Yes suala la kutembelea walimu naunga mkono kwa sana nafikiri watafutwe na mpango wa kuwatembelea uandaliwe. Dennis.
Dah! kidenya upo kaka? kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Iko poa!
Na mwanzo huu ni mzuri!
Keep it up!
Nawafagilia organizers na wote mlioweza kuhudhuria!
From: William Kaijage <kai...@gmail.com> Subject: ..::Mahudhurio: Mlipuko wa Mugabe89 Tarehe 15-Dec-2012, Mawela Bar, Sinza::.. To: muga...@googlegroups.com Date: Tuesday, December 18, 2012, 1:59 AM
Mahudhurio: Mlipuko wa Mugabe89 Tarehe 15-Dec-2012, Mawela Bar, Sinza
Mahudhurio •01. Dickson Pascal (Jefta Malaba) aka “Sangara” •02. Bahari Kalewe (Japhet Stephen) •03. Adam Mikidadi aka “Ng’ombe” •04. Moses Hella •05. Avia Lupembe •06. Godwin Lyamba •07. Halima Kadinde •08. Flora Mtani •09. Tuvilage Lupembe •10. John Isaack •11. George Mtui aka “Vi-brush” •12. Magnus Renatus Kibonde •13. William Kaijage
Udhuru (Walio Nje ya Dar-es-Salaam) •Justina Kikuli (yupo Dodoma NMB) alipiga simu na akaongea na baadhi ya watu • Eveline Makoye (Shinyanga) •Angela Kileo (Mtwara) • Edgar Chibura aka “Feremu” (India Masomoni) •Rose Kiasi (Shinyanga) •Domitila Kwelukila (Businesswoman Dodoma) •Nyarukanda (Rachel) Nyega (Bunge Dodoma) •Alphonce Temba (Arusha) •Alphonce
Msalilwa (Arusha) •Athumani Ligagiti aka “Njagu/Mgambo” (Kilimanjaro Police) •Ernest Haule (South Africa) •Karigo Karia (UK) •Simeon Mapuli (Portugal) •Raymond Simeon (anafanya kazi Mediterranio. Yupo free Jumatatu tu) •Nicodemus Jackson Warioba (alikuwa ) •Dennis Rwegoshora aka “Mwarabu” (alikuwa Rukwa to Mbeya to Dar) •Kisali Nnyari (alikuwa Arusha). •Hussein (Robert) Nkalami (Karatu Airtel) •Leticia Erasmos Likongo (Mtibwa) •Geofrey Mwaijonga (alikuwa Zambia akiendesha gari la mizigo) •Others: Kuna baadhi ya watu ambao namba zao simu za zamani hazipatikani; Rockus Kahanda, George Mbelwa, Amina Masenga, Namundi Simwanza
ANY OTHER BUSINESS (AOB) •Mwitikio ni mkubwa. Ndio tukio la kwanza kuhudhuriwa na George Mtui, Flora Mtani na Avia Lupembe. •Watu wengi mlipuko urudiwe tena mwanzoni mwa mwaka watu wengi watakapokuwa wamerudi Dar-es-Salaam kwa ajili ya
likizo. •Imeshauriwa kuandaa shughuli ya kumtembelea mama Nyagawa siku akiwa Dar-es-Salaam. Kujua pia wanapopatikana walimu wengine (na contact zao) ambao wanaweza kutembelewa siku nyingine e.g. Mwalimu Rashid, Mwalimu Biteya, Mwalimu Godwin, Mwalimu Musa na Mwalimu Musa. •Kufanya donation ya kuchangia baadhi ya vitu kwa ajili ya Mugabe Primary School. Mengine yatakuwa kwenye email tofauti.
Willie
-- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mugabe89" group. To post to this group, send email to muga...@googlegroups.com. To unsubscribe from this group, send email to mugabe89+u...@googlegroups.com. For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/mugabe89?hl=en.
|
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mugabe89" group.
To post to this group, send email to muga...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mugabe89+u...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/mugabe89?hl=en.
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mugabe89" group.
To post to this group, send email to muga...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mugabe89+u...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/mugabe89?hl=en.
|