vincent msoffe <vms...@yahoo.com> wrote:
>
>HI Angela,
>
>bado niko Vodacom, kwa bei ya modern ni tshs 90,000/=
>
>bei hii inajumuisha airtime ya tshs 60,000/=
>
>karibu sana kwenye mtandao unaongoza Tanzania. pia kwa lindi na Mtwara tuna Korosho tarrif, shilingi moja kwa sekunde kwa masaa 24
>
>regards
>
>
>--- On Fri, 9/18/09, Angela Kileo <atk...@yahoo.com> wrote:
>
>> From: Angela Kileo <atk...@yahoo.com>
>> Subject: Habari
>> To: muga...@googlegroups.com
>> Date: Friday, September 18, 2009, 6:31 AM
>> Hello wana Mugabe nadhani
>> hamjambo.Mimi niko Dar kikazi.Mtwara kuko bomba
>> nawakaribisha sana,Vicent Msoffe bado uko VODACOM?Nisaidia
>> nataka kujua gharama ya kununua modem ya internet ili
>> nitumie kwa personal laptop.Robert Nkalami pia nichekie
>> gharama za hiyo kitu Zain.Dr Kidenya Ulisema unafanya Phd ya
>> kitu gani nikumbushe.Nawatakia wote Eid njema.
>> MAMA JONATHAN
>>
>>
>>
>>
>> >
>>
>>
>>
>
>
>
>
>--~--~---------~--~----~------------~-------~--~----~
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mugabe89" group.
>To post to this group, send email to muga...@googlegroups.com
>To unsubscribe from this group, send email to mugabe89+u...@googlegroups.com
>For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/mugabe89?hl=en
>-~----------~----~----~----~------~----~------~--~---
>