Janga la kuunguliwa na Nyumba kwa mwanamkungu mwenzetu

8 views
Skip to first unread message

Livanga

unread,
Mar 2, 2015, 8:14:56 AM3/2/15
to mkungu-...@googlegroups.com
Ndugu wanamkungu wote

Nina imani wote ni wazima kabisa. Ni vizuri na nyie mkajua ili pia mshiriki kumpa mkono wa pole ndugu yetu Dr. Protas as najua wengi wenu hampo kwenye whatsapp group so hamna taarifa. Dr. Protas aliunguliwa na Nyumba yake siku ya jumamosi mchana na hakufanikiwa kuokoa kitu chochote. Mwanamkungu kama una chochote please tuma kwa Ngemera ili angalau kumpa support mwenzetu.(shukrani nyingi kwa Ngemera kwa coordinate hili)

Asante kwa kushiriki
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages