Mustakabari wa Mugabe89 Alumni (Then, Now and the Future)

6 views
Skip to first unread message

William Kaijage

unread,
Feb 14, 2011, 5:54:25 AM2/14/11
to muga...@googlegroups.com

Nimepokea email nyingi kuhusu mustakabari wa Mugabe. Sikuzijibu haraka ili niweze kuzifanyia kazi. Mambo mazuri hayataki haraka na kimya kikuu kina mshindo mkuu

Ni kweli kwamba hatujakutana muda mrefu. Hata hivyo kuna changamoto za kutafuta topic mpya za michangamano yetu, attendance zimekuwa za chini sana tunapotaka kukutana na pia logistics (miundombinu) ya ukutanani. Haya ni mambo matatu. Nitaelezea.

CONTENTS
Najaribu kubadili format na modality ya mikusanyiko yetu ili kuleta meaning na useful definition ya hili libeneke. Kukutana tu kwa ajili kupiga masanga, kupata ndizi moshi na kupiga story kuhusu Mwalimu Rashid aka “Kigofu”  sidhani kama kitakuwa kitu endelevu na meaningful.
Itakuwa muafaka zaidi tukifanya mambo ambayo yatagusa zaidi jamii yetu inayotuzunguka. Umoja wetu unaweza kufanya mambo makubwa zaidi kuliko objective zilizopo hivi sasa.
Ili la contents nitalizungumzia zaidi baada ya muda kadhaa kwa sababu ndio linahusu modality zenyewe.

LOGISTICS
Uendeshaji wa vikao (hususan 26-Apr-2007 Vatican City Hotel na 05-January-2008 Millenium Tower ambako attendance zilivuka record) unakuwa na gharama kwa watu wachache hususan Mimi, Vicent Msoffe na Kisali Nyari (na once Benson Kidenya on 01-Jan-2007). Mara zote tunazokutana, nimekuwa nikijiandaa na at least na kilo 2 in case nobody will share the cost. I am trying to avoid the situation of Mugabe89 becoming a one-man show. Ningependa ukutanaji uweze kufanyika hata mimi nisipokuwepo. Hapa nazungumzia sense of ownership.

Personally, kabla ya vikao nawapigia simu watu wote (kipindi cha 2007/8 kulikuwa hakuna NUSU THS wala ROBO THS). nawatumia SMS watu wote (around 51), at least three times (Wiki mbili kabla, siku moja kabla na siku ya tukio). Kipindi cha 2007/8 kulikuwa hakuna SMS 100 za TIGO wala za AIRTEL. Hizi zote ni gharama ambazo somebody should be willing to bear.

Tulianzisha utaratibu wa membership fee lakini tuliishia watu 6 tu kutoa hela kwa jumuia ya watu around 50 (Kaijage, Kisali, Moses, Benson, Nico na Msoffe). Itakuwa sio haki shughuli ya watu wengi iendeshwe kwa michango ya watu wachache. Itabidi turudi katika utaratibu wa watu kadhaa kujitolea wenyewe kugharamia shughuli. Inaweza ikawa mtu mmoja. Gharama ya kukutana kwetu inakuwa around 200,000 kama tukijumuisha na bites.

ATTENDANCE
Pamoja na hiyo, attendance (hususan baada ya kuanzisha membership fee) imekuwa ya chini mno. Kwneye jumuia kama hizi, ukishataja ada ndio ushawakimbiza watu. Ni kama kwenye club za Simba na Yanga.

Kuna siku tulijikuta watu watatu tu tunakutana Lion Hotel (Mimi, Nyarukanda na Kisali).

Mara nyingine (Cine Club, Easter Monday 24-Mar-2008) nilijikuta niko peke yangu na Mwamsiba Ramadhan tokea saa 9. Utafikiri tunatongozana. Wakati nakaribia kuondoka, Amani Mchome akanipigia simu yupo getini na mkewe wanaomba niwasaidie kulipa kiingilio cha getini buku mbili mbili. Wakati tunaondoka saa 1 jioni ndio, nikakutana na Raymond Simeon anatokea kazini na Kibajaj. Nakumbuka Jefta aka ”Sangara” nilimpigia simu akasema yupo Kitunda anaona kiwingu cha mvua kwa hiyo hataweza kutoka. Wengine kila mmoja na sababu yake. Mimi binafsi nakuwa nimepoteza muda wangu wa siku nzima wa maandalizi ya shughuli.

Nikafikiria ni vizuri tukitenga muda mrefu wa kutoonana ili tukikutana ilete umaana zaidi na iwe mshindo zaidi badala ya kukutana kila baada ya miezi kadhaa ili kuleta sense of importance.
 
SOCIAL RESPONSIBILITIES

Umoja wa wanamugabe89 utakuwa na maana zaidi kama tutashirikiana pia kwenye shughuli za kijamii badala ya kuweka msisitizo kwenye vikao tu.

Ukiachia kwenye shughuli yangu (27-Dec-2008), sikuona muitikio wa kutosha kwenye Send-off ya Leticia (21-May-2009), Harusi ya Magnus Kibonde (03-January-2010) au Harusi Alphonce Msalilwa aka “Kibiongo” (December-2010).
.
Nashukuru kwa wale wote waliojitokeza kumpa pole Karigo Karia alipokuja tarehe 12-March-2009 kwenye msiba wa dada yake.

Nawasihi sana tushiriki katika shughuli ya Nyarukanda Nyega aka Rachel Nyambuli (Kitchen Party: 17-Apr-2011, Send-Off:25-Apr-2011, Wedding: 01-May-2011).

THE WAY FORWARD
Wakati juhudi za kufanya mabadiliko ya modality ya ukutanaji wetu zinafanyika chini kwa chini kwanza, haimzuii mtu yoyote kuwaita idadi yoyote ya wanamugabe kukutana nao. Mtu yoyote mwenye kutaka kufanya hivyo ninaweza kumtumia updated contact list akihitaji kama nilivyokuwa naituma hapo nyuma.

Vilevile, kama kuna mtu au watu wako tayari kugharimia shughuli, ninaweza kuitisha kikao mwezi March au wa Nne Sikukuu ya Muungano (26-Apr) katika sehemu tutakayokubaliana. La sivyo itabidi tusubiri mpaka bwawa la maji la Mtera lijae ndio umeme upatikane.

Network bado inaongezeka. Tena kwa kasi ya kutisha. Kwa sababu Mugabe ndio mpango mzima. Nimepata contacts za George Mtui ”Kibrush”, Hashim and among others.

Nawatakia Valentine Njema na Maulid Njema

William Kaijage "Moto Pamba"
0715-683841
0783-883841
0754-883841
In the Name of Robert Mugabe aka "Jongwe"




image002.jpg

Angela Kileo

unread,
Feb 16, 2011, 12:38:37 AM2/16/11
to muga...@googlegroups.com
Hallo Mzee wa Moto Pamba!
Nimesoma kwa kina ujumbe wako.Mambo ya ushirika yanataka subira.Vitu kama finances vinatakiwa kukaa vizuri.kwa mfano je tuna account?nani ni signatory?Taratibu ndio mwendo tutafika tuzidi kukumbushana tu.
Maulid njema
Angela Kileo


From: William Kaijage <kai...@gmail.com>
To: muga...@googlegroups.com
Sent: Mon, February 14, 2011 1:54:25 PM
Subject: Mustakabari wa Mugabe89 Alumni (Then, Now and the Future)
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mugabe89" group.
To post to this group, send email to muga...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mugabe89+u...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/mugabe89?hl=en.

image002.jpg

edgar Chibura

unread,
Nov 15, 2012, 3:17:19 AM11/15/12
to muga...@googlegroups.com
kuelekea kukutana ni lazima matatizo yote ya nyuma tuyamalize au kuyapunguza kwa kiasi  kikubwa vinginevyo kikundi kitakufa na kikifa wa kwanza kulaumiwa ni yule usie ongea yaani upo kiamya kusubiri ufe ndio useme nilijua huo ni utoto utakuwa!

----- Forwarded Message -----
From: William Kaijage <kai...@gmail.com>
To: muga...@googlegroups.com
Sent: Sunday, February 13, 2011 10:54 PM
Subject: Mustakabari wa Mugabe89 Alumni (Then, Now and the Future)

image002.jpg
image002.jpg

Jefta Malaba

unread,
Nov 15, 2012, 4:07:05 AM11/15/12
to muga...@googlegroups.com
BOSS UMENITIA UCHUNGU SANA NAOMBA NISAMEHEWE KWA UZEMBE WA KUTOTOKEA VIKAO KADHA,PIA TUCHUKUE OWNERSHIP FROM HEART.
 HALAFU PENDEKEZA SIKU WEWE MWENYEWE MWENYEKITI WETU

--- On Thu, 11/15/12, edgar Chibura <chibu...@yahoo.com> wrote:
kuelekea kukutana ni lazima matatizo yote ya nyuma tuyamalize au kuyapunguza kwa kias kikubwa
image002.jpg
image002.jpg

William Kaijage

unread,
Nov 15, 2012, 4:29:15 AM11/15/12
to muga...@googlegroups.com

Makorongo Edgar Mazegenja  Geyonga William  Chibura

Kikundi hakiwezi kufa. Naomba nikuhakikishie. Kikundi kinaweza kupitia mabadiliko ya definition yake. Hii ni changamoto ya kawaida kabisa. Ni kama Product Life Cycle (kwa wale wanaosomea Business Administration). Ni kama Yanga (ambayo umepata kugombea uenyekiti wake) wanachama wako inactive lakini ikifika vipindi maalum hata annual membership fee ulipiwa na wagombea. Ndio maana inapeta tokea 1935 na hivi sasa inaongoza ligi.
 
Alumni kama hizi, hata for the sake of just getting together, huwa na manufaa mengi kwa wale wanaoziona opportunity. Sio kila mmoja ana jicho kama hili. Kwa mfano mimi najifunza mengi kuhusu biashara ya madini kutoka kwa George Mtui. Isingekuwa wanamugabe nisingeweza kupata advantage hii (George Mtui alipata namba yangu kutoka kwa Alphonce Msalilwa Kibiongo) ambaye naye yupo Arusha. Au nimekuwa nikipata misaada ya kisheria kutoka kwa Bahati Japhet Kalewe ambaye yupo Rex Attorneys
 
Hii ni sawa na kwenda mbinguni. Sio kila mtu ataenda mbinguni siku ya mwisho.

Nimepata kuanzisha alumni za wana-Azania tuliosoma pamoja O-Level (1990-93) na pia wana Tambaza tuliosoma pamoja A-Level (1994-96). Lakini changamoto katika kila group zipo tofauti.

 
2012/11/15 edgar Chibura <chibu...@yahoo.com>
image002.jpg

Jefta Malaba

unread,
Nov 15, 2012, 4:44:01 AM11/15/12
to muga...@googlegroups.com
TRUE TRUE TRUE THE MUGABE 89 WILL NEVER DIE,

--- On Thu, 11/15/12, William Kaijage <kai...@gmail.com> wrote:

From: William Kaijage <kai...@gmail.com>
Subject: Re: (Then, Now and the Future) tahadhari hii mnayo?
To: muga...@googlegroups.com
image002.jpg

edgar Chibura

unread,
Nov 15, 2012, 4:49:10 AM11/15/12
to muga...@googlegroups.com
Jefta haya ni maneno aliyaongea Kaijage kwa uchungu sana tar 13/02/2011 saa 10:54 nawakumbusha baada ya kuona huu mjadala ukiendelea sijui kama nitakuwa Tanzania wakati huo ila tupo pamoja, watanzania{wafrika} twaongea sana bila tafakuri ya kutosha, msiba wa Rama Kakungu nilikuwa mimi na Niko tu sasa umoja unaumuhimu gani hata kama hakuwa member na kifo nacho! Binafsi nampongeza sana Kaijage,Kisari,Niko hata mdogo wake Niko {Willy} angala matukio mengi ya furaha na uzuni wanajumuika ingawa Kisari ni kwa kiasi kuliko hao wengine.       JEFTA pole kama umeguswa sasa piga kerere kuokoa umoja wetu!


From: Jefta Malaba <jdma...@yahoo.com>
To: muga...@googlegroups.com
Sent: Wednesday, November 14, 2012 9:07 PM
Subject: Re: (Then, Now and the Future) tahadhari hii mnayo?
image002.jpg
image002.jpg

Jefta Malaba

unread,
Nov 15, 2012, 4:54:30 AM11/15/12
to muga...@googlegroups.com
SITACHOKA NIMEANZA KAKA,KELELE ZANGU TAPIGA NA NDIO MAANA NACHOMBEZA TUFANYIE NYUMBANI KWA MMOJA WETU NA GHARAMA TUCHANGIE
image002.jpg
image002.jpg

William Kaijage

unread,
Nov 15, 2012, 8:42:11 AM11/15/12
to muga...@googlegroups.com
Edgar Chibura
 
Sasa nakupata. Nadhani kipimo kikuu (Key Performance Indicator au KPI) kuhusu umoja wetu ni kuhudhuria mazishi. Nadhani tusiwalaumu kwa nini hawakuwepo kwenye msiba fulani. Kuna watu wanakuwepo kwenye msiba mmoja na wakashindwa kuhudhuria mwingine. Kwa mfano mfano Godwin Lyamba, Nicodemus Warioba na Magnus Kibonde walikuwepo kwenye msiba wa mama yangu last month lakini labda hawakuwepo kwenye huo ulioutaja. Na hii ni hali ya kawaida.

Nakumbuka mwaka 2008 Karigo Karigo alifiwa na dada yake, wewe Edgar Chibura hukuwepo. Lakini mimi nilikuwepo pamoja na wanamugabe wengi wa walimaliza mwaka 1988 kama Saidi Zungiza pamoja na Mwalimu Chale. Lakini hakuna mtu amewahi kulalamika kwa nini hukuwepo kwa sababu ni hali ya kawaida.

Misiba tofauti inapotokea inconvenience zake za kuhudhuria ni tricky kwa sababu kwanza process na maamuzi ya kimisiba huchukuliwa haraka sana kabla watu hawajajipanga. Wengine (hususan walioko kwenye corporate companies) mida yao hubanwa sana na waajiri wao, wakati wale wa serikalini (kama wewe mwalimu wa Makongo Secondary) mna flexibility zaidi.Nashukuru kwamba kwenye wa Msiba wa Ramadhani Kakungu ulituwakilisha  vizuri. Edgar Chibura unakaa Tegeta na Marehemu Ramadhan Kakungu (Mungu amlaze mahali pema peponi) alikuwa anakaa Tegeta. Kwa hiyo tukio zima lilikuwa likitokea maeneo ya nyumbani.

Nadhani tunge-focus zaidi on our strong points and benefits  instead of just looking at our minor weak areas.

William


 
2012/11/15 edgar Chibura <chibu...@yahoo.com>
Jefta haya ni maneno aliyaongea Kaijage kwa uchungu sana tar 13/02/2011 saa 10:54 nawakumbusha baada ya kuona huu mjadala ukiendelea sijui kama nitakuwa Tanzania wakati huo ila tupo pamoja, watanzania{wafrika} twangea sana bila tafakuri ya kutosha, msiba wa Rama Kakungu nilikuwa mimi na Niko tu sasa umoja unaumuhimu gani hata kama hakuwa member na kifo nacho! Binafsi nampongeza sana Kaijage,Kisari,Niko hata mdogo wake Niko {Willy} angala matukio mengi ya furaha na uzuni wanajumuika ingawa Kisari ni kwa kiasi kuliko hao wengine.       JEFTA pole kama umeguswa sasa piga kerere kuokoa umoja wetu!
image002.jpg
image002.jpg

edgar Chibura

unread,
Nov 15, 2012, 10:06:53 AM11/15/12
to muga...@googlegroups.com
Kaijage sijajiondoa kwenye matatizo swala la kakungu ni mfano pia, najua pia kunatatizo la mawasiliano tunategemea sana email nikweli pia si kila siku uningia kwenye net na si watu wote tunavifaa vya mawasiliano wala hatushindani ktk ubora hatutalingana kamwe kakungu alikuwa Tegeta akazikwa Magomeni mchana ingawa sasa sipo makongo,hayo tuyaache nimefunguka nawakaribisha wote tufunguke ili tuimalishe umoja kwani kaijage socialization maana yake nini? au kujichanganya katika nini? shida na raha au uzuni na furaha ni zipi nakumbuka ndiyo msingi wa kikundi chetu nyongeza ilikuwa shughuri za uchumi na mazingira kama yapo mengine ambayo ni strong point au views taja tuyajadili kaka! halafu kaijage kwenye msiba si lazima uende siku ya msiba hata kwako nikija nitakutafuta nione mama yetu alipozikwa kwa kuwa ni Dar na si Bukoba wala Ifakara. Mimi binafsi nakupongeza sana make hukati tamaa hata unapobaki peke yako, lakini hacha watu wafunguke jambo laweza kuwa strong kwako"mtazamo" kwa mwingine ni minor upo? unawogopesha watu waache kuchangia mjadala kwa kuhisi mawazo yao ni minor hata kama ni minor hakuna minor isiyo na maana. tuongee siku ya mkutano tumie mda mchache wajumbe mijadala yaimalisha umoja na iwe mijadala ya kujenga tu.


From: William Kaijage <kai...@gmail.com>
To: muga...@googlegroups.com
Sent: Thursday, November 15, 2012 1:42 AM
image002.jpg
image002.jpg

Jefta Malaba

unread,
Nov 16, 2012, 1:06:23 AM11/16/12
to muga...@googlegroups.com
THANKS WILLY


--- On Thu, 11/15/12, William Kaijage <kai...@gmail.com> wrote:
image002.jpg
image002.jpg
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages