Benson kuna siku uliniuliza Ngwasuma ndio kitu gani, tehe tehe tihi tihi tihihihihi..!
Jamaa ndio hao hapo juu. Jumamosi iliyopita tulikuwa Mzalendo Pub, Milleniun Tower, Makumbusho kusherehekea kwa mara ya kwanza kuweza kuchukua zawadi ya "The Best Swahili Rhythm Album of 2007" kwenye Kili Music Award ambapo album ya "Dunia Kigeugeu" ilifanya ndivyo sivyo.
You can't imagine, album yao ya mwisho kabla ya hii ilikuwa way back in 2002 ambayo ilikuwa inaitwa "Wazee wa Mujini". Jamaa huwa hawatoagi album ovyo ovyo kama Twanga Pepeta.
FM Academia walipenda sana kutumia majina ya "The Dream Team", "Wajelajela Gwaa", "Wazee wa Mujini", "Wazee wa Pamba" au "Wazee wa Blingbling" hususan during kipindi kile Ndanda Kosovo alipotokomea Marekani. Kwa hivi sasa jina hilo nililolikandamiza kwenye subject hapo juu ndio limewakaa zaidi.
Jamaa hawana mpinzani kwa hivi sasa kutokana na uwezo wao Vocal, kushambulia jukwaa na uzito wa Sebene (Instrument). Inazikamata na kuzishika bendi zote nchini.
Inaaminika kwa hivi sasa ndio the largest crowd puller in town kiasi kwamba ma-show yao huwa yanajaza utafikiri watu wanaingia bure, mpaka kununua bia unanunua kwa shida ile kichizi kutokana na msongamano wa watu counter.
Hao jamaa wanaosakata hapo juu wa 3 kulia ni Nyoshi Elsadat a.k.a. "Askofu wa Kwanza" ambaye ndio Kiongozi wa bendi. Wa 3 kushoto ni Pablo Masai.
Baadhi ya prominent singers ni kama Patchou Mwamba, Mulemule "FBI", Kabeza na Jose Mara.
Nguzo yao kubwa ni Rappers Kalidgo Mwanakitokololo, Toto Kalala na Toto Ze Bingwa.
Upande wa ulinzi kuna Elombee Kichinja, mpiga Solo ngangari na Khatib Balatee Kaamba mpiga drums wa kutisha ambaye ndio kiongozi msaidizi.
Ukija mwezi wa saba lazima mimi na Japhet tukupelekee New Msasani Club.
Yours
//Jage "Le Grand"
--- William Kaijage <kai...@gmail.com> wrote:
> Benson kuna siku uliniuliza Ngwasuma ndio kitu gani,
> tehe tehe tihi tihi
> tihihihihi..!
>
>
>
> Jamaa ndio hao hapo juu. Jumamosi iliyopita
> tulikuwa Mzalendo Pub,
> Milleniun Tower, Makumbusho kusherehekea kwa mara ya
> kwanza kuweza kuchukua
> zawadi ya "The Best Swahili Rhythm Album of 2007"
> kwenye Kili Music
> Award<http://www.kilitimetz.com/>ambapo album ya
___________________________________________________________
Yahoo! Answers - Got a question? Someone out there knows the answer. Try it
now.
http://uk.answers.yahoo.com/
--- William Kaijage <kai...@gmail.com> wrote:
> Benson kuna siku uliniuliza Ngwasuma ndio kitu gani,
> tehe tehe tihi tihi
> tihihihihi..!
>
>
>
> Jamaa ndio hao hapo juu. Jumamosi iliyopita
> tulikuwa Mzalendo Pub,
> Milleniun Tower, Makumbusho kusherehekea kwa mara ya
> kwanza kuweza kuchukua
> zawadi ya "The Best Swahili Rhythm Album of 2007"
> kwenye Kili Music
> Award<http://www.kilitimetz.com/>ambapo album ya
___________________________________________________________
Yahoo! Mail is the world's favourite email. Don't settle for less, sign up for
your free account today http://uk.rd.yahoo.com/evt=44106/*http://uk.docs.yahoo.com/mail/winter07.html