Heri ya Mwaka Mpya wa 2014 wana Mugabe89
Hii ni miaka 25 kamili tokea 1989. Hii ni robo karne. Ni umri wa bendi ya Quartier Latin. Dennis Rwegoshora Mzee wa "Mikolo Eleki Mingi" anaijua hii.
Nimekutana na Hashim. Anaishi na kufanya shughuli Dubai. Mara moja moja huwa anakuja Bongo. Yupo Bongo hivi sasa mpaka mwezi wa pili.
Namba yake ya Bongo ni 0759-104010