zao) ambao wanaweza kutembelewa siku nyingine e.g. Mwalimu Rashid, Mwalimu Biteya, Mwalimu Godwin, Mwalimu Musa na Mwalimu Musa.
•Kufanya donation ya kuchangia baadhi ya vitu kwa ajili ya Mugabe Primary School. Mengine yatakuwa kwenye email tofauti.

Willie

Benson Kidenya

unread,
Dec 18, 2012, 1:19:17 PM12/18/12
to muga...@googlegroups.com
Iko poa!
 
Na mwanzo huu ni mzuri!
 
Keep it up!
 
Nawafagilia organizers na wote mlioweza kuhudhuria!
 
Regards!

--- On Tue, 12/18/12, William Kaijage <kai...@gmail.com> wrote:
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mugabe89" group.
To post to this group, send email to muga...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mugabe89+u...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/mugabe89?hl=en.

edgar Chibura

unread,
Dec 18, 2012, 8:24:00 PM12/18/12
to muga...@googlegroups.com
         Dah! kidenya upo kaka? kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!


From: Benson Kidenya <benki...@yahoo.com>
To: muga...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, December 18, 2012 6:19 AM
Subject: Re: ..::Mahudhurio: Mlipuko wa Mugabe89 Tarehe 15-Dec-2012, Mawela Bar, Sinza::..

Dennis Francis

unread,
Dec 18, 2012, 11:55:29 PM12/18/12
to muga...@googlegroups.com
Yes suala la kutembelea walimu naunga mkono kwa sana nafikiri watafutwe na mpango wa kuwatembelea uandaliwe.
Dennis.



From: edgar Chibura <chibu...@yahoo.com>
To: "muga...@googlegroups.com" <muga...@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, December 19, 2012 4:24 AM
Subject: Kidenya upo?

Angela Kileo

unread,
Dec 19, 2012, 5:12:17 AM12/19/12
to muga...@googlegroups.com
Hallo wana Mugabe!
Nimefurahi kwa mlioweza kukutana kwa niaba ya wengine ambao hatukuweza kuja.Mtwara kuko poa
Angela Kileo

--- On Tue, 12/18/12, edgar Chibura <chibu...@yahoo.com> wrote:

Benson Kidenya

unread,
Dec 19, 2012, 7:10:53 AM12/19/12
to muga...@googlegroups.com
Kaka nipo!

Za India!?

Nimekosa kosa kidogo tu ule mlipuko wa juzi!

Nakutakia shule njema!

Uje tukomboe Taifa!

Regards!

--- On Tue, 12/18/12, edgar Chibura <chibu...@yahoo.com> wrote:

From: edgar Chibura <chibu...@yahoo.com>
Subject: Kidenya upo?
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages