You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to muga...@googlegroups.com
WANAMUGABE89 SALAAAAAAAAAAAM
NATUMAINI KUWA MAISHA YANAENDELEA KWA KILA MMOJA WETU,KWA KUFANIKIWA KWA MAMBO FULANI NA KUTOFANIKIWA KWA HAPA NA PALE LAKINI YOTE HAYO NI MIPANGO YA MWENYEZIMUNNGU .KUNA MAMBO AMBAYO KAMA BINAADAMU YANAMTOKEA NA ANAJIULIZA MARA MBILI MBILI WHY ME GOD, BUT NOT ONLY YOU ON THIS PLANET.INATOKEA KWA KILA MTU.USIKATE TAMAA KUPANGA NA KUTEKELEZA YALE AMBAYO UNAONA YANAKUFAA KATIKA MAISHA YAKO.KUKATA TAMAA NI DHAMBI KUBWA.KWA WALE WALIOPATA MAFANIKIO KATIKA MWAKA 2013 HONGERENI SANA NA WALE WALIOPATA MATATIZO YA HAPA NA PALE POLENI SANA .NA BASI
MWENYEZIMUNGU ATUFUNGULIE CHAPTER MPYA YA MWAKA 2014 WITH BRILLIANT VISION OF GALAXIES.NA MAFANIKIO TELE.AMEN.