
Shughuli muhimu ya iliyofanyika katika eneo la Safari Resort Kimara Jumamosi hii ya tarehe 26-July-2008 ilianza kama hivi.

Madini ya Mererani yakitolewa toka mgodini

Pete ikiwa tayari huku ikisubiri kwa hamu vidole vya kuvalishwa.

Pete ikivalishwa taratiibu ili vyombo vya habari vya kimataifa viweze kuchukua kumbukumbu vizuri.

Mkataba wa madini ulisainiwa rasmi kama hivi na pande zote mbili zikitarajia kuanza utekelezaji wa mkataba mwezi December mwaka huu.
//Willie
Kamanda King Kaijage! Hongera sana Mwana Coco Madimba, King mwenyewe kwa kuopoa kitu (huu ni usemi wa Dr. Love Pimbi)
Kitu naona ni cha kiafrika na kimetulia kabisa! Once Again Hongera sana!
WanaMugabe wote niwataarifu kuwa kwa sasa nimemaliza shule na nimerejea tena Mwanza kuungana na familia yangu! Ukimya wangu mrefu ulitokana na ubize wa hatua za mwishomwisho za kumalizia shule! ( Dissertation)!
Kwa sasa nitakuwa available as business as usual!
Stay Blessed!
Baba Prosper! |
Mzee wa ngwasuma, mzee wa pamba umeniwahi siyo?
Hongera sana nakutakia implementation nzuri ya mkataba uliosainiwa.
Tutauassess mkataba wa madini katika phase ngapi?
GUDLUCK
Nyarukanda.
| Hongera sana Bro, nakuombea kwa Mwenyezi MUNGU awabariki na ndoto zenu zitimie. Msalimie mtarajiwa ila cjajua jina lake tu. --- On Thu, 7/31/08, William Kaijage <kai...@gmail.com> wrote: |
|
Sema Wana Mugabe wote MGB 89!
Congrats Hussein kwa kutuletelea baby! mwenzio wa kwangu anataembea sasa!
King Kaijage hiyo tarehe ya harusi yako imetulia sana lazima niwepo! Na huo ukumbi wa Landmark ni poa sana manake upo karibu kabisa na home kwetu yaani tunashea fence! Hata misosi ya kwenye harusi ikichelewa mbona nitaenda kula home fasta fasta!
Stay Blessed!
Baba Prosper! |