Shukrani kwa waliowawakilisha wana Mugabe89 kwenye mazishi ya mtoto Dorcas, binti wa Nicolaus Jackson Warioba.
1.Japhet (Bahati Kalewe) Stephen
2. Ernest Haule
3. Magnus Kibonde
4. William Kaijage
5. Raymond Simon
6. William Kaijage
Alikuwepo pia Ally Karia (classmate wa Wilfred Warioba). Ameniambia kwamba Karigo Karia atakuja Bongo mwezi huu.
Mungu amlaze mahali pema peponi mtoto Dorcas.