Ernest Haule anaoa Jumamosi ya tarehe 15-Jun-2013. Mkewe ni m-afrika ya Kusini.
Ndoa itafungwa katika ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kinondoni pale Magomeni kuanzia saa 5. Baada ya hapo sherehe itafanyika nyumbani kwa Ernest Haule Kivule (Kitunda).
Namba yake ya simu ni 0656-841766