Fw: Maoni ya katiba

7 views
Skip to first unread message

edgar Chibura

unread,
Jan 19, 2013, 2:28:18 PM1/19/13
to muga...@googlegroups.com

----- Forwarded Message -----
From: edgar Chibura <chibu...@yahoo.com>
To: "kat...@katiba.go.tz" <kat...@katiba.go.tz>
Sent: Saturday, January 19, 2013 7:11 AM
Subject: Maoni ya katiba


Naitwa Edgar Chibura Pass No. nipo India kimasomo.

Napenda kuchangia kamaifuatavyo;

Moja,katiba itamke mfumo wa Elimu tunaotakiwa kuwanao si kila chama au wazili wa elimu anamua kwa kuona yeye

Mbili,katiba isiwape vyama mamlaka ya kuwavua ubunge,udiwani uenyeviti wa serikali za mtaa pengine hutumika kwa kukomoana kwa tofauti ya mawazo pia ni kudidimiza demokrasia ya waliowengi kwa maamuzi ya watu wachache na wasitoka eneo hilo.Kunasiku hata Rais atanyanganywa uwanachama wake itakuwa taabu kama si vulugu na mauaji.

Tatu,mgomea Binafsi katika ngazi zote.

Nne,Wakurugezi wa Wilaya wachaguliwe na wananchi na awe chini ya baraza la madiwani asipo wajibika kwa niaba ya waninchi afukuzwe kazi ili kuongeza uwajibikaji na maendeleo kwa faida ya eneo husika tu.

Tano,Mbunge,Diwani hata Rais aruhusiwe kuhama chama pasipo kuathili wadhifa wake.

Sita,katiba itamke mikataba yote ya kiuchumi ya serikali ipitie Bungeni kabla ya utekelezaji wake kuondoa rushwa au uzembe yaani kuongeza umakini zaidi

Saba,Mtumishi wa serikali mla rushwa au katumia madaraka kwa manufaa yake afungwe kuanzia miaka mitano na kuendelea kutegemea na kosa lake na kufisiwa mali zake.

Nane,waoingiza au kutengenza vitu chini ya viwango wahesabiwe ni wahujumu huchumi na kama vitu hivyo vimesababisha madhara kwa afya za binadamu kama vifo mfano nyaya majanga ya moto, matairi ajari za barabarani, vyakula kansa nk waongeze kosa la mauaji.

Tisa,viongozi wala rushwa wafungwe na kufilisiwa mali zao.

Kumi,matokeo ya uchaguzi yasibadilishwe na tume yawe kama yalivyo kutoka vituoni na kama kunautata ufanyike uhakiki kabla ya kutangaza.

Kumi na moja,kuwe na hatua ya kukata rufaa matokeo ya uchaguzi kabla ya tangazo la mwisho.

kumi na mbili,Ili uwe Rais ni muhimu afikishe nusa ya kula zote {50+1},uchaguzi urudiwe au vyama viungane kuunda serikali ya mseto na hili ndilo la muhimu kuepusha gharama zaidi.

Kumi na tatu,vyama viruhusiwe kuungana kwa kuanzisha chama kipya kiruhusiwe kufanyakazi maramoja pasipo vizingiti pia vinaweza kuunga pasipo kupoteza hadhi au nembo zao.

Kumi na tano,wafanyakazi waruhusiwe kugombea ubunge,udiwani hata urais pasipo kuacha au kuachishwa kaziila akifanikiwa pia achukue likizo kwa huo muda au aachekazi kwa hiali yake mbona mawazi wangombea ili hali ni watumishi wa serikali?

mwisho,katiba itambue swara la mtoto kusoma si hiyari ya mzazi au mlezi ni lazima tena iwe bure kuanzia chekechea hadi kidato cha nne na mzazi au mlezi akizembea afungwe au afanyekazi za kijamii kwa muda wa miezi sita au mwaka kutegemea na kosa lenyewe.

Mwisho kabisa,JKT iwe ni lazima kwa mhitimu wa chuo kwa kiwango cha kidato cha nne na cheti na kwa wahitimu wote wa kidato cha sita vinginevyo asitegemee ajira ya serikali wala mkopo kwa masomo ya juu ili kuweka husawa na uzalendo kwa nchi yao.

Nyongeza mfanyakazi awe na uhuru wa kujiunga na chama cha wafanyakazi kwa kujaza fomu na kujitoa wakati wowote kama anahisi hakimsaidii ili kuongeza uwajibikaji zaidi pia elimu itatolewa kujua manufaa ya chama kabla ya kujiunga.

Asanteni sana ningeomba kujulishwa kama mapendekezo yangu yamewafikia.

Wenu mtazania
EDGAR W. CHIBURA
Masomoni India{masters with Education}













edgar Chibura

unread,
Jan 19, 2013, 2:52:51 PM1/19/13
to muga...@googlegroups.com
----- Forwarded Message -----
From: edgar Chibura <chibu...@yahoo.com>
To: "kat...@katiba.go.tz" <kat...@katiba.go.tz>
Sent: Saturday, January 19, 2013 7:47 AM
Subject: Fw: Maoni ya katiba{masahihisho}

----- Forwarded Message -----
From: edgar Chibura <chibu...@yahoo.com>
To: "kat...@katiba.go.tz" <kat...@katiba.go.tz>
Sent: Saturday, January 19, 2013 7:11 AM
Subject: Maoni ya katiba


Naitwa Edgar Chibura Pass No.AB 099576 nipo India kimasomo.

Napenda kuchangia kamaifuatavyo;

Moja,katiba itamke mfumo wa Elimu tunayotakiwa kuwanayo si kila chama au waziri wa Elimu anamua kwa kuona yeye

Mbili,katiba isiwape vyamavya siasa mamulaka ya kuwavua ubunge,udiwani uenyeviti wa serikali za mtaa pengine hutumika kwa kukomoana kwa tofauti ya mawazo pia ni kudidimiza demokrasia ya waliowengi kwa maamuzi ya watu wachache na wasitoka eneo hilo.Kunasiku hata Rais atanyanganywa uwanachama wake itakuwa taabu kama si vulugu na mauaji.

Tatu,mgomea Binafsi katika ngazi zote.

Nne,Wakurugezi wa Wilaya wachaguliwe na wananchi na awe chini ya baraza la madiwani asipo wajibika kwa niaba ya waninchi afukuzwe kazi ili kuongeza uwajibikaji na maendeleo kwa faida ya eneo husika tu.

Tano,Mbunge,Diwani hata Rais aruhusiwe kuhama chama pasipo kuathili wadhifa wake.

Sita,katiba itamke mikataba yote ya kiuchumi ya serikali ipitie Bungeni kabla ya utekelezaji wake kuondoa rushwa au uzembe yaani kuongeza umakini zaidi

Saba,Mtumishi wa serikali mla rushwa au katumia madaraka kwa manufaa yake afungwe kuanzia miaka mitano na kuendelea kutegemea na kosa lake pia afilisiwa mali zake.

Nane,wanaoingiza au kutengenza vitu chini ya viwango wahesabiwe ni wahujumu huchumi na kama vitu hivyo vimesababisha madhara kwa afya za binadamu kama vifo mfano nyaya majanga ya moto, matairi ajari za barabarani, vyakula kansa nk waongezewe kosa la mauaji.

Tisa,viongozi wala rushwa wafungwe na kufilisiwa mali zao.

Kumi,matokeo ya uchaguzi yasibadilishwe na tume, yawe kama yalivyo kutoka vituoni na kama kunautata ufanyike uhakiki kabla ya kutangaza.

Kumi na moja,kuwe na hatua ya kukata rufaa matokeo ya uchaguzi kabla ya tangazo la mwisho.

kumi na mbili,Ili uwesabiwe mshindi wa u Rais ni muhimu afikishe nusa ya kula zote {50+1},uchaguzi urudiwe au vyama viungane kuunda serikali ya mseto na hili ndilo la muhimu kuepusha gharama zaidi.

Kumi na tatu,vyama viruhusiwe kuungana kwa kuanzisha chama kipya na kiruhusiwe kufanyakazi maramoja pasipo vizingiti pia vinaweza kuunga pasipo kupoteza hadhi au nembo zao.

Kumi na tano,wafanyakazi waruhusiwe kugombea ubunge,udiwani hata urais pasipo kuacha au kuachishwa kazi ila wakifanikiwa wachukue likizo kwa huo muda au waachekazi kwa hiali yao, mbona mawaziri wanagombea ili hali ni watumishi wa serikali?

mwisho,katiba itambue swara la mtoto kusoma si hiyari ya mzazi au mlezi ni muhimu Elimu kutolewa bure kuanzia chekechea hadi kidato cha nne na mzazi au mlezi akizembea afungwe au afanyekazi za kijamii kwa muda wa miezi sita au mwaka kutegemea na kosa lenyewe.

Mwisho kabisa,JKT iwe ni lazima kwa mhitimu wa chuo kwa kiwango cha kidato cha nne na cheti, na kwa wahitimu wote wa kidato cha sita vinginevyo asitegemee ajira ya serikali wala mkopo kwa masomo ya juu ili kuweka husawa na uzalendo kwa nchi yao.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages