
Ilikuwa ni Jumamosi ya tarehe 27-December-2008, na kati ya Ibungila Hall, Landmark Hotel, Ubungo Dar-es-Salaam siku William Felix Kaijage aka Coco Madimba Camarade Pamba alipofunga pingu za maisha na Mwasi Kitoko Mkami Kichonge Mahende Masero.

Bwana Harusi akisoma somo la kwanza


Willie akivalishwa pete

Bwana Harusi akiangalia kwa makini mkataba kabla ya kuusaini mbele ya Baba Paroko.

Maharusi wakiwa na wazazi wa bibi harusi


Nje ya kanisa mara tu baada ya kutoka wakiwa na wanaharusi wengine wa siku hiyo.


Nje ya kanisa

Hapa wakiwa na timu nzima ya ma-maids nje ya kanisa Katoliki la Mt. Maximillian Kolbe lililopo Mwenge jijini Dar-es-Salaam.

Maharusi wakiingia ukumbini wakisindikizwa na wimbo wa "No One Like You" wa P-Square.

Wakwe wakicheza Litungu, ngoma maarufu zaidi mkoani Mara

Samaki ana vipande vingapiiii...

Maharusi wakiwapungia mikono wageni waalikwa

Bwana Harusi akitambulisha ndugu zake.

Bibi Harusi naye akitambullisha ndugu na jamaa zake.

Pozi..

Dr. Balandya na Mama Balandya

Shemeji anatunong'oneza kitu


Wazee wa Kilungule..

Mama Balandya akimvalisha mkwe wake kitenge

Wazee wa Huawei

Nipe Tano…

Kamati ya maandalizi..

Wazazi..

Hapa tukifungua muziki na wimbo wa "Hallo" uliopigwa na Lionel Richie

Alama ya ushindi